Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Si ajabu kukuta shost ako anapigwa kimoko...ila huko nje jamaa anaburuza mbupu ile mbaya... (Kachokwa).
Miaka 40 sidhani inatosha kumfanya mwanaume awe dhaifu kiasi hicho, unless awe na magonjwa mengu yanayo shambulia nguvu za kiume.
Wanaume tukomaeni na diet za maana na mazoezi ya kutosha, mmeona hizo shombo za huko salon?😂