Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

Inasikitisha sana baadhi ya wanawake kujiuza kwa style hii..!
Sijui ni umasikini uliokithiri au malezi na tabia?
sio kujiuza, haupendi watu waongee ukweli maana unapoteza wateja
 
Wanaombwa hela hovyo wanaodate na wanawake masikini au wanaotegemea hela za wanaume kuishi. Nadate na mwanamke kwao mambo safi ana kazi yake fresh. Muda wote tunaongea mipango kuhusu future yetu. Katika kipindi chote cha mahusiano ameshawahi kuniomba pesa mara moja tu na kila nikitaka utamu nawepa na mara nyingine naletewa kwa suprise...
uje kwenye darasa langu la feminine
 
Back
Top Bottom