Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
Mkuu sasa hapa umeongea nini?

Yaan mdada anakuaje malaya at the same time anakuwa bikra?

On top of that,tu na consider the history with probability of the history repeat it self otherwise tungeenda kuchukua malaya wanaojiuza barabarani tu kwa kuamini watabadilika wakiingia ndoani...afu nashindwa kuelewa why tunakomalia eti bikra akiingia ndoani atakua malaya ila used hawez kuendeleza umalaya wake...hichi ni kichekesho cha level ya SGR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Down to earth comment.

Umetisha Mzee baba...haka ka-comment hasa hapo mwishoni ngoja nkaweke WhatsApp status

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok mimi ninakibamia sasa kosa langu liko wapi kutafuta mtu ambae hajaonja tango? Uoni kwamba nikipata bikira na hiki kibamia changu kitamfaa? Pili unahisi mwanamke yupi anakuwa na sifa kubwa kwa mumewe kati ya aliyekuja bikira na aliyeiacha kwao hiyo bikira?
 
Mkuu hii hauna audio yakee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe Rebeca ukinikuta namcheka au namdhihaki mlemavu wa macho au ngozi utajiskiaje? Kwanini uwadhihaki walemavu wa..? Kumbuka Mwenyezi Mungu aliwaumba nyie wote na bikira ila uzinifu wenu ndio mmejikuta hamna hizo bikira kabla ya ndoa
 
Hivi wewe rebeca ukinikuta namcheka au namdhihaki mlemavu wa macho au ngozi utajiskiaje? Kwanini uwadhihaki walemavu wa.......? Kumbuka Mwenyezi Mungu aliwaumba nyie wote na bikira ila uzinifu wenu ndio mmejikuta hamna hizo bikira kabla ya ndoa

Pole mkuu, usichukulie mambo ya humu serious.
 
Huyu jamaa uliyom-quote nimemdharau sana. Anataka awatishe vijana tu
 
Hapa tunaongelea value ya bikra, hatuongelei mambo ya kuoa bikra au used.

Issue ya kuoa bikra au used ni chaguo la mtu mwenyewe kutokana na interest zake,, ila bikra yenyewe kama yenyewe ina thamani kubwa sana.. Issue ya kuheshimiwa au kutoheshimiwa hakutakiwi kua kipimo cha uthamani wake. Sija ku-attack ila kama umeona nime ku attack basi na wewe ume wa attack wapenda bikra.. Mawazo yako nayaheshimu sana ila kiukweli ukiyajadili kwa u-serious utaona umeikosea bikra heshima yake. Umeandika kirahisi sana ndio maana wengi wanao challenge hili andiko lako wanaona kama halina mashiko kwa sababu wewe mwenyewe bikra hauna (kadiri ya andiko hili)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi umenijibu? My last post to you,nakuweka kwenye ignore list kama nilivyoweka wengine hapo juu...oh one ☝ last thing, kuwa na open mind in this world sio kila kitu kiko fixed ama black and white kuna orange, purple etc. Umeleta ishu ya mfalme wa Eswatin, nimekujibu naona unazunguka mbuyu... Kwaheri!
 
Kazi kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] weka tu me hainipunguzii chochote wala hainikoseshi ndululu.. Ila hii ndio JF huwezi kuja na hoja dhaifu halafu watu wasiku-challenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa haya mambo wala hamna haja ya kubishana mitandaoni kuhusu umuhimu wa bikra au bikra ndio heshima au wanawake gani ndio wanaoolewa kati ya bikra na wasio bikra.

Raha ya social media, mtu anaweza kuongea kitu ambacho yeye mwenyewe hakiishi. Ni sawa na wale wa "vijiweni" wanatambiana "mimi mke wangu haniendeshi akijaribu tuu naua", ukimkuta sasa mbele ya mke wake, mdogo kama "piritoni".

Uzuri ni kwamba nyingi hapa ni tambo tuu ila ukiuliza ni wangapi waliooa wameoa "bikra" ni 2%. Watu wanaoa wanawake wanaliokuwa wanajiuza, watu wameoa waliokuwa wacheza porn maarufu na bado wamewapa good life kama "malkia". Halafu leo mtake watu wajihisi wapweke kisa sio bikra?

Fuatilieni hata ndoa zinazofungwa siku hizi, harusi kubwa kubwa zinazoteka miji, bibi harusi ana ma "ex" zaidi ya kumi na bado kaolewa kwa heshima zote.

Haya mambo yaongeeni mitandaoni kama debate tuu, ila kiuhalisia[emoji4][emoji4] wanaume wanaoa, hata kama sio wewe ila wenzako wanaoa na kutunza juu.
 

Umemaliza yote mkuu..kama ni bomu huu ni mzinga wenyewe lol...πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘,nadhani pamoja na msimamo wako kwenye hili kuna mengi ya kujifunza kutoka kwako mkuu,...nimependa lugha uliyotumia iko balanced na haina ukakasi nimemaanisha haina kujeruhi hisia/attack...πŸ‘πŸ‘πŸ‘...Thanks
 
Rebecca nakuheshimu sana ila kwa hili umepotoka, mbaya zaidi unaendelea kushupaza shingo kwa kitu ambacho hakikubaliki. Hebu kaa kimya kulinda heshima yako.

Msukuma niache,heshima bila uhuru ni utumwa huo….kama nakuudhi utanisamehe ila huo ndio msimamo wangu..
 
Kuna kufunga ndoa, kutafuta familia na watoto wa kulea na kuna kufunga ndoa kutafuta content, mambo ya kuongelewa
Kulia lia kwenye interviews, kuchafulia majina ma ex
Kupagawishwa na kubreak manews, kujichulia vifo kiwepesi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…