Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

Kuna kima toka kigoma iliniambia Ina interview dar niijipeshe nauli ikujelike200k. Nikaipa 150k sio ya mkopo na pussie haijaombwa, kweni ilikuja
 
Alikujibu vizuri.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unajidanganya ukimpata huyu wangu umekwisha
 
Mambo mengine haya si ya kuyaandika, ni kuyapotezea tu.....fikira mwanamke changu tu hana hili wala lile.....anakupigia simu kukuomba pesa wakati si mke wako, unampa ili iweje? Mwanamke hasa changudoa si wa kuwaonea huruma hata kidogo, unawaacha tu kuhaha kama mademu wa bongo movie dizaini ya kina Lulu Diva na Wema.
 
Wewe unayeona ni sawa Kila saaa kuombwa Hela na demu, subiri uingie nae kwenye ndoa ndio utajua hujui. Mwanamke anayejiheshimu hata akiwa na shida atakuingia kwa staha sana na utajua tu kweli huyu anashida. Ila hivi vya siku hizi vinaanza na "Nikwambie Kitu".

Mtu mmeanza mahusiano mwezi wa kwanza anaomba Hela ya kusuka, pedi, luku, maji, Kodi... Hahaha wajinga ndio waliwao
 
Wanawake kausha damu tu usipokuwa makini hupigi hatua...
Kamoja jana kamenipgia eti nna michezo 3 nataka kuchanganyikiwa na kila mchezo inabdi nitoe laki.
Sasa naona nikitumia mshahara sijui nitaishije mwezi huu fanya vyovyote unitumie ela. Nikakajibu sina ela. Kakasema sasa tunafanyaje?
Nikawaza michezo ucheze wewe, pesa upokee wewe shida nipate mimi.
Nikakambia sina jitoe tu kwenye hiyo michezo. Kakanuna. Shubaamit
 
Mkuu wanapiga mizinga c mchezo na aibu hawana yani sijui wanaona hicho kipochi manyoya kina thamani ya bilion ngapi
 
Mkuu watu wenye ujasili kama huu huwa nawapenda mmo hawa viumbe kweli sio wa kuwaweka akilini
 
Mkuu watu wenye ujasili kama huu huwa nawapenda mmo hawa viumbe kweli sio wa kuwaweka akilini
Mkuu yani nilishawahi kujitoa sana kwa kiumbe mmoja sana yani nikawa lofa. Alinipiga na kitu kizito ila alinifunza kwa vitendo.
Ukileta njaa zako kwangu najikataa kimya kimya.
Badala ya kujijenga unagharamia lifestyle ya binti fulani anayetaka ishi above her level.
 
def_xcode rubii Qashy Lilith Gojaga Nize kuna baadhi ya wadada nliwakimbia sababu ya vizinga, nasubiri kwa hamu nione aina ya wanaume watakaowaoa, au hata kuzaa nao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…