mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 242
Umeitendea haki avatar ya Mwalimu,..kula like*1000000.....0000....0000mimi binafsi nampenda mwenye utii na anipende ,maana wanaume tunapenda kuheshimiwa kwanza tofauti na wanawake ambao wanahitaji sana upendo
utii+upendo lazima weeding bell zilie
ukileta ujuaji mwanamke utamegwaa mwisho utaishi kusema wanaume baba yao mmoja
Nakuelewa sana baba paroko na nilikua nahitaji mawazo yako kama hivi.... hapa nayatafakari mara mbili mbili....
Haya mambo haya magumu sana
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Ningependa Heaven on Earth aisome hii maneno kwa makini sana kwasababu ina kitu kikubwa sana
Fake ni fake siku zote,mwanaume ni kiumbe ambae ana saifa moja kubwa sana [anaejitambua lakini] mwanamke ambae anastahili kuolewa sio yule ambae anafanya mambo kwasababu ya kuolewa,huyu anaonekana kabisa ana fake
Mwanamke ambae anastahili kuolewa huwa yeye na hata pale unapoongea nae tu unaona kabisa huyu ni mke wa kuoa na mengine yanaonekana zaidi kadri ambavyo anaendelea kuwa kwenye uhusiano
W anawake ambao wana sifa ya kuolewa wala hawatumii nguvu nyingi kumshawishi mwanaume kumuoa kwasababu nikishagundua tu wewe ni wife material siwezi kupoteza muda,nakuoa fasta ili wasije kukupeperusha
Sijui kama utakuwa umenielewa!
Mfano: unamuoa mwanamke mwenye Kiwakilishi cha Lara1, wiki moja tu ndani ya ndoa utapata magojwa yote ya Duniani, na wiki inayofuata utakufa.
Siku me atakayoniona namfulia,pika,usafi etc kwake hajanioa atakuwa na ngekewa sana,am over smart at doing them but.sijawahi na sifikirii kufanyia km hajanioa.
Wasichana wengi huwa wanajiuliza hivi.kwanini mpaka sasa ma boyfriends zao hawajawaoa na wana kila uwezo na nafasi za kufanya hivyo wanazo. au unakuta watu wamedumu muda mrefu kwenye mahusiano mwisho wa siku mwanaume anakuja kuoa mwanamke mwingine kabisaa huku we umekaa nae miaka nenda rudi.
Hivi wanaume mnapenda kuoa mwanamke wa aina gani? maana utakuta msichana ni mzuri ana kazi nzuri,anamfanyia kila kitu mwanaume wake ie kwenda kwake kufanya usafi,anapika anafua...mtu anajituma kupita maelezo ila miaka inaenda inarudi holaa..anaishia fungu la kukosa na kulalamika kupotezewa muda.
Wengine hudiriki kutoa hata tigo wakiamin itawafanywa wapendwe zaidi,wengine kubeba mimba wazae basi watafanya yote hayo ilimradi tu mwanaume aridhike lakin pamoja na yote hayoo unakuja kukuta mwanaume anaoa mwanamke mwingine kabisaa...
Hivi hawa wanaume wanataka msichana mwenye vigezo gani hasa vya kumuoa?
Kwa hisani ya Insta.
Waloolewa wote wana makalio makubwa?????
teheeee teheee,..unatisha kijana!tehtehh..kama namwona vile....