Wanaume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini wanaishi miaka 5 zaidi kuliko wale wasiofanya hivyo

Wanaume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini wanaishi miaka 5 zaidi kuliko wale wasiofanya hivyo

Busu bila hela?

Hawa wa siku hizi wanaangalia hela zaidi,

Halafu kubusu sio utamaduni wetu,ni vitu vya kuiga tu,
Upendo wa kweli haupimwi kwa busu pekee.
 
Wanawake wenyewe wanasemaje kwani..?
Tunataka mabusu ☺️🥰

giphy-downsized.gif
 
Back
Top Bottom