Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

Kuwekeza kwa mwanamke in return of what?

ROI ni sex tu ama kuna jambo jingine la maana?

Kuwekeza kwa mkeo (uliye muoa ni wajibu sio hiari) ila kwa the so called mpenzi ni msaada tu unless otherwise kila mtu awe anabenefit na hiyo investment.....

Sex sio Return ya uwekezaji Incase ndiyo unaiwazia.

So far strategy zako ni nzuri kuna watu utawadaka tu ✅
 
w

watu wanapata hela za bure we kaa hapo na upwiru wako
kila mtoto mzuri utamwita shemeji

Hela za buree????????!!!!!!!!! Unapenda vya Bure eti eeeee, ukipenda vya Bure kwenye sahani utapakuliwa.

Unajifanya wee mzuri eti eeeee, kina masogange na mishepu Yao, uzuri wao na matako yao makubwa leo wako wapi?

Funza washayapukutisha matako yote.

Acha kiburi Cha uzima. Leo unajiona mzima, mzuri then unajisahau hujui kesho yako, wee Kaa Kwa kutulia au tafta mume utulie na familia yako mjenge maisha.

Siku utapokua ICU yote hayo unayowafundisha wenzako pamoja na mengineyo unayoyaona ndo ya maana, utayaona ni upumbavu na udhalim mtupu

utawonea wivu wote wanaotembea, wanaohema na kuongea, utatamani uwe kama wao, lakini ndo hivo Tena haitawezekana maana wakati wako utakuwa umewadia.

Jitafakari chukua hatua
 
Kuwekeza kwa mwanamke in return of what?

ROI ni sex tu ama kuna jambo jingine la maana?

Kuwekeza kwa mkeo (uliye muoa ni wajibu sio hiari) ila kwa the so called mpenzi ni msaada tu unless otherwise kila mtu awe anabenefit na hiyo investment.....

Sex sio Return ya uwekezaji Incase ndiyo unaiwazia.

So far strategy zako ni nzuri kuna watu utawadaka tu ✅
ENDELEA KUPIGA KELELE ILA KUNA WANAWAKE HAUTAWAFANYIA MAUJINGA KAMAHAYA UNAANDIKA
LABDA WALE WASIOJUA THAMANI ZAO
 
Natunaopewa utamu bila kuingia gharama, posts zako zna reflect we ni mtu wa namna gani, kama unauza ,uza kivyako wenzako twalaaa
ZINA REFLECT JINSI GAN MNAWADHALILISHA WANAWAKE WASIOJITAMBUA NA KUJUA THAMANI ZAO AMBAO HAWAACHI KULIA
LAKINI KUNA WENZA WANAISHI KWA FURAHA BILA KUWA TAKEN ADVANTAGE NA WANAUME
 
Wee Malaya unawafundisha wanawake umalaya wako, embu usituharibie Watoto wa kike wee Kaa na k yako Tena uiweke kwenye friji isiharibike
Hela za buree????????!!!!!!!!! Unapenda vya Bure eti eeeee, ukipenda vya Bure kwenye sahani utapakuliwa.

Unajifanya wee mzuri eti eeeee, kina masogange na mishepu Yao, uzuri wao na matako yao makubwa leo wako wapi?

Funza washayapukutisha matako yote.

Acha kiburi Cha uzima. Leo unajiona mzima, mzuri then unajisahau hujui kesho yako, wee Kaa Kwa kutulia au tafta mume utulie na familia yako mjenge maisha.

Siku utapokua ICU yote hayo unayowafundisha wenzako pamoja na mengineyo unayoyaona ndo ya maana, utayaona ni upumbavu na udhalim mtupu

utawonea wivu wote wanaotembea, wanaohema na kuongea, utatamani uwe kama wao, lakini ndo hivo Tena haitawezekana maana wakati wako utakuwa umewadia.

Jitafakari chukua hatua
YANI HAPO UNAONYESHA UNA AFYA YA AKILI
KWANZA MAMA YAKO HAJAKUPA MALEZI NA KAMA ALIKUPA UKADHARAU BASI DUNIA NDIO INAKUFUNDISHA
PILI UNAHASIRA MAANA MAMA YAKO HAKUOLEWA BIKRA
 
ENDELEA KUPIGA KELELE ILA KUNA WANAWAKE HAUTAWAFANYIA MAUJINGA KAMAHAYA UNAANDIKA
LABDA WALE WASIOJUA THAMANI ZAO
Dear sister, thamani yako haipo kwenye kuhongwa pesa.

Unapoambiwa upgrade your standards

Unapo ambiwa be upstairs

Sio kuhongwa pesa tu, sijajua wadada wa sasa mmefanywa nini aisee....

Anyway naheshimu mtazamo wako, kama kwako mapenzi it's all about money then do your business.
 
Ongezea na huyu kwa class ya Mascullinity Tumbili wa mjini
aje whatsapp
 
Back
Top Bottom