F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Watu tupo 40+ tunapeleka moto kwa viwanachuo hadi vinagoma kurudia shoo sembuse lishangazi 35+ livivu kitandani?🤣🤣🤣Hapo ndo kosa alilofanya kugeneralize
Na wakati mwingine wao wenyewe ndo wanachangia mwanamume asiwe na mzuka hasa suala la usafi hakuna kitu kinafanyaga nisiwe na mzuka kama nikute mwanamke asiye msafi
Unapiga tu ile ukojoe usepe
Au yule kitandani kama gogo ushirikiano zero