Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

Mimi nadhani ni uoga tu na kukosa misingi ya kiume.
Hao pisi kali tunaoa na wanatulia tu bila.shida yoyote.
 
Wazazi wachache uwajengea msingi watoto
 
Nani anataka kuoa akina Fatma Karume.

Pambaneni na Hali zenu. Usifananishe wife materials na takataka Zingine.

Nyie na ujuaji wenu mtabaki michepuko Tu.
 
Safi sana jamima
 
Tatizo la hivyo "vitu vya kueleweka" ni kutaka kuwa juu ya mwanaume..!! Mwanamke mwenye hela kuliko mume, elimu kuliko mume na madaraka popote kuliko mume, huwezi mtuma chochote kama mume..!!! Wana tabia ya kuamini walivyonavyo vinawapa nguvu ya kutawala eneo husika..!! Kumkuta mwenye hivyo vyote and still akawa submissive kwa mumewe, ni very rare, wapo wachache sana..!! Hence uchache wao, unafanya probability ya kujua kuwa huyu ndiye mwenyewe inakuwa ndogo sana.
 
Nani anataka kuoa akina Fatma Karume.

Pambaneni na Hali zenu. Usifananishe wife materials na takataka Zingine.

Nyie na ujuaji wenu mtabaki michepuko Tu.
Mimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
 
Mimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
Hongera kwa hilo, lakini ujuwe kuna akina Fatma Karuma, kuna akina Joyce Kiria etc. Kuwajua hao wakati wa process za ndoa ni shughuri..!! Ukizingatia muda huo ku-pretend kunakuwa kwingi
 
Mimi sijisifii, niko very much submissive kwa mume wangu. Nadhani na Kristo aliye ndani yangu ananiwezesha. Maana anasema, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ili awakweze kwa wakati wake.

Kumbe ili nifanikiwe kazini ni lazima niwe mnyenyekevu kuanzia nyumbani hadi kazini.

Hii ndio siri ya mafanikio yangu
 
Huu mtego hatuingii 😂😂
 
Ndoa kwao ulinzi wa mahali pakufia.
Akishaipata anaendelea na aliye chaguo lake , atafanya vyote huko nke ila HUDUMA ya kwanzA na uangalizi Ni kwa muoaji( Mtumwa )
 
Mkianza haya malalamiko mjue tayari mnakaribia menopause
 
Sipati picha unavyomuendesha maana unamuona kama ziada tu
Kwangu hatuongozwi kwa namna ya ulimwengu. Tunaongozwa na Roho wa Bwana.
Neno linasema Basi nasema enendeni kwa roho, maana hamtazishinda kamwe tamaa za mwili.

Mwili hutamani vingi vya ulimwengu huu, lakini kwa kuenenda kwa namna ya rohoni tunashinda vyote
 
if this is true, then mwamba anafaidi..!!! Hongera sana
 
Tatizo sio urembo bali yanayojengeka kutokana na huo urembo ndio tatizo….kuna vingi vya ku take into count mbali na huo urembo, cha kwanza amani… inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…