mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
[emoji38][emoji38][emoji38] dogo awe na adabuAna miaka 76, kakuzidi miaka 57, (76-59= 19.) Kwa umri wako wa miaka kumi na tisa uyo ni babu yako wala hupaswi kumfanya kuwa mshkaji wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38] dogo awe na adabuAna miaka 76, kakuzidi miaka 57, (76-59= 19.) Kwa umri wako wa miaka kumi na tisa uyo ni babu yako wala hupaswi kumfanya kuwa mshkaji wako.
Usiishi maisha ya kukariri Mama Edina. Kuna watu tuna umri mkubwa, na bado nguvu zipo. Yaani tuna uwezo mara 2 ya wale vijana wala chips yai.Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.
Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
Huyo aliyeweka fact za kitaalamu ni nani? Unaweza kunionesha?Hujajibu swali. Weka facts za kitaalam kama alizoweka mwenzako. Unajiongelea wewe au wanawake wote? Umezitoa wapi hizo proof? Tuambie source otherwise wewe muongo
Heheheeee wamenituma.Mbona kama unawasemea wengine? Sorry kabila gani wewe?
Anyway lets make it easy. Umetumia sayansi ya wapi kama source ya andiko lako?Heheheeee wamenituma.
Weka uthibitisho kuwa kuanzia miaka 40 libido kwa wanawake inaongezeka na kwa wanaume inapungua. Otherwise uliyosema ni maneno ya vijiwe vya karanga na ushonajiHeheheeee wamenituma.
Halafu hako kamoja kanakuwa kametumia dk ngapi mkuu? 😂😂Hakuna mwanaume amewahi kushindana na hiyo kitu akashinda, hayupo.
Kwa vile at 40 ndio maisha yanaanza, hata hiyo Moja sio mbaya kama pande zote mbili zimeridhika, kwani ugomvi?
Vijana wanaotuma nauli, kulipia guest na kununulia chips kuku ndio wanataka kufidia gharama zao.
Wachangiaji wenyewe hawajafika 40yrs halafu wanazumgumzia what it's like being 40yrs old.Mambo ya humu jf ukiyaweka akilini unaweza kuyaona maisha hayana maana na kujiua.........
Kiuhalisia mwanaume wa miaka 50 bado mdogo sana........Tena ndio umri wa kulifurahia tendo.........
Labda uongelee miaka 70s huko.....
Changamoto za kiafya huweza kumkuta mtu yoyote...katika umri wowote
Ukiona mwanamke analalama anataka cha pil au cha tatu basi jua cha kwanza hukumridhisha na ulienda mda kidogo sana.. nawambia watu mara nying. Hakikisha cha kwanza umeenda zaid ya dk 35... Penetration na fore play iwe ni dakika 15.. na uwe mtundu kucheza na vidole vyako... Ukimfanya hiv mwanamke hata siku moja haweza lalama kwamba unaenda ki1 tuNdio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.
Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
Sijui watu wanayachukuliaje mambo ya umri...... mwanaume wa miaka 50 bado kijana kabisa......mwanaume unaanza kuuona uzee kuanzia miaka 60 na kuendelea.....hata wewe mwenyewe tu ukijitazama unaona kweli naelekea ukingoni......Wachangiaji wenyewe hawajafika 40yrs halafu wanazumgumzia what it's like being 40yrs old.
Halafu hako kamoja kanakuwa kametumia dk ngapi mkuu? 😂😂
We maza Fala sana ujuwe.Waongo hao. Lobido inaenda chini kwa mume wake kwa sababu wameshachokana. Ila akiguswa huko nje chupi inalowa. Acha kabisa.