Vitunguu dawa sana!Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee [emoji1733]
Sina stress za maisha mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unachekacheka coca-cola
Umesahau ma massage parlour.Na wanawake huo umri ndio nguvu za kike zinazidi huku mume wake nguvu za kiume zimepungua. Hapa boda boda ndio wanaokoaga jahazi na wale ma gym trainer
kwanza yakupasa utambue sex ni starehe na siyo kukomoana mnapaswa kufanya maandalizi mazuri wewe na mwenzio then mkipandana kimoja au viwili nyote mnaridhika lakini ukitaka upigwe bao 4 au 5 jamani natafuta nini huko zaidi ya kuchoshana wakati akili inawaza mambo mengi kwa wakati huo huoUna lipi la kusema kuhusu mada tajwa hapo juu
Kwaiyo ambao hatujafikisha 40 tumalizane na kila aina ya mbususu?Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.
Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
Well said👏kwanza yakupasa utambue sex ni starehe na siyo kukomoana mnapaswa kufanya maandalizi mazuri wewe na mwenzio then mkipandana kimoja au viwili nyote mnaridhika lakini ukitaka upigwe bao 4 au 5 jamani natafuta nini huko zaidi ya kuchoshana wakati akili inawaza mambo mengi kwa wakati huo huo
kama mwanamke ni wanikuridhika na bao moja ataridhika na kama siyo wakuridhika hata umkaze magoli 10 bado ataona kama hujafanya kitu
unaweza simamia ukucha hata mpaka asubuhi mwishoe mnatoka hapa na michubuko na maumivu kwahiyo inakuwa karaha raha ya mapenzi mpatane watu mnao elewana na kusikilizana kila kitu kinakuwa pouwah hata akikugusa na kidole unaridhikaWell said[emoji122]
Magoli mengi sio ndio kumridhisha mwanamke, hii wanaume wengi wanatakiwa watambue.
Wengi wanajisifu kusimamia ukucha ila wanashindwa kuridhisha wanawake wao.
Unatumia kinywaji gani nikuagizie ufungie mwaka leo mkuuunaweza simamia ukucha hata mpaka asubuhi mwishoe mnatoka hapa na michubuko na maumivu kwahiyo inakuwa karaha raha ya mapenzi mpatane watu mnao elewana na kusikilizana kila kitu kinakuwa pouwah hata akikugusa na kidole unaridhika
Ana miaka 76, kakuzidi miaka 57, (76-59= 19.) Kwa umri wako wa miaka kumi na tisa uyo ni babu yako wala hupaswi kumfanya kuwa mshkaji wako.Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee [emoji1733]
mkuu mimi maji tuu yananitoshaUnatumia kinywaji gani nikuagizie ufungie mwaka leo mkuu
nimejaribu kupiga hodi but milango imefungwa mkuu nilikuwa najuletea juice ya lemon vs passion but umefunga milangoUnatumia kinywaji gani nikuagizie ufungie mwaka leo mkuu
Hahaaa em gonga kwa nguvu mbona sijasikia, nipo jikoni napika ugalinimejaribu kupiga hodi but milango imefungwa mkuu nilikuwa najuletea juice ya lemon vs passion but umefunga milango
duh wanasema pm iko locked maybe ugonge kwangu mkuu nikupokee ili niweze kukaribia kwakoHahaaa em gonga kwa nguvu mbona sijasikia, nipo jikoni napika ugali
Hiyo juice itanifaa kushushia ugali wangu
Nichangie jambo juu ya umri tendo na ndoa au mahusiano kamili.Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.
Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu