Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.
Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au unapiga kimoja tu chali. Kule unafikiri mwenzako anajifikiriaje? Lazima akiamka asubuhi amfikirie jamaa akampe kidogo cha kuondoa uchovu ule muda akienda sokoni.
Hawa wamama wanapambana na majaribu mengi huko na kama unavyojua mwanamke ni dhaifu. Sokoni kuna wauza bucha, nyama za nyongeza atapewa utumbo, njiani mabodaboda kuitwa itwa, lifti za bure anatunza buku ya kupeleka kwenye kikoba unakuta wanashawishika.
Sasa kama unarudi nyumbani halafu huna unachofanya eti kisa mke wangu nimemuoa, shauri yako! Kuna mijabali nje huko itakupigia halafu mtuletee nyuzi za kufumaniana na kupigana na vitu vyenye ncha kali.
Mi nimewaza tu kidogo tusaidiane kupunguza haya matatizo ambayo kila kukicha yanaongezeka.. Badilisheni kidogo mazingira ya ndani, tatizo mkishaoa tu basi mnajua mmefika, unajua mwanamke ni wako peke yako!
Nani kakwambia kuwa ni wako? Mwanamke huwa hasemi kama haridhiki kutokana na aibu, sasa wewe unaona kichwa tu kumburuza hivyo hivyo. Najua tozo zinaumiza na maisha magumu, kupanda kwa vitu bei, shule Januari ndiyo inakaribia, lakini tujitahidi sasa tutafanyaje yote hayo tunatakiwa tuyakabili.
Ongezeeni mengine, mambo mengi muda mchache.