mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
ExactlySex is a combination of many factors. Katika ujana before 40, majukumu ni machache na energy levels zinatofautiana.
After 40, focus inahamia kwenye kujenga sustainable future kwa familia hivyo sex inaplay role ndogo sana kwenye maisha ya mwanaume. Pia kuna wapendanao kuzoeana, hapa utashangaa huyo huyo mwanaume wa shot moja akikutana na mchepuko, anazunguka uwanja mara kibao.
So sex is more of a psychology than just attraction.