Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Msituone hatuna akili nyie..,, Hapo tunawatumia tu wala hakuna tunachopima hapo.. yaani hadi unifulie ndio ntajua unajua kufua au hadi unipikie ndio ntajua... Mungu ametupa wanaume akili ya ziada Heaven on Earth ... Vitu vingi hatuhitaji wala kukuona unafanya..

Wanaume nyie waoneni tu.... Sio rahisi kumridhisha mwanaume my friends.... Just be you na fanya kila uwezalo uzidi KUWA MKE MWEMA NA BORA watakuja kukupigia magoti wakuoe... usiseme ntakuja kuwa mke mzuri...KUWA SASA NA ISHI HIVYO na kwamwe msifikiri kwa kujirahisisha kwa mwanaume kunakupa chochote zaidi ya kujiongezea ZEREU
 
kama mimi sijui nikoje yaani mwanamke akinijia juu siku moja tu! nitaendelea nae ila kichwani tayari sio mke wangu ila ni sehemu ya kujipunguzia nanihii tu....

Unapenda kutetemekewa kweli....
 
kama mimi sijui nikoje yaani mwanamke akinijia juu siku moja tu! nitaendelea nae ila kichwani tayari sio mke wangu ila ni sehemu ya kujipunguzia nanihii tu....

Mtu kakujia juu siku moja ndio tayari anakuwa wa kupunguzia nanihiii mazuri yote yanafutika... anavyojitoa juu yako unakua huoni tena
 
simple and clear.... damu zikiendana tu!!!

ndoa hailazimishwi na kugawa game au kubana hakudetermine chochote, unaeza ukatoa tigo miaka nenda rudi na hata pete ya uchumba usipate, ukawa na ma*$ko makubwa ka vera au maso na bado ukaishia kuchangia wenzio harusi zao....
 
Dah!umegusa mulemule Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:

mmmh wengine ndo wanapenda hapo, maana wanajua muda wowote service ipo... tabia mtarekebishana mbele kwa mbele
 
Heshima nakumpenda mwanaume 100%,usiwe na kiburi au mbisho,vinginevyo mtandao utatumiwa na kuolewa huolewi.

Vipi upo single???

Wewe ni wa kuuliza status yangu kweli Viol????
 
Last edited by a moderator:
Kwa kawaida (ila sio lazima) wanaume tuna/wanapenda wadada wa kujiwe ki-usista duu zaidi kile kipindi cha kuishi kama GF na BF.
Lakini wanapohitaji kuoa, kwanza mume anategemea kuwa hatokaa sana na mkewe yaani anaweza muacha nyumbani akaendelea na shughuli zake hata nje ya nchi, hivyo mdada aliyekuwa anatesa nae kila siku hawezi muamini kama anaweza kuwa na uvumilivu huo kuweza kubaki nyumbani kifamilia zaidi mda mrefu huku kidume yuko na mishe zingine.
Pili, unapokuwa na GF mda mrefu, baadhi ya familia au koo(hata yangu) zinakutizama kivingine kabisa dhidi ya huyo unayemuta tu GF kwa mda mrefu bila hata kumuoa na wanakuchukulia (japo ni kweli) kuwa yule yupo kistarehe zaidi na si kimaisha ya familia.
Kwahiyo unapotaka mke maalum wa maisha ya ndoa ambaye anaweza hata lala kwa wakwe zake mwezi, huwa unaachana na yule uliyekuwa unaishi naye kiujana zaidi na unatafuta mpya unayemuamini yupo kiheshma zaidi ili kufuta kabisa dhana dhidi ya yule uliyekuwa wamuita GF.
N.k....
 

Damu kuendana zinaendanaje???
We ukiwa group A na mie A basi hapo ndoa tayari
 
Wewe ni wa kuuliza status yangu kweli Viol????

Nimesahau ndo unikumbushe

BTW turudi kwenye topic,hivo vyote ulivyoorodhesha kwamba unamfanyia hivi na hivi ni kijipendekeza tu
 
Last edited by a moderator:
Mtu kakujia juu siku moja ndio tayari anakuwa wa kupunguzia nanihiii mazuri yote yanafutika... anavyojitoa juu yako unakua huoni tena

unajua sisi wanaume huwa tuna kasumba moja kwamba kama umeweza kunijia juu siku moja basi ni ishara mbaya endapo utakuwa ndani ya ndoa!!!!!
nahitaji hata kama nina kosa niweke chini nikiwa nimetulia kistaarabu sio kukunja mdomo tena kama tunapiga stori niulize "mbona ulifanya hivi mpenzi wangu tena kwa sauti ya upole" sio wewe nimekosea basi ni makelele simu unakata nikikutumia sms hujibu yaan ni vurugu halafu baadae unaniambia samahani aiseee nitakusamehe ila hapo sio mke wangu!!
nitajipunguzia tu nanihiii basi...............!!!
 
Sio kweli Zinduna si kila mwanaume anapenda makalio makubwa wengine tunapenda normal bumbs,ila heshima,uaminifu + Mipango ya kimaendeleo ni vipau mbele vyangu!
Wanapenda SANA MAKALIO MAKUBWA, kama ndugu yangu huna hiyo mijikalio basi piga kimya usubiri majaaliwa yako
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaa ....

Unaweza uletewa barua yenye matusi

Je utamhoji yule aliyekuletea kuhusiana na yale matusi au utamtafuta aliyekuandikia?

safari moja huanzisha nyingine....red kwanza...ikiwezekana anafuata blue...
 
Damu kuendana zinaendanaje???
We ukiwa group A na mie A basi hapo ndoa tayari

hahah inaweza kuwa A kwa O lakini zikaendana...

ni vile unakuwa poa na vitu navyovifanya na ukavumilia mapungufu yangu... upo huru na mimi wakati wote!!! mume ni kama mshikaji wako, unakuwa haujistukii kuwa nae....
God fearing, kujiheshimu, muonekano navyo vinachangia
 
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha. Vile vile huwapa majaribu ya kila aina waone uvumilivu wao.


Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri.


Hali sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa.
Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu kumtamkia kwamba anataka kumuoa.


1.Mweye mapenzi ya kweli
2.Mwenye Tabia nzuri
3.Mwenye uchu na maendeleo
4.Asiyependa makuu
5.Mvumilivu.


Mimi nikipata mwenye hizo sifa naoa fasta sana. Kama yupo aniPM Mia
 

You are very right
 
Mi nafikiri wazungu wametuweka kwenye mteko wa panya...Maana halisi ya Girl friend( ni hawara) mwanammke unaweza kumtumia kwa starehe bila ya kuwa na ulazima wa kumuoa..na Boy friend ( Buzi) mwanamme unaweza kumlia fedha zake na kukutumia kwa starehe bila ya ulazima wa kukuoa...Ala kulli hali ni watu mlioamua kuzini baada ya kutoona ulazima wa nyinyi kuoana...mtu anapomchoka mwenzake hapana haja ya kuanza kulaumiana...mlilikoroka na ni vyema kuendelea kulinywa..."Thamani ya mwanamek ni ndoa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…