Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi.

Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti awe hana kazi alafu awe maskini au atoke familia maskini hakuna rangi àmbayo ataacha kuiona.

Hata matusi na kejeli za single mother zinawaumiza zaidi mabinti wasio na kazi na wanaotegemea wanaume kwa asilimia mi moja. Kwa wale wanawake wanaojiweza kejeli na matusi hayo hayana ñguvu kivile. Tenà kejeli hizô zikitolewa na vijana maskini au wanawake wasiojishughulisha ndîo kabisa zinakuwa kama kúpiga amapiano kwa mbuzi wa kimang'ati.

Wewe kalia maneno hapo kuwa ooh! Hao ni marioo sijui wanaume wa siku hizi wanakimbia majukumu, hiyo halibadilishi chochote kuwa soko la mwanamke mwenye kujishughulisha ni kûbwa tofauti na mwanamke mvivu àmbaye hataki kufanya kazi anategemea aolewe kwani ndoa kwàke ni ajira.

Vijana, usije ukasema taikon sikukusanua, kwa zama hizi ukitaka maisha mazuri, uunde familia stable na uache watoto kwèñye mikono salama, usikubali kuoa mwanamke àmbaye attitude yake ni kukutegemea, never ever.

Mwanamke àmbaye hataki kufanya kazi. Alafu hana sababu ya maana.

Sababu pekee àmbayo mwanamke hatakiwi kufanya kazi ni ugonjwa, ukilema, au kipindi cha uzazi au kama mimba inasumbua.

Lakini mtu ni mzima kabisa, alafu hataki kufanya kazi. Huyo atakutesa sana.

Pia soma: Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

Kûna wale watu weñye dhana potofu kuwa mwanamke akiwa na kazi anakuwa na kiburi sijui anakuwa mjeuri, sijui anakuwa hana utiifu.

Hiyo ni dhana potofu.

Hakuna uhûsiano wowote baina ya kiburi, jeuri na kukosa utiifu kwa mwanamke na kufanya kwàke kazi.

Ila kûna uhûsiano wa karibu wa kiburi, ujeuri, kukosa utiifu kwa mwanamke na kutokukupenda. Mwanamke kama hakupendi hawezi kukutii, lazima awe kiburi, na jeuri.

Ukiona hakupendi lakini anakutii na hana kiburi ujue anakuigizia, anakufanyia drama, na wanawake ni wazuri wa kuigiza, pretenders, wazuri katika kumalizia mipira iliyokufa.

Sababu ñyiñgine ya mwanamke kuwa na kiburi, kukosa utiifu na kuwa jeuri ni tàbia mbaya ya mwanaume wake hasa tàbia ya usaliti. Hakika, mwanamke mwenye kujishughulisha na mwenye kipato hawezi kukuvumilia ukiwa unamfanyia usaliti na kumpiga màtukio ya wazi.

Wewe tumia akili kadiri utakavyoweza kuwa na michepuko lakini hakikisha mkeo hajui na hatakuja kukukamata kwa sababu hata usipofanya bado mkeo hawezi kuamini kuwa wewe hutaki na wanawake wengine.

Wanawake wanajua kabisa, mwanaume kamili hawezi kuwa na mwanamke mmoja. Yàani mkeo kîla akitazama pisikali huko mitaani akili yake haiwezi kuamini kuwa ati mumewe haioni na haioni onji huko nje.

Lakini mwanamke ana - appreciate ule uwezo wa mumewe kumheshimu na kuficha uchafu wake huko.

Binti yàngu lazima ujue kuwa, wanaume tunajua kabisa mwanamke mwenye kazi na kipato atachukua maamuzi gàni endapo akitufumania. Tunawaheshimu sana wake zetu wakiwa na kazi kwa sababu wanakuwa watu. Mtu lazima aheshimiwe.

Zaidi sana wanaume huumia wanapoachwa na wanawake bora àmbao hujishughulisha na kazi.

Mwanamke lazima uelewe kuwa kama vile wewe usivyoumia sana kuachwa na mwanaume maskini asiye na kazi wala kipato chochote ndivyo hivyohivyo na wanaume wengi hawaumii kuachwa na mwanamke asiye na kazi.

Mtu ataumia kuachwa na maskini kweli? Mtu ataumia kuachwa na mwanamke aliyekuwa mzigo?

Mwanamke elewa, vile àmbavyo unaona uafadhali kuachwa na mwanaume asiye na kazi kisha ukapata mwanaume mwingine mwenye kazi ndivyo hivyohivyo wanaume wengi wàpo hivyo.

Kuutua mzigo wengi hushukuru.

Wanawake wengi hujiuliza mbona wanaume wakiwaacha au kuwatelekeza na watoto hawawakumbuki hata kúpiga simu tuu.

Nani atamkumbuka maskini, nani atamkumbuka fukara?

Yàani akukumbuke ili umpige kibomu, wewe kîla siku lawama, wewe kîla siku mtoto anaumwa. Wewe kîla siku unataka pesa. Hata ni mimi siwezi kukukumbuka.

Wanawake single mother weñye kujiweza hukumbukwa kwa sababu hawalii lii njaa. Ikipigwa simu watu wanaongea mambo ya mtoto na maendeleo yake. Kama baba anachochote atatuma. Hakuna kelele kelele. Kwanza mwanaume mwenyewe anajishtukia hivyo anajikuta anatuma hata vielfu ishirini au kama hana kabisa basi hata kuwajulia hali.

Lakini kamwe umaskini hauwezi kupigiwa simu. Ufukara hauwezi kujuliwa hali. Ni mkosi kuujulia hali umaskini na ufukara. Ni sawa na kuonja sumu au kuki-beep kifo.

Binti yàngu fanya kazi, jitegemee, uweze kujitunza na kulea watu wako. Mambo yamebadilika sana. Ninyi sasa nanyi ni watu na man utu ndàni yenu. Na huo ndio utu.

Usipokuwa na kazi utakuwa mtumwa. Hautakuwa really. Utakuwa mnafiki nafiki tuu. Hautaheshimiwa. Alafu zaidi utaitwa majina mabaya sana.

Hakuna atakayekutaka. Alafu maskini mjinga na mvivu hanaga upendo, maskini mvivu ni kama mtumwa. Mtumwa hapendi.

Binafsi siamini katika upendo wa maskini mvivu. Siamini katika uaminifu wa maskini mvivu. Najua wengi siô waaminifu.

Binti fanya kazi. Mambo yamebadilika. Mtu ni mtu bila kujali ni mwanaume au mwanamke, mfupi au mrefu, mweusi au mweupe.

Usije ukajidanganya au kudanganywa.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Kabisa mkuu naunga mkono hoja , ila pia kama mwanamke hana kipato tuwawezeshe wawe na kitu cha kufanya ili walete kitu mezani .

Ili uwezeshwe lazima Watu waone kitu ndàni yako.
Nini unaweza kufanya.

Sishauri Wanaume kuwawezesha Wanawake Ikiwa hawajaona kitu walichonacho ndàni Yao.

Mfano, Mwanaume ukimtazama Mkeo unamwona anajua Sana kusuka, na anaiweza Kazi hiyo. Unamwambia ngoja nikutafutie Pesa nikufungulie Saluni. Kweli unapata Pesa lakini mkeo yeye anakuambia anataka Kufanya biashara ya kuuza nguo au Duka.

Ukifuatilia unagundua Mkeo Hana ujuzi, uzoefu WA kufanya biashara hiyo. Ila anafuata Mkumbo Kisa Shogaake anaduka la nguo.
Huyo usimpe mtaji. Atauchoma.

Wanaume wengi wanalaumu Wake zào baàda ya kuchoma mtaji. Lakini ukifuatilia unagundua Kosa lipo Kwa Mwanaume,
 
Na wanawake pia vivyohivyo.....Dunia uwanja wa vita aisee

Wanawake Kwa Sasa hawana jipya. Waô tangu Zamani hupenda Kuolewa na Watu ilhali waô hawakuwa Watu.

Anataka kuolewa na mwenye Kazi au kipato Wakati yeye Hana Kazi wala kipato

Sasa kibao kimegeuka.
Wanaume sasa nao hawataki Kuoa watumwa, wanataka Kuoa Watu weñye UTU
 
Ili uwezeshwe lazima Watu waone kitu ndàni yako.
Nini unaweza kufanya.

Sishauri Wanaume kuwawezesha Wanawake Ikiwa hawajaona kitu walichonacho ndàni Yao.

Mfano, Mwanaume ukimtazama Mkeo unamwona anajua Sana kusuka, na anaiweza Kazi hiyo. Unamwambia ngoja nikutafutie Pesa nikufungulie Saluni. Kweli unapata Pesa lakini mkeo yeye anakuambia anataka Kufanya biashara ya kuuza nguo au Duka.

Ukifuatilia unagundua Mkeo Hana ujuzi, uzoefu WA kufanya biashara hiyo. Ila anafuata Mkumbo Kisa Shogaake anaduka la nguo.
Huyo usimpe mtaji. Atauchoma.

Wanaume wengi wanalaumu Wake zào baàda ya kuchoma mtaji. Lakini ukifuatilia unagundua Kosa lipo Kwa Mwanaume,
Kabisa mkuu naunga mkono hoja
 
Binafsi sihitaji mwanamke mwenye kipato,tangu nisalitiwe na kutaka kuuawa kisa kipato Cha mwanamke siwahitaji hata Bure!

Hakuna Wanawake wasaliti kama Wanawake wavivu wasiotaka kujishughulisha.

Playboy's wanajua Mwanamke yupi NI rahisi kumlaghai Kati ya mwenye Kazi na asiye na Kazi

Ingawaje Usaliti unatokea kote
 
Imagine unadate na mtu mzima 25+ yrs ila hana hata uwezo wa kununua vocha.
Unamuuliza kwanini hukua unareply texts anakujibu hana vocha, seriously!! Ana maana hata uwezo wa kuipata hana bila kutumiwa na mtu.

Hii ni hatari, hapo hapo ukimuuliza anahitaji mwanaume wa aina gani atakwambia sifa kibao za Me mwenye kipato moja kwa moja.

Kwakweli mwanamke golikipa hata mimi simkubali hata kidogo,
 
Imagine unadate na mtu mzima 25+ yrs ila hana hata uwezo wa kununua vocha.
Unamuuliza kwanini hukua unareply texts anakujibu hana vocha, seriously!! Ana maana hata uwezo wa kuipata hana bila kutumiwa na mtu.

Hii ni hatari, hapo hapo ukimuuliza anahitaji mwanaume wa aina gani atakwambia sifa kibao za Me mwenye kipato moja kwa moja.

Kwakweli mwanamke golikipa hata mimi simkubali hata kidogo,

Kwangu NI Bora nisumbuane na Mwanamke mwenye Kazi àmbaye NI mtu kuliko nihangaishane na Mwanamke asiye na Kazi.

Mwanamke mwenye Kazi ni muelewa practically Kwa sababu anajua kwèñye kutafuta kûna kupata na kukosa lakini Mwanamke mvivu asiye na Kazi ASIJE akakudanganya NI muelewa, wengi wanalawama, hawana uelewa wowote na UTU wa binadamu isipokuwa wanaishi kwenye nadharia
 
Back
Top Bottom