Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.