Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

ukitaka kujua kama mwanamke yupo real na ww hasa hawa kausha damu ww nenda kwao bila taarifa kamchumbie awe mchumba wako
tena mwambie kabisa nataka nikuoe uwe mke wangu tuishi pamoja kwny shida na raha
hapo akikubali niite mbwa kasoro mkia.
Nilishawahi kumgusia hilo nikaona kaanza kuleta brah brah mara mimi bado kidogo kuna changamoto nataka nikumbane nazo ili akili ikomae nikaona hapa amna kitu akaniambia nipange vyumba sehem mbili ili kimoja akae yeye nikamwabia why tusiishi pamoja ili misilipe kodi sehem mbili akachomoa
 
Huyo mwanamke ana wazazi wake na usikute ana mabwana zaidi yako, ni dhambi kumpa mwanamke pesa.....inabidi ajitafutie yeye mwenyewe kwa kufanya kazi. Inawezekanaje mtu unamtongoza leo tu akawa na furaha kibao huku akijisifia kila aina ya sifa. Utashangaa kesho anaamka na matatizo kibao, yaani shida zake zote zinahamia kwako. Mlikutana jana na ukampa offer ila anakupigia simu kesho yake akisahau kuwa ulimlipia chakula jana na kukuambia hajala mwezi mzima, ana njaa ila njaa yake inatatuliwa na sahani ya biriyani tu ya kula watu 50 na soda kreti 4.
 
Huyo pisi yako usiwekeze moyo hapo.. na huenda baadae utamkimbia

Na tabia hizo alizo nazo ukute anategemea umuoe, sometimes ukute ana hint kuwa anataka kuolewa na wewe, wengi wa hivyo wanaishia kukaa bila kuolewa half Wana end up kuwa frustrated na kujiuliza kwanini wanaume hawawaoi, watasingizia wamelogwa, jini mahaba, wanaume waongo, kumbe ni tabia zao zinawakimbiza potential husbands Melancholic
 
Ahahahaha...
Kwan mimi mwenyewe ukioniona utaamini basi?
Sema mimi sinunui barabarani japo haiondoi tofauti.😂
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Sina muda wa kubeba ufala , matatizo yako yatibu mwenyewe Sina muda mimi sio baba yako wala sio ndugu yako. Mahusiano hayana tafsiri ya kufanya mwanaume awe ATM, source of money au financial doctor

I have never seen anything in the bible that men are blessed with financial miracles
 
Kuomba haikatazwi ila kuombaomba ni tabia ya hovyo, siyo kwa mwaname tu hata kwa mwanaume ukiona mtu anaombaomba ujue hata malezi yake ni ya hovyo hana nidham, ukilelewa vizuri kabisa ni ngumu sana kuwa na tabia za kuombaomba.
 
hawa viumbe washafanya mapenzi kuwa machungu,imagine enzi hizo ukisikiliza nyimbo kama za westlife unazama kwenye hisia mujarabu lakini this time ukisikiliza unahisi kama ni kelele za nzi masikioni.
Verry sure mkuu now days mapenz ni machungu mno hizo hisia za hizo ngoma aziendani na hawa viumbe wasasa
 
Reactions: Sax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…