Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Wanaume wengi wa siku hizi hawana pesa. Atakupa tu siku za mwanzo kisha anaacha. Wana majukumu mengi sanaUwe na mwanamke mzuri halafu nisimtongoze [emoji3] haiwezekani
Na hawakatai siku hizi
"Upendo wa kweli upo ila mchawi pesa
Bila kwikwi bila presha shemeji analika tatizo lako wenge "[emoji445][emoji445]
Wapi?Sasa dada angu mbona unatufokea sana
Tena nakuona siku hizi umekamatika kwa Mnyakyusa mwenzakoKuna uzinzi na upendo.
Uzinzi huongozwa na tamaa, upendo wa dhati huongozwa na hisia za ndani sana. Binafsi, kigezo changu cha kuoa au kuwa na mtu, sio uzuri au ubaya ya umbo na sura yake, ila ule msukumo nilio nao kutoka ndani kabisa ya moyo wangu.
Msukumo huo hupelekea mimi kuwa mvumilivu, mpole, mwenye kiasi, mkarimu, mnyenyekevu na mwenye kuheshimu.
Bila huo msukumo wa ndani ni uzinzi na umalaya
TrueSAsa hivi hayana formula bora tu uoe mzuri umalaya ni tabia ya mtu
Kwann mtegemee wanaumeWanaume wengi wa siku hizi hawana pesa. Atakupa tu siku za mwanzo kisha anaacha. Wana majukumu mengi sana
Hii ni kweli japo wanawake wazuri wengi ujisikia mno, uona wao hawawezi kukosa mwanaume na wengi uwa wapo kimaslai Kwa kigezo Cha uzuri, wachache mno wenye uelewa wa upendo wa dhati na kutuliaWanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura nanumbo baya lazima atakuendea sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Nani anataka kuoa akina Fatma Karime pambaneni na Hali zenú.Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura nanumbo baya lazima atakuendea sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Wapi?
Sijawahi maishani mwangu. Kwetu nilifundishwa kufuma vitambaa na kufuga. Nilikuwa na fuma vita vya aina mbalimbali natembeza maofisini najisomesha.Kwann mtegemee wanaume