Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndiyo watamu na bado zinabana, nyie wengi wenu zishakuwa used sana.Mwanamke akupe tumbua buree?
Mtaendelea kuwaumiwa watoto wa 2004 tu
Wanaombwa hela hovyo wanaodate na wanawake masikini au wanaotegemea hela za wanaume kuishi. Nadate na mwanamke kwao mambo safi ana kazi yake fresh. Muda wote tunaongea mipango kuhusu future yetu. Katika kipindi chote cha mahusiano ameshawahi kuniomba pesa mara moja tu na kila nikitaka utamu nawepa na mara nyingine naletewa kwa suprise...Sio kuuza
Sema huna hela
Hutoi hela hupewi utamu
Aiseee 🤣🤣🤣Kuna hitaji la wanawake wa kitanzania kufundishwa nini maana ya feminism. Ulichokiandika hapa sio feminism, ni biashara ya ukahaba.
7Ana umri gani huyo mtoto wetu😁
😁Nikajua 18 plus
Hivi UTI Sugu huwa mnabeba kwenye mikoba na begi zenu, na huwa ni special kwajili ya wawekezaji tu au?🐒Nyieee
Wanaume viumbe rahisi sana
Alafu wanaume wanatoa sana hela
Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana
Ushauri:
Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa
Jamani
1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine
2. Usitoe mzigo mpaka mwanaume ame invest kwako kwanza?
Shida ya wadada wengi mnatoa sana utamu kabla mwanaume hajawekeza kwako
Mwanaume anaewekeza kwako kuachwa ni ngumu kwakweli, mwanaume yeyote siku zote anafuatilia pale ambapo amewekeza pesa yake ndio asili yao
Sasa mwanaume hajawekezq kwako ushatoa utamu, unajiharibia, usitoe utamu kwanza mpaka mwanaime ame invest sana kwako
3. Usiwe kuwa kwenye mahusiano na mwanaume AmBAe hawezi kukuhudumia
Okoa muda na nguvu na afya yako,
Mwanaume hakuhudumii ushatoa utamu, ina maana umempa bure na anaenda kukutangaza
Kamdangie baba ako, akupe hela *****. Skuiz hamna vya Bure hata utoe mku...n hamna vya Bure pambana na Hali yakoNyieee
Wanaume viumbe rahisi sana
Alafu wanaume wanatoa sana hela
Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana
Ushauri:
Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa
Jamani
1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine
2. Usitoe mzigo mpaka mwanaume ame invest kwako kwanza?
Shida ya wadada wengi mnatoa sana utamu kabla mwanaume hajawekeza kwako
Mwanaume anaewekeza kwako kuachwa ni ngumu kwakweli, mwanaume yeyote siku zote anafuatilia pale ambapo amewekeza pesa yake ndio asili yao
Sasa mwanaume hajawekezq kwako ushatoa utamu, unajiharibia, usitoe utamu kwanza mpaka mwanaime ame invest sana kwako
3. Usiwe kuwa kwenye mahusiano na mwanaume AmBAe hawezi kukuhudumia
Okoa muda na nguvu na afya yako,
Mwanaume hakuhudumii ushatoa utamu, ina maana umempa bure na anaenda kukutangaza
Feminism ni nini, labda mwalimu uweke darasaKuna hitaji la wanawake wa kitanzania kufundishwa nini maana ya feminism. Ulichokiandika hapa sio feminism, ni biashara ya ukahaba.
Nitaua mtu mkuu😁😁Nikajua 18 plus
Kwamba na wewe ulifikiri ni elimu ya kudanga🤣🤣🤣Feminism ni nini, labda mwalimu uweke darasa
Hapana ila najua inahusu mambo ya kujiweka kike kike, ndo nimeshangaa anatafsiri feminism tofautiKwamba na wewe ulifikiri ni elimu ya kudanga🤣🤣🤣
Feminism ni harakati, falsafa, au imani inayopigania usawa wa kijinsia kati ya wanawake na wanaume katika nyanja zote za maisha kijamii, kiuchumi, kisiasa, na kitamaduni. Inalenga kuondoa ukandamizaji, ubaguzi, na dhuluma zinazowakumba wanawake kwa misingi ya jinsia zao.Hapana ila najua inahusu mambo ya kujiweka kike kike, ndo nimeshangaa anatafsiri feminism tofauti
Eehh kumbe , basi nilikuwa Bado nipo gizaniFeminism ni harakati, falsafa, au imani inayopigania usawa wa kijinsia kati ya wanawake na wanaume katika nyanja zote za maisha kijamii, kiuchumi, kisiasa, na kitamaduni. Inalenga kuondoa ukandamizaji, ubaguzi, na dhuluma zinazowakumba wanawake kwa misingi ya jinsia zao.
High value man huoa na hawakai na mabinti za watu bila ndoa Wala Hawana vimada nje.High value man kama mimi hata mtumie hizo mbinu sitoi pesa zangu kijinga jinga,,,,,!!
Mipango yenu kuipindua dunia. Haijatosha Adamu kuangushwa na Hawa, bado mna mipango kebe kebeNyieee