Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Mchawi ni natural consistent decline ya testosterone with age. Kuna wanaofanya testosterone replacement therapy wakifika 45+ na wanaendeleza libeneke kama kawaida. Hii therapy inabidi usimamiwe na daktari na ahakikishe una cardiovascular system ambayo haina mgogoro. Baada ya hapo ni kuzichakata tu mpaka huko 60+
Afya babu afya hamna kingine muulise Koffi olomide jinsi anavyogonga vibinti mpaka kesi
 
It varies from one person to another depending on certain factors.

Wapo wanaume huko nje wamefikisha 50+ ila wanasimamia ukucha chumbani,Yaani wanapiga show za kibabe sio poa.
 
Ugomvi nao unaletaga amsha amsha ila uwe ugomvi mdogo wa kuongeleka..... baadae ya hapo mkipiga make up sex ooohhh hallelujah
Ule ugomvi mdogo mnajifanya mnatuletea tumikono twenu kupiga, nakukamata kwa nguvu kifuani huku nikikupa maneno matamu mwishowe kitu kinatafuta njia ya umangani. Ila hapo mi ndiyo mwenye kosa Dogo. Ukweli umri unachangia ukubwani mambo mengi hata ya kimaisha.
 
Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee [emoji1733]
Hata mm nashangaa kwamba kuna huo usemi kuwa ukifika more than 40 nguvu inapungua.Sio kweli inategemea na maisha yako mwenyewe.Kama ulikuwa unakunywa sana pombe huko nyuma ngoma itafeli.Lakin kama upo sawa tu ,utapiga mwanamke mpaka achanganyikiwe.
 
Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.

Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
Mama Edina njoo kwangu, niko zaidi ya 40 lakini kila gemu lazima nipige hattrick, na siyo ya haraka haraka kama Mbape.
 
Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.

Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
afadhali leo umeanzisha uzi wa kuwananga akina vidume maana humu kila siku ni maneno kwa ke tu.
 
Back
Top Bottom