Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Nyieee
Wanaume viumbe rahisi sana
Alafu wanaume wanatoa sana hela
Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana
Ushauri:
Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa
Jamani
1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine
2. Usitoe mzigo mpaka mwanaume ame invest kwako kwanza?
Shida ya wadada wengi mnatoa sana utamu kabla mwanaume hajawekeza kwako
Mwanaume anaewekeza kwako kuachwa ni ngumu kwakweli, mwanaume yeyote siku zote anafuatilia pale ambapo amewekeza pesa yake ndio asili yao
Sasa mwanaume hajawekezq kwako ushatoa utamu, unajiharibia, usitoe utamu kwanza mpaka mwanaime ame invest sana kwako
3. Usiwe kuwa kwenye mahusiano na mwanaume AmBAe hawezi kukuhudumia
Okoa muda na nguvu na afya yako,
Mwanaume hakuhudumii ushatoa utamu, ina maana umempa bure na anaenda kukutangaza