Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

mwanamke kama aunty ezekiel au aunty lulu ndo machaguo langu.
 

Hahaaa yaani umenichekesha sana hasa pale ulipoanzia kwenye mavazi... mie kusema ukweli napenda nivae visketi flani sio kimini saana ila napenda nguo fupi sio ndefu.. vigauni simple lakin iwe fupi huu ndio sosi ya ugomvi kwenye mahusiano

Nakumbuka niliwahi kumjibu mtu kuwa "ulinikuta hivi hivi na utaniacha hivi... yaani hiyo kauli ilileta mfarakano ajabu
 
Kwenye red imekaa safiii sana hapo. Kaukweli fulani.
 
Ningependa Heaven on Earth aisome hii maneno kwa makini sana kwasababu ina kitu kikubwa sana

Fake ni fake siku zote,mwanaume ni kiumbe ambae ana saifa moja kubwa sana [anaejitambua lakini] mwanamke ambae anastahili kuolewa sio yule ambae anafanya mambo kwasababu ya kuolewa,huyu anaonekana kabisa ana fake

Mwanamke ambae anastahili kuolewa huwa yeye na hata pale unapoongea nae tu unaona kabisa huyu ni mke wa kuoa na mengine yanaonekana zaidi kadri ambavyo anaendelea kuwa kwenye uhusiano

W anawake ambao wana sifa ya kuolewa wala hawatumii nguvu nyingi kumshawishi mwanaume kumuoa kwasababu nikishagundua tu wewe ni wife material siwezi kupoteza muda,nakuoa fasta ili wasije kukupeperusha

Sijui kama utakuwa umenielewa!
 
Last edited by a moderator:

Siku me atakayoniona namfulia,pika,usafi etc kwake hajanioa atakuwa na ngekewa sana,am over smart at doing them but.sijawahi na sifikirii kufanyia km hajanioa.
 
Last edited by a moderator:

Hapa katoa jibu sahihi kilamwanaume anapenda kuheshimiwa, ukikosa hilo ndoa utaisikia tu. Pia wanaume hatupendi mwanamke mjuaji hapo lazima utaisi kulogwa maana hutasikia neno ndoa kutoka kinywan mwahuyo mwanaume
 
tehtehh..kama namwona vile....
 
Mwanaume anapenda kuoa mwanamke atakayempenda kiukweli sio kupenda vitu vyake, mwanamke mwenye heshima., sio yule anayejidai anaheshima, pia mwanaume anapenda kuoa mwanamke mwenye msimamo usio yumba. Sio kila kitu we ni ndio mzee,
 


1.Mweye mapenzi ya kweli
2.Mwenye Tabia nzuri
3.Mwenye uchu na maendeleo
4.Asiyependa makuu
5.Mvumilivu.


Mimi nikipata mwenye hizo sifa naoa fasta sana. Kama yupo aniPM Mia

unamfahamu subiani wewe...???
 

Nakuelewa sana baba paroko na nilikua nahitaji mawazo yako kama hivi.... hapa nayatafakari mara mbili mbili....

Haya mambo haya magumu sana
 
Last edited by a moderator:
Sifa za kuolewa na MO11

-akubali kuachishwa kazi kama anafanya kazi yaani awe mama wa nyumbani hapa kuna vitu vingi inabeba kwani hatuwezi kuishi pamoja halafu kila mtu ana malengo yake

-Ujuaji wanawake wa siku hizi ni wajuaji kila kitu anajua huyo hanifai hata kama anajua mi nisijue kama anajua hadi atakapoulizwa

-Mwanamke ambaye yupo bize na simu hanifai kila social network yupo huyo akaolewe na google sio mimi

-Utii mwanamke unisikilize sio kila kitu ubishi ubishi kama ulimwengu wa kambale

nb: sura hubadilika umri unapoenda
makalio kuna ya kichina umri kienda madhara yataonekana

hizo ni sifa za mke wangu mtarajiwa sio zako
 
Last edited by a moderator:

Sifa kuu ya mwanaume ni "hasomeki"..akisomeka ujue ana mapungufu....pili nadhani hujawahi kupenda la sivyo ungeujua uchungu wa kutendwa na kuachwa....tatu nauliza "umeolewa?".
 

Umenikumbusha enzi izo nlipokuwa kwenye mahusiano na uyu alofanikiwa kuuteka moyo.Nlikua hata nikute nguo zmejaa kwenye tenga mpaka zinamwagika chini sifui.

Baadae sana rafiki yangu akaniambia nnavofanya sio vizuri ndo nkaanza kufua mara moja moja.
 

Kizazi hichi uasubiri sana:what::what:
 
Last edited by a moderator:

Mmh

Kuacha kazi bado sijaacha aisee........, bora social network naweza quit

Kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…