Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wachache uwajengea msingi watotoSijawahi maishani mwangu. Kwetu nilifundishwa kufuma vitambaa na kufuga. Nilikuwa na fuma vita vya aina mbalimbali natembeza maofisini najisomesha.
Maofisini nilikuwa natembeza mayai ya kwale enzi zile na mayai ya kuku wa kienyeji. Wazazi wafundisheni binti zenu kujitegemea yangu wakiwa wadogo, itawasaidia
Nani anataka kuoa akina Fatma Karume.Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura nanumbo baya lazima atakuendea sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Safi sana jamimaSijawahi maishani mwangu. Kwetu nilifundishwa kufuma vitambaa na kufuga. Nilikuwa na fuma vita vya aina mbalimbali natembeza maofisini najisomesha.
Maofisini nilikuwa natembeza mayai ya kwale enzi zile na mayai ya kuku wa kienyeji. Wazazi wafundisheni binti zenu kujitegemea yangu wakiwa wadogo, itawasaidia
Tatizo la hivyo "vitu vya kueleweka" ni kutaka kuwa juu ya mwanaume..!! Mwanamke mwenye hela kuliko mume, elimu kuliko mume na madaraka popote kuliko mume, huwezi mtuma chochote kama mume..!!! Wana tabia ya kuamini walivyonavyo vinawapa nguvu ya kutawala eneo husika..!! Kumkuta mwenye hivyo vyote and still akawa submissive kwa mumewe, ni very rare, wapo wachache sana..!! Hence uchache wao, unafanya probability ya kujua kuwa huyu ndiye mwenyewe inakuwa ndogo sana.Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Mimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita teterekaNani anataka kuoa akina Fatma Karume.
Pambaneni na Hali zenu. Usifananishe wife materials na takataka Zingine.
Nyie na ujuaji wenu mtabaki michepuko Tu.
Na hao wenye sura nzito je?Hii ni kweli japo wanawake wazuri wengi ujisikia mno, uona wao hawawezi kukosa mwanaume na wengi uwa wapo kimaslai Kwa kigezo Cha uzuri, wachache mno wenye uelewa wa upendo wa dhati na kutulia
Sipati picha unavyomuendesha maana unamuona kama ziada tuMimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
Hongera kwa hilo, lakini ujuwe kuna akina Fatma Karuma, kuna akina Joyce Kiria etc. Kuwajua hao wakati wa process za ndoa ni shughuri..!! Ukizingatia muda huo ku-pretend kunakuwa kwingiMimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
Sura kakamavu..!!! 😂 😂 😂Na hao wenye sura nzito je?
Mimi sijisifii, niko very much submissive kwa mume wangu. Nadhani na Kristo aliye ndani yangu ananiwezesha. Maana anasema, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ili awakweze kwa wakati wake.Tatizo la hivyo "vitu vya kueleweka" ni kutaka kuwa juu ya mwanaume..!! Mwanamke mwenye hela kuliko mume, elimu kuliko mume na madaraka popote kuliko mume, huwezi mtuma chochote kama mume..!!! Wana tabia ya kuamini walivyonavyo vinawapa nguvu ya kutawala eneo husika..!! Kumkuta mwenye hivyo vyote and still akawa submissive kwa mumewe, ni very rare, wapo wachache sana..!! Hence uchache wao, unafanya probability ya kujua kuwa huyu ndiye mwenyewe inakuwa ndogo sana.
Sura gwarideSura kakamavu..!!! 😂 😂 😂
Mkianza haya malalamiko mjue tayari mnakaribia menopauseWanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Kwangu hatuongozwi kwa namna ya ulimwengu. Tunaongozwa na Roho wa Bwana.Sipati picha unavyomuendesha maana unamuona kama ziada tu
Haha haha 2025 ndio ntatimiza 40Mkianza haya malalamiko mjue tayari mnakaribia menopause
if this is true, then mwamba anafaidi..!!! Hongera sanaMimi sijisifii, niko very much submissive kwa mume wangu. Nadhani na Kristo aliye ndani yangu ananiwezesha. Maana anasema, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ili awakweze kwa wakati wake.
Kumbe ili nifanikiwe kazini ni lazima niwe mnyenyekevu kuanzia nyumbani hadi kazini.
Hii ndio siri ya mafanikio yangu
Sifa na utukufu ni kwa Kristo Yesu anayeniwezesha.if this is true, then mwamba anafaidi..!!! Hongera sana