Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

w
Kamdangie baba ako, akupe hela *****. Skuiz hamna vya Bure hata utoe mku...n hamna vya Bure pambana na Hali yako
watu wanapata hela za bure we kaa hapo na upwiru wako
kila mtoto mzuri utamwita shemeji
 
Hivi vijana kwanini mnataka vya Bure, Hamuoi!?.
Mnakwepa gharama za kutunza mke kwahy lazima mpinge mada vikali.

Wanawake wangejielewa wakajizuia na uzinzi vijana wengi wangeoa, maana wangepata wapi Utulivu wa mwili!?.

Wanawake tuache kujirahisisha ndomna ndoa zimekuwa ngumu. Vijana wanakwambia.

"Kama maziwa napata ninunue ng'ombe wa nini"!??.

Kama hakuna uuzwaji wa maziwa koholela ng'ombe zitanunuliwa tu, bila hvyo watapata wapi maziwa!?.
kama haujitambui wanaume watakutafuna mpaka uoze
 
Money Penny Baba yako anaekuhudumia(kawekeza) mpaka unakua nae ushampa utamu?

Nakazia: Mwanaume asie na pesa asiekuhudumia achana nae, Tafuta mwanaume billionaire kama Baba yako.
ninampa heshima kila siku utamu anapewa na mama yangu
alienioa ndio nampa utamu
usijifanye kichaa wekeza kwa mwanamke unaempenda
 
Almost wote waliopo kwenye dating pool ni makahaba wametofautiana strategies na terms tu.

Wengine wataita kuhudumiwa, wengine matunzo lakini kwa ujumla mwanamke anafanya mapenzi kuwa transacfional exchange wakati yeye hana output yoyote in return iyo ni biashara ya ukahaba.

me nadhan muda wa wanawake kujitambua hapa bongo ni sasa
acheni kuwatumia watoto wa watu vibaya
 
Igweeeeee.!
Mangi leo umeongea kitu muhimu sana.!
Hata hao wenye misingi mizuri ya maisha wanajiuza.Cha muhimu sio pesa ni malezi ya kimaadili ili mabinti wajue kwamba wao sio chombo cha kununuliwa.
Wapo mabinti wengi tu waliotoka familia za kimaskini hawajiuzi.
 
Daah! Mkuu umeongea vema sana. Yaan mm pia napambna sana ili binti yangu asije kuwa kituo cha wanaume kupandia daladala kwa sababu ya umaskini wake. Heshima yako mkuu.
KABISA
 
Back
Top Bottom