Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala.

Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena Nitakuwa Sina mume mwenzenu
Huwezi shindana na ulipozaliwa.
Ila Moja aidhuru kama wote mmeridhika. So far wengine tushatoka zama za kukamia ili ufidie gharama😃😃
 
Unafikiri inashindikana kukiwa na maelewan? Mkitibuana au makelele yakiwa mengi ndio hata kulala pamoja inakua KERO achilia mbali kubahatisha kimoja.

Endelea kumfanya ajione mwanaume anaeheshimiwa na Mke wake hautajutia kamwe. Hatakuangusha
Busara imetamalaki. Nina 36 Sasa, enzi za 29 nakumbuka nilikuwa napiga 4 ndani Kwa ndani. Mkojozo wa hatari.. Kwa Sasa naweza piga 2 mkojozo kwa ndani na nikaendelea baada ya dakk Moja.

Naona mleta hoja ameona kitu ambacho mnakibishia kijinga.

Ni vzr kuishi Kwa tahadhari
 
Kuna mambo matatu huchangia

1. Huo umri unajikuta kwenye mikazo mingi ya kimaisha na uchumi. Akili inawaza mambo mengi.

2. Kingine kama ni ndoa tayari unakuwa uko nae zaidi ya mika 10
hapo hata hisia zinakuwa zimepungua inabaki mazoea tu. Mchepuko anakusaidia.

3.Kingine Ke nae anakuwa ni mtu wa kujiachia sana anahangaika na watoto wake tu. Me unajikuta una mchepuko unaruka nao.
 
Wanawake wengi wanatatizo la ngono sababu ya kubadili wanaume sana, hisia zinakuwa mbali ila wanataka wanaume wanywe madawa kutatua matatizo yao.

Ukikutana na mwanamke anayekupenda anafika kwenye nyumba yako kalowa akiwa huko huko njiani, ukimgusa ukamkisi keshamaliza la kwanza, umempapasa papasa viungo vyake kidogo la pili, umeingiza na kutoa dk 15/20 la tatu, Ukitaka la pili anaomba umalize maana kachoka. Kutana na migubegube sasa.
 
Back
Top Bottom