Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...


Hahaaaaa ukweli mchungu japo umenifanya nicheke....

Sa nisipokipikoa utasema huyu mwanamke hajui lolote.. nikija kwako nikakuta nguo chafu nikaamua kuzifua nakuwa nimejipendekeza...sipaswi kumsaidia mwenza wangu jamani

Ushauri mzuri nimesoma mara mbili mbili aisee hasa hapo uliposema nini kinampa shauku ya kukuoa
 
Hio ni SIFA YA MICHEPUKO ya wanaume wengi ... angalia wanaohangaika na makalio wake zao wakoje halafu ulete mrejesho!!! Au mtaani kwako angalia wale wenye makalio makuubwa uone wangapi wameolewa? vry limited sijui kwa nini lkn.
Wanapenda SANA MAKALIO MAKUBWA, kama ndugu yangu huna hiyo mijikalio basi piga kimya usubiri majaaliwa yako
 
Kwanza kile kitendo cha kujirahisi mpaka unafikia hatua ya kumfanyia kazi za nyumbani mpz wako ukitegemea ndo atakuoa mnachemka, wanaume always tunapenda mwanamke mwenyemsimamo na asiyejirahisi, pia heshima, wadada wengi mnapokua karibu na wapenzi wenu ni rahisi mwanaume kukujua madhaifu yako na kukufahamu we ni wa aina gani.ukimchunguza kuku sana huwezi kumla.
 
umeshawahi kumkuta muuza njugu(karanga) akakuonjesha halafu ukaacha kununua..Je kosa ni la nani? muuza karanga au wewe uliepewa kuonja halafu ukaacha kununua?...kikawaida biashara zote ambazo mtu anapewa ruhusa ya Ku test kabla kununua..nafasi ya kufanya biashar huwa 50:50 kwa hio acheni kusikitika....Pia eleweni thamani yenu....Kumbuka wazazi wako walikuzaa na kukulea..walikuvisha nguo muda wote...iweje leo umekua mtu mzima aje mtu aanze kukuvua nguoa bila ya ridhaa ya waliokufundisha kuvaa nguo(wazazi)?...Ni vyema mwaname ukampeleka kwa wazazi kabla hujampa iyo nanihii yako...Vyenginvyo ukimpa karanga kuonja akagundua kumbe uliweka chunvi nyingi...au zinatoa harufu za kuoza...usimlaumu anapoamua kwenda kwenye korosho na kukuacha na karanga zako ukiendelea kuwapa wengine waonje...."Thamani ya mwanamke ni ndoa"
 

SHOSTI SWALI WAME ULIZWA WANAUME, kwani wewe mwanaume?
 
Mbona sijaliona hilo jibu????

Hili hapa...

 

Bado hujajua unachokifanya

SIKU UKIJUA UTABADILIKA SANA!
 
Dah!! Nafikiri ni kitu sponteneous. Mimi niwe mkweli bado sijajua nataka nini haswaaaaa kwa mwanamke nitakayemuoa. Ila kuna vitu vya msingi ningependa mwanamke wa kumuoa awe navyo. Lazima awe MZURI kwangu, aniheshimu, ajiheshimu na ASITUMIE NGUVU kunifanya nimpende, ajitambue (majukumu yake kama mke mtarajiwa wa Ki-Afrika) na kwa mimi asiwe na tabia ya kupenda kuchangamkia wanaume hovyo hovyo. Wanaume wengi tuna wivu sana inapokuja kwa mwanamke tunayempenda. Ikiwa nimemsoma kuwa ana tabia ya kuchangamkia wanaume mpaka kutoa signal kwa hao wanaume kuwa ana-approachika, nitakula kona tartiiiibu. Yaani asiwe mcheshi kupitiliza kwa wanaume. Ucheshi ukipitiliza kwa wanaume kwangu nitamuona kama kicheche. Ni mtazamo wangu mie, kila dume na mtazamo wake.
 
.....and neither a wife material....

 
at least katoa source maana nilitaka muuliza''ina maana hujui?"

Hahahahaaaaaaa ....

Unaweza uletewa barua yenye matusi

Je utamhoji yule aliyekuletea kuhusiana na yale matusi au utamtafuta aliyekuandikia?
 
Heshima nakumpenda mwanaume 100%,usiwe na kiburi au mbisho,vinginevyo mtandao utatumiwa na kuolewa huolewi.

Vipi upo single???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…