Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaweza kuta Kwa huyo mzee mwenzako hupigi saana. Ukipata siku katoto Ka chuo unatembea nacho balaaaa
Yaani haya mambo bhana. Unaweza hisi nguvu za kike au za kiume zimeisha ila jaribu nje sasa... weuweeeeeeeeeeehhhhhhhhh
 
Acha utoto dogo. Umri huo si wa kushindana na hiyo kitu. Unafanya kwa afya. Hakuna vya sijui goli tatu au zaidi. Mwisho ni mbili tu, kisha unalala. Vijana wanadhani wazee hawajapitia enzi za pigo tatu na kuendelea per night. Hali ya umri na focus katika majukumu mengine hushusha hiyo morali utake usitake.
Mchawi ni natural consistent decline ya testosterone with age. Kuna wanaofanya testosterone replacement therapy wakifika 45+ na wanaendeleza libeneke kama kawaida. Hii therapy inabidi usimamiwe na daktari na ahakikishe una cardiovascular system ambayo haina mgogoro. Baada ya hapo ni kuzichakata tu mpaka huko 60+
 
Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee [emoji1733]
Hicho kitunguu swaumu kinatumikaje
 
Mzeee hao wamasai wanadawa za asili.

Kwanza wanatairiwa alafu govi hawalikati lote
 
Si lazima maana kuna umri handling ya mwanamke inamufanya usisimke. Mfano kuna wanawake ukiingiza anataka uconnect na ukitoa imetoka hiyo. Siamini 55+ ni afya kwa mwanaume kuconnect. Halafu mwanamke analalama kuwa kimoja chali huko Salon. Ukienda kwa under 24, wao wanakuweka amsha amsha unapiga hata 6. Ukirudi kwa Bimkubwa ndivyo hivyo yeye anasubiri wewe uhangaike ati kumuandaa. Ubinafsi tu
Haya maelezo ni umeshindwa tu kusema "kuchokana". Watu ambao hawajachokana ukiona tu uchi mashine inasimama na uke unaanza kutoa juice. Ila sasa mkishachokana hahahhahaha ni mwendo wa kuvuta hisia hadi kichwa kinauma.
 
Hicho kitunguu swaumu kinatumikaje
Tafuna punje tatu mbichi asubuhi na tatu jioni kabla hujalala. Faida yake hii inatanua mishipa ya damu na kushusha blood pressure. Matokeo yake baada ya muda kunakuwa na flow nzuri ya damu. Ukiongezea na maziwa, karanga mbichi, nazi, mihogo...na vimazoezi vyepesi kama push ups kadhaa, kuruka kamba hapa na pale na jogging unakuwa safi si katika sekta hiyo tu bali unaimarisha afya yako ya moyo, unashusha presha na afya nzima kwa ujumla. Pia epuka ulaji wa nyama nyekundu, vyakula vya mafuta mengi, pombe na sigara...na uwe na tabia ya kunywa maji mengi. Tiba kamili ng'wanawane!
 
Wali maharage kuna MDA vinakinaisha. Go West go east kuna MDA Ile law ya diminishing marginal utility lazima Ije [emoji1787][emoji1787]
Kwamba lazima ugonge wengi ndio uridhike sio?
 
Haya maelezo ni umeshindwa tu kusema "kuchokana". Watu ambao hawajachokana ukiona tu uchi mashine inasimama na uke unaanza kutoa juice. Ila sasa mkishachokana hahahhahaha ni mwendo wa kuvuta hisia hadi kichwa kinauma.
Ukiendekeza kuchoka, hutakaa na mwanamke. Sie ambao tunao kwa zaidi ya 35 years lazima ujitahidi usimchoke. Ni homework ya nguvu
 
Back
Top Bottom