Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wengine hata huyo dingi hatujui kama kafa au yuko hai.Kila nikisikia mtu anaongelea malezi ya baba huwa nawaza sana, "malezi yake yakoje, upendo wake kwa wanawe je?" malezi yake na ya mama yana utofauti upi?
Ila ndio hivyo sikubahatika kuyapata wala kuyaona😥 RIP Baba.
Hongereni kwa kila aliewahi kupata malezi na upendo wake.
Subiri wa kiume wamalize shule uone kali yake!Huu uzi umenigusa sana,,,niliishi na wanangu miaka saba kabla ya kutengana na mama yao,,miaka minne now tunaonana vipindi kwa vipindi na sikuwahi kudhan nitakuja kuishi na wanangu wawili mbali mbali
Kubwa nashukuru kazi zangu katika miaka mitatu ya mwisho ya utengano na mama yao nilikuwa mkoani so nilikuwa nakuja mwisho wa mwezi nakaa nao siku nne kisha namsha ,kwahiyo hata ndoa ilivyokufa hawakuathirika sana kwakuwa walishazoea kutokuwepo nyumbani sana
Ila huwa tunaongea kwenye simu na nashukuru mungu niliwazoesha kuwaambia nawapenda kila ninapoongea nao basi mpaka raha,mwisho wa maongezi yetu ni love you dady,miss you dah inapendeza
Hasa wa kike ndio dady utakuja lini basi nampa sound tu ntakuja hivi karibuni si unajua mabinti na baba zao
ILa nashukuru mama yao huwapa simu waseme wenyewe wanataka nini,labda kuhusu ada ndio wakubwa wenyewe tunaongea lkn sijui study tour wanaongea nami direct,,nawapenda sana,na hakuna atakaye simama kati yao dhidi yangu
Hata kama upo mbali waonyeshe upendo wanao
We usisahau ukizaa niletee wajomba haoWatoto wako wamepata baba😉
Mwaka 2026 nitaanza michakatoWe usisahau ukizaa niletee wajomba hao
Huwa nashiriki kwenye malezi yao tangu wakiwa mimba...Grahams babu vipi watoto wako Huwa unafanyaje kuwaonyesha wewe ndio mzee wao
Unataka kusema atanimind,,,nadhan inategemea na malezi ya mama yao,lakini mama yao yupo smart sana na anajali makuzi ya wanae,,,wamama wabaya ni wale ambao wanapandikiza chuki kwamba baba yenu mbaya na mambo kama hayoSubiri wa kiume wamalize shule uone kali yake!
Mi mzee alikuwa sio mbinafsi, ila akianza kutoa kichapo utatamani kuhama maskani. Ukizua mambo ya skuli akikupeleka anakusulubu mboko mpaka waalimu wanakuombea msamaha hata kama ilikuwa wakuadhibu.mimi mzee hata kula nae meza moja ni kipengele.. sijui alikua na shida gani mbinafsi balaa
Wewe ni baba Bora sanaHuwa nashiriki kwenye malezi yao tangu wakiwa mimba...
Unaposhiriki malezi tangu wakiwa tumboni then hata baada ya Kuzaliwa kwao, hutengeneza bond baina yao na Mimi.
Kingine, nawajibika. Mimi ni Baba ninayependa kuwajibika Kwa malezi na makuzi ya watoto wangu. Kuwajibika huku ni pamoja na kuwafanya watoto waone hakuna Baba mzuri na anayeweza kuwahudumia Kwa chochote zaidi yangu.
Kingine wanapotaka hela ya shopping nampa Mama yao hela mbele yao
Bila kusahau kuwashirikisha Mipango yetu ya maendeleo. Mfano Kuna Kiwanja nataka kuanza Ujenzi huwa nawaambia.
Nikiwa napitia kipindi kigumu cha kifedha, huwa nawaambia na huishia kuniambia Baba tunakuombea uwe na hela kama Jana 🤗🙏🙏
Thanks mkuu..
Sisi baba yetu siku za jumamosi au jumapili asubuhi utamuona anatengeneza mkate wa kukaanga ana kaanga na mayai. Basi mama anamwangalia tu!Haha pole sana siis tumeenjoy kweli lazima jioni tule nae
Tena mama akiwa amesafir anapanga ratiba ya kupika mm nilikuwa mpishi wa mboga
Yeye wali au ugali mdogowangu muandaaji wa vyombo
🤣🤣Ila ugali wake kula uwe Mwana mazoez unakuwa mgumu balaa🤣🤣
Thanks for sharing madam, kuna vitu nimevinote nitavi apply..Natumain mna afya njema
Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code
Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu nikakuelewa Kwa sabbu nimekuwa katika hali ambayo namuona akiwa anahangaika kwaajili ya yangu na familia yetu
Ngoja niwape mambo hapa machache
Kwanza jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wawaone mnashiriki kikamilifu kwenye ukuaji wao kuanzia kiimani na kiakili baba jitahid kuwa rafiki Kwa mtoto kwenye nyakati zote
Watoto wakiwa wadogo hujifunza sana Kwa kuona kilakitu kutoka Kwa wazazi
Akikua akiwa hakuoni na uko hai ni mbaya hata kwenye ukuaji hawezi kuelewa hata kama ulipambana huko nyuma ya pazia onyesh upendo wa wazi nae ataishi hivo hivo ukubwani
Kuna kutofautiana Kwa wale ambao wako mbali na watoto acha kumtumia mama kufikisha ujumbe Kwa mwanao Kila mara labda kama ni mdogosana
hakikisha unawasliana na anakuwa uhuru kusema kinachomsumbua aone wewe ndio babayake halisi hata uwe umbali mara elf 5 inaongeza upendo Kwa mtoto
Shiriki matukio ya furaha na wanao tenga muda wa kuwa nao pamoja hata mara chache kuongea nao na kufurahi
KWANGU
Kila kitu kilikuwa wazi tunajua nani ni kichwa Cha familia,akosi chochote Cha kishiriki na watoto kama ana nafas atakuita hata mbrash viatu vyake
bond Ilikuwa Bora sana
Hakutaka kumtumia mama aseme chochote Zaid tulikuwa tunawasiliana moja kw moja hafanyi chochote Hadi neno litoke kwangu direct na atanipa majibu mwenyew pia
Hakuna anaweza kuniyumbisha kuhus kumpenda Wala siwez mkubaliana mtu akisema alikuwa mbaya hata mama siwez muelewa
Jitahid kuwa karibu na kishiriki malezi acheni kuona nyie sio wahusika kwenye kuwajenga watoto wenu
Nimeongezea na kavideo hapo chiniView attachment 3038392
Mungu amtunze sana 🙏Sisi baba yetu siku za jumamosi au jumapili asubuhi utamuona anatengeneza mkate wa kukaanga ana kaanga na mayai. Basi mama anamwangalia tu!
Utamsikia baba anasema hii ni tamu sana! Halafu anaonja mwenyewe utamsikia ewaaaa! Hii safi kabisa! Mtaipenda.
Kingine amenifanya kwenye chai au uji naweka asali badala ya sukari. Ndiyo ilikuwa tabia yake sukari kwake hapana.
Kma nakuona unavodekaga 😃😃Kila siku nashukuru kwa kuwa na baba huyu niliyenayee, huwa nawaza je angekua mwingine ingekuaje kwa upande wangu?
Baba angu nampenda kuliko chochote, nae ananipenda na ananithaminiii, Nafurahia uwepo wake na aishi miaka mingi zaidi ili niendelee kufaidi matunda yakee.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Huyo lilith ni myth tu, haku exist..Ipo chuki ya asili kati ya mwanamke dhidi ya mwanaume sababu ya nguvu ya Lilith inayowavaa wanawake wengi.
Hizi fikra mimi nazikataagaUsiongee ukamaliza
Shukrani mkuuMoja; usiongee neno haiwezekani...
Mbili: Kukugeuka ni nini ? Huenda kuna watu wanataka vitu zaidi sababu tu by proxy fulani ni baba yake.., kwahio kama alifanya wajibu wake hata kuhakikisha tu unapata chakula and roof over your head without extras kama una kitu between your ears inabidi ushukuru (mfano huwezi kusema mama yangu alikuwa mkali na hanipendi wakati angeweza kutoa mimba au kukutupa ukiwa mdogo na hakufanya hivyo)
Tatu: damu nzito kuliko maji binafsi hata kama mzazi alikuwa mkali na mtukutu lakini bado tampa nafasi ya mzazi haijalishi sababu hakunipa extras au angeweza kunipa extra na hakufanya hivyo...
Mwisho kabisa nakuacha na hii story ya jinsi mtoto alivyomzira baba yake sababu kwenye birthday yake alimpa zawadi ya bible na sio Ferrari (might be a made up story lakini ni plausible)