Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

Si ajabu kukuta shost ako anapigwa kimoko...ila huko nje jamaa anaburuza mbupu ile mbaya... (Kachokwa).

Miaka 40 sidhani inatosha kumfanya mwanaume awe dhaifu kiasi hicho, unless awe na magonjwa mengu yanayo shambulia nguvu za kiume.

Wanaume tukomaeni na diet za maana na mazoezi ya kutosha, mmeona hizo shombo za huko salon?😂
 
Yeah, at 20's we play football, at 30's we play volleyball, at 40's we play tennis.
Lessonn: as we go old, the ball gets smaller. So hiyo ni kanuni muijue.
 
Kwasisi tunaopenda vinne plus unatuambia nini kaka

Kama umeshamjulia mtu wako ni 4 kwenda mbele lazima utakuwa umeshajiweka sawa na mmeshazoeana kwamba kipenga kikilia ni nne kwenda mbele.

Shida kwetu kadri umri unavyoenda, vipaumbele vinabadilika, hiyo kitu inakua sio habari sana. Hata ukiwa na mtu, kikubwa unafurahia ni zile moments na company zaidi.

Au ndio dalili za kupiga chini jambo letu? Demi ameshapendekeza location
 
Inategemeana na mloo na lifestyle ya mtu Kuna mzee hapa kwetu ana 76 anambato mademu Kama mweu Ila nimmaasai yupo slim mrefu mweusi ana mbato hivi vi teenagers mpaka basi yupo fit Sana anasema yeye kila siku anapiga maziwa na kitunguu swaumu (2) kwanzia akiwa 30 Hadi Leo ni mshakiji wangu japo kanizidi 57 years sema ni mwana Sana kwaiyo hamna Cha umri Wala nn ni afya tu mzee [emoji1733]
Acha utoto dogo. Umri huo si wa kushindana na hiyo kitu. Unafanya kwa afya. Hakuna vya sijui goli tatu au zaidi. Mwisho ni mbili tu, kisha unalala. Vijana wanadhani wazee hawajapitia enzi za pigo tatu na kuendelea per night. Hali ya umri na focus katika majukumu mengine hushusha hiyo morali utake usitake.
 
Kama umeshamjulia mtu wako ni 4 kwenda mbele lazima utakuwa umeshajiweka sawa na mmeshazoeana kwamba kipenga kikilia ni nne kwenda mbele.

Shida kwetu kadri umri unavyoenda, vipaumvele vinabasiloka, hiyo kitu inakua sio habari sana. Hata ukiwa na mtu, kikubwa unafurahia ni zile moments na company zaidi.

Au ndio dalili za kupiga chini jambo letu? Demi ameshapendekeza location
Kila siku naomuombea afya njema na nguvu za kiume zisipungue....anipelekee moto hata akiwa na miaka 80 AMEN
 
Acha utoto dogo. Umri huo si wa kushindana na hiyo kitu. Unafanya kwa afya. Hakuna vya sijui goli tatu au zaidi. Mwisho ni mbili tu, kisha unalala. Vijana wanadhani wazee hawajapitia enzi za pigo tatu na kuendelea per night. Hali ya umri na focus katika majukumu mengine hushusha hiyo morali utake usitake.
Kila mtu na lake bro
 
Kila siku naomuombea afya njema na nguvu za kiume zisipungue....anipelekee moto hata akiwa na miaka 80 AMEN

Unafikiri inashindikana kukiwa na maelewan? Mkitibuana au makelele yakiwa mengi ndio hata kulala pamoja inakua KERO achilia mbali kubahatisha kimoja.

Endelea kumfanya ajione mwanaume anaeheshimiwa na Mke wake hautajutia kamwe. Hatakuangusha
 
Ugomvi nao unaletaga amsha amsha ila uwe ugomvi mdogo wa kuongeleka..... baadae ya hapo mkipiga make up sex ooohhh hallelujah
 
mkuu ukishaishi na mwanamke ndani ndo utajua umuhimu wa kimoja. hii kitu ukiwa unapiga kila siku unagundua haina mwisho na hauwezi kushindana nayo unafanya kwa starehe tu.
 
Na wanawake huo umri ndio nguvu za kike zinazidi huku mume wake nguvu za kiume zimepungua. Hapa boda boda ndio wanaokoaga jahazi na wale ma gym trainer
Mwanamke Romantic atabadili uelekeo ila hawa ambao wao wanadhani kazi ya mwanaume ni kuhakikisha wanamuandaa mwanamke, ndiyo kimoja chali
 
Na wanawake huo umri ndio nguvu za kike zinazidi huku mume wake nguvu za kiume zimepungua. Hapa boda boda ndio wanaokoaga jahazi na wale ma gym trainer
Sayansi gani hiyo wewe binti? Kama umefikisha miaka 45 na kuendelea na umeexperience hivyo sawa. Vinginevyo sayansi inatueleza kuwa unapofikia menopause, libido inakwenda chini. Hii haiondoi extreme cases lakini.
 
Back
Top Bottom