Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.

Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au unapiga kimoja tu chali. Kule unafikiri mwenzako anajifikiriaje? Lazima akiamka asubuhi amfikirie jamaa akampe kidogo cha kuondoa uchovu ule muda akienda sokoni.

Hawa wamama wanapambana na majaribu mengi huko na kama unavyojua mwanamke ni dhaifu. Sokoni kuna wauza bucha, nyama za nyongeza atapewa utumbo, njiani mabodaboda kuitwa itwa, lifti za bure anatunza buku ya kupeleka kwenye kikoba unakuta wanashawishika.

Sasa kama unarudi nyumbani halafu huna unachofanya eti kisa mke wangu nimemuoa, shauri yako! Kuna mijabali nje huko itakupigia halafu mtuletee nyuzi za kufumaniana na kupigana na vitu vyenye ncha kali.

Mi nimewaza tu kidogo tusaidiane kupunguza haya matatizo ambayo kila kukicha yanaongezeka.. Badilisheni kidogo mazingira ya ndani, tatizo mkishaoa tu basi mnajua mmefika, unajua mwanamke ni wako peke yako!

Nani kakwambia kuwa ni wako? Mwanamke huwa hasemi kama haridhiki kutokana na aibu, sasa wewe unaona kichwa tu kumburuza hivyo hivyo. Najua tozo zinaumiza na maisha magumu, kupanda kwa vitu bei, shule Januari ndiyo inakaribia, lakini tujitahidi sasa tutafanyaje yote hayo tunatakiwa tuyakabili.

Ongezeeni mengine, mambo mengi muda mchache.
 
Unaweza kusimamia kucha,lakini akaenda kugawa kwa mpaka bleach kichwani anayepiga kimoja...ukamnunulia gari la milioni 24 akaenda kugawa kwa mhudumu wa shell' ya mafuta aliyempa ofa ya lita moja au mbili ambayo haizidi elfu kumi.

Cha msingi ni kuomba kupata mwanamke anayejiheshimu,kujitambua na malezi mema.
 
Unakuta kila siku style ileile tu ya adamu au ya mende au ya mbuzi kagoma unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.

Na wanaume mnatoka kazini na mastress na uchovu mmechoka unalala hoi au unapiga kimoja tu chali kule unafikiri mwenzako anajifikiriaje lazima akiamka asubuhi amfikirie jamaa akampe kidogo cha kuondoa uchovu ule muda akienda sokoni.

Hawa wamama wanapambana na majaribu mengi huko na kama unavojua mwanamke ni dhaifu .sokoni kuna wauza bucha nyama za nyongeza atapewa utumbo ..njiani mabodaboda kuitwa itwa lifti za bure anasevu buku ya kupeleka kwenye kikoba unakuta wanashawishika.

Sasa kama unarudi nyumbani halafu huna unachofanya eti kisa mke wangu nimemuoa shauri yako kuna mijabali nje huko itakupigia halafu mtuletee nyuzi za kufumaniana na kupigana na vitu vyenye ncha kali.

Mi nimewaza tu kidogo tusaidiane kupunguza haya matatizo ambayo kila kukicha yanaongezeka.

.Badilishenikidogo mazingira ya ndani tatizo mkishaoa tu basi mnajua mmefika unajua mwanamke ni wako peke yako nani kakwambia kuwa ni wako .Mwanamke huwa hasemi kama haridhiki kutokana na aibu sasa wewe unaona kichwa tu kumburuza ivo ivo.Najua tozo zinaumiza na maisha magumu kupanda kwa vitu bei shule January ndio inakaribia lkn tujitahidi sasa tutafanyaje yote hayo tunatakiwa tuyakabili.
Ongezeeni mengine mambo mengi muda mchache.
Umetumwa wewe sio bure
 
Kama ni muhimu sana kwako pambana, pelekea moto haswa. Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake.

Unajua, hapa tunapoongea kuna mchakataji anachakata mke wa mwanajeshi anayelinda mipaka, daktari anayeokoa maisha, mwanasayansi anayebuni teknolojia mpya n.k

Hawa wote wakiacha wanayoyafanya au kupunguza ufanisi ili wachakate vizuri wake zao, binadamu tutakuwa kama mbwa tu.

Binafsi naamini ni sahihi Kila mtu apambanie lililo la muhimu kwake. Mridhishaji wa wanawake apambane sana kwa kuchakata style zote ili wanawake wa dunia hii waridhike na mwenye vipaumbele vingine avipambanie hivyo vipaumbele.

Katika maisha, huwezi kutumia muda wako kuhudumia mwili wa mwanamke hapo hapo ukawa vizuri kwenye mambo mengine, lazima kuna moja utalifanya kawaida na jingine utalifanya kwa ufanisi.

SASA KAMA DAKTARI KAAMUA KUOKOA MAISHA MWEZI MZIMA BADALA YA KUMBADILI MKE WAKE STYLE YUPO SAHIHI SANA, NA YULE ATAKAYEONA NI SAHIHI KUTUMIA HUO MWANYA KUMFUNDISHA MKE WA DAKTARI STYLE MPYA NI MAAMUZI PIA, KILA BINADAMU NA ATUMIE ZAWADI YA MAISHA KWA NAMNA INAYOMPENDEZA SABABU HATUJUI NN KIPO PUMZI IKIKATA NA MUDA NI MFUPI KWELI.
 
Hili ni andiko bora la mwaka
 
Back
Top Bottom