Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
Kila mtu na mtazamo wake...mie sijaoa na nikiamua kuoa sitaki mwanamke bikra kabisaa....bora upate mzoefu utayeona umemtosheleza zaidi ya waliompitia kuliko yule ambaye hajui kitu na mbele ya safari akatamani kutest vya nje....akionja aisee utafurahi na roho yako
We waache tu hawa, hawajui wakisemacho. Wanatetea kitu kwasbb ni waoga, eti wanaogopa kusalitiwa. Hawana sbb ya maana.
 
bado thamani ya bikira IPO palepale tofauti na hawa manungunyembe
Sawa ipo lkn wengi wa wanaume wa umu wanachong'ang'ania wao kuwa eti ukioa bikra hutasalitiwa, ss hiyo tafiti wameitoa wapi kuwa ukioa bikra hautasalitiwa?. Hii inamaanisha ni waoga, hawajiamini kuoa mtu asiye bikra.
 
Naelewa umeongea katika muktadha wa bikra kabla ya ndoa.

Na mimi nakueleza, kama bikra ingekuwa na thamani hivyo, isingevunjwa hata kwa ndoa.

Watu wangeitunza maisha yote mpaka wanakufa.

Kizazi chote kingetoweka.

Kwa kuipa thamani bikra.

Ukishakubali bikra itolewe baada ya ndoa, umeishaishusha thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kiranga point yangu ilikuwa ni kwamba mwanamke aliyeolewa akiwa na bikra anakuwa na thamani zaidii,, sijamaanisha eti bikra zitunzwe mpaka kufa hapana bali mwanaume wengi tunajisikia fahari kukuta mwanamke amejitunza mpaka ndoa hiyo ni nature mkuu Yani ndio ipo hivo ndio maana watu wengi wanatumia nguvu nyingi kuupindisha ukweli huu akiwemo mtoa mada
 
Suala sio Bikra, watu wote walitakiwa wasijihusishe kabisa na mapenzi hadi wanapoingia kwenye ndoa na baada ya ndoa wabaki kuwa waaminifu.

Sisemi matatizo ya ndoa yangeisha lakini yangepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Sio sawa kudai bikra kwa binti wakati mwanaume umeshachafua file.

Mwisho bikra haitoi uhakika wa mahusiano bora.
Tena ndo hao hao, wanazitoa alafu wanakimbia
 
Mwanaume alowatoa bikra wanawake saba si wote watakuwa wanatamani awe wao wa milele ? Jitu kama hilo si linawadhulumu ninyi mnaozipenda ? Alafu kuna mabikra wa kutengenezwa sikuiz...Hatari sana....

Bikra mimi hainisaidi chochote, nikikukuta na bikra sikugusi, atleast me nakuwa considerate kidogo, nishapiga chin bikra kama 3 nawaachia ninyi ndugu zangu ila sasa wanaenda kukutana na mabaharia wengine uko..




Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ndiyo inayoharibu bikra za watu na kuwaacha. Alafu wanakuja kusema kuwa wanathamini bikra.
 
Hapana kiranga point yangu ilikuwa ni kwamba mwanamke aliyeolewa akiwa na bikra anakuwa na thamani zaidii,, sijamaanisha eti bikra zitunzwe mpaka kufa hapana bali mwanaume wengi tunajisikia fahari kukuta mwanamke amejitunza mpaka ndoa hiyo ni nature mkuu Yani ndio ipo hivo ndio maana watu wengi wanatumia nguvu nyingi kuupindisha ukweli huu akiwemo mtoa mada
Kwani wapi nimesema umemaanisha bikra zitunzwe mpaka kufa?

Hayo ni mawazo yako yanayotokana na malezi yako katika utamaduni wako finyu.

Utamaduni unaomuweka mwanamke chini ya mwanamme.

Kama bikra ni muhimu, kwa nini iwe muhimu kwa mwanamke tu?

Kwa nini hujaongelea bikra ya mwanamme?

Ukweli ni kwamba, hakuna universal values katika mambo haya.

Kuna wengine wanasema hawaoi mpaka wajue mwanamke yukoje kitandani, ili waepuke kuoa mtu wasiyeendana naye.

Sasa watu kama hao nao wataoa bikra?

Kuna wengine wanasema bikra hafai, kwa sababu hajui mambo. Wanataka anayejua mambo.

Sasa hao nao wataoa bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wapi nimesema umemaanisha bikra zitynzwe moaka kufa?

Hayo ni mawazo yako yanayotokana na malezi yako katika utamaduni wako finyu.

Utamaduni unaomuweka mwanamke chini ya mwanamme.

Kama bikra ni muhimu, kwa nini iwe muhimu kwa mwanamke tu?

Kwa nini hujaongelea bikra ya mwanamme?

Ukweli ni kwamba, hakuna universal values katika mambo haya.

Kuna wengine wanasema hawaoi mpaka wajue mwanamke yukoje kitandani, ili waepuke kuoa mtu wasiyeendana naye.

Sasa watu kama hao nao wataoa bikra?

Kuna wengine wanasema bikra hafai, kwa sababu hajui mambo. Wanataka anayejua mambo.

Sasa hao nao wataoa bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha true
 
Hiyo ndiyo inayoharibu bikra za watu na kuwaacha. Alafu wanakuja kusema kuwa wanathmn bikra.

Wenyewe wanawafanyia watoto wa watu majaribio then wanakuja kutafuta bikra na kuziweka thaman daaah ? kwan mtu akiwa hana bikra hana thaman ? hawez kuwa mke bora? Tukileta hapa success stories utashangaa wengi walio happy kwenye ndoa wala hawakuwa na bikra wakati wanaolewa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahaha apo ss
Wenyewe wanawafanyia watoto wa watu majaribio then wanakuja kutafuta bikra na kuziweka thaman daaah? Kwani mtu akiwa hana bikra hana thaman ? hawez kuwa mke bora ? Tukileta hapa success stories utashangaa wengi walio happy kwenye ndoa wala hawakuwa na bikra wakati wanaolewa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
bikra ina thaminiwa mkuu kulingana na jamii yetu. ila ile imani ya wanaume kuwa ukioa bikra ndy hautasalitiwa ndiyo huwa wrong. tatizo halipo kwa wenye bikra, tatizo lipo kwenu nyinyi wanaume waoga.
Mkuu umeniquote lakini sijaelewa kwanini.

Yaani uliyoyazungumza hayashahibiani na nilichokisema.
 
Wanaume wengi tunapenda wake wenye experience na sio hao wa zero experience ila bikra inaheshima yake kubwa Sana but I prefer mwenye experience rather than mwenye bikra in case nikakutana nayo ni kuitoa tu na kumtupa pembeni narudi kwa mwenye experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama thamani ya mwanamke inaangaliwa kwa ubikra wake, thamani ya mwanaume inaangaliwa wapi?

Na je, inawezekana kwamba Mungu alileta mfumo dume kuanzia kwenye maumbile/miili yetu? Maana sioni sehemu ya mwili wa mwanaume ambapo inamfunga asionekane kama thamani yake imepungua kwa kukitumia kiungo chake kabla ya wakati.
Biblia (ukisoma zile sheria alipewa Musa awape Israel) kwenye eneo la ndoa anasema kabisa ukioa binti ukakuta sio bikra una ruksa kumrudisha kwa wazazi wake na wewe urudishiwe mahari yako!
 
Hapa ndipo ninapomuheshimu sana Mungu na kuona umuhimu wa kumtii na kuishi amri na sheria zake kila wakati.

Alisema tu "USIZINI" akamaliza hakuongeza zaidi. kuhusu matokeo ya uzinzi tutajua sisi wenyewe.

kama binadamu tungetii hii amri ya Mungu kuwa "USIZINI" kwa hakika mijadala kama hii isingekuwepo kabisa duniani.

Mijadala kami hii ni matokeo ya uzinzi na kutomtii Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom