Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

Samahani ukitongozwa unatoa bure?
Wanawake wote wanaohongwa sio kwamba wao hawana shughuli inayowaingizia kipato.

Dunia nzima k inauzwa iwe moja kwa moja au indirectly.
 
Samahani ukitongozwa unatoa bure?
Wanawake wote wanaohongwa sio kwamba wao hawana shughuli inayowaingizia kipato.

Dunia nzima k inauzwa iwe moja kwa moja au indirectly.
Una uhakika?
 
Kwanini wahenga waliweza kuishi na wake zaidi ya mmoja na wakaelewana na kwa muda mrefu? Walifundwa.

Pitia uzi kwa kubofya hapo chini ujifunde kwa kina na upana zaidi kuhusu wanawake / wanaume 👇🏾

 
Kwa sura, maumbo na rangi hakuna mwanamke mbaya kwa mwanaume. Mbaya kwako ni mzuri kwa mwenzako na mzuri kwako anaweza kuwa mbaya kwa mwenzako.
 
Alafu wabaya waoleww na kina nani?
 
Alafu wabaya waoleww na kina nani?
Hakuna mwanamke mbaya ni namna atavyojiweka tu, pitia unyago wa wahenga👇🏾

Kwanini wahenga waliweza kuishi na wake zaidi ya mmoja na wakaelewana kwa muda mrefu? Walifundwa.

Pitia uzi kwa kubofya hapo chini ujifunde kwa kina na upana zaidi kuhusu wanawake / wanaume 👇🏾

 
Nijifunde kisa nin?
 
Mimi ni mke wa mtu, tena kwa ndoa ya kanisani. Ni mzuri na mrembo haswa, niko determined, nina exposure, shule ipo na hata leo mume wangu apatwe na lolote familia haita tetereka
Maelezo haya tu ni ushahidi kuwa mmeo yupo yupo tu. Ukiona mwanamke husikii ili sense ya Mme wangu ndo Kila kitu kwangu ujue tayari Kuna misingi imeharibika
 
Nijifunde kisa nin?
Nenda kaulize mwenye huo uzi baada ya kuusoma japo kidogo,maana kuna mambo huko hujawahi kuyasoma kwengine, Mfano mdogo👇🏾

""Nampendelea kijana kwa ajili ya kujamiiana, na yeye peke yake;
Yeye ni mwenye ujasiri kamili - yeye ndiye lengo langu pekee, kiungo chake ni hodari kumwangusha bikira
. Ni kubwa sana, na hakuna kama hilo katika uumbaji; Ni lenye nguvu na gumu, na kichwa limezungushwa, Sikuzote liko tayari kwa hatua wala halifi chini; halilali kamwe, kwa sababu ya jeuri ya upendo wake. ingia kwenye uke wangu, na kumwaga machozi juu ya tumbo langu; Haiombi msaada, bila kupungukiwa na mtu yeyote; haihitaji mshirika , na inasimama peke yake uchovu mkubwa zaidi, Na hakuna mtu anayeweza kuwa na uhakika wa matokeo ya juhudi zake."
 
Mbona nishayasoma na kuambiwa mengi
 
Hapo umesema uongo aisee. Hawa wanawake wenye muonekano wa kawaida huwa hawana mambo mengi maana wanajua kuwa katika mahusiano tumewaheshimisha kwa kuacha wanawake wazuri na kuwachukua wao wa kawaida.

Sasa hiyo kuteseka sijui ni eneo gani?! Maana wanaume wenye furaha ya ndoa ni walio oa wanawake wa kawaida ambao hawavuti attention ya kila mtu na hata wakitongozwa wanakuwa makini sana kulinda Ndoa zao.

Sasa shughuli ipo kwa hizi pisi kali, akili yote wamewekeza kwenye shepu na uzuri wa sura hapo ndipo wanaamini kuwa nguvu yao ilipo. Anaweza akazingua tabia kwa makusudi akijua mwanaume atababaika na muonekano wake mzuri.

Sasa wanaume ili kujiepusha na hiyo zahma tumejiamulia tu kuwa wanawake wazuri ni wa kupiga mashine hadi basi wakishaanza kuchuja tunapiga chini na kukata mazoea tunatafuta watoto wazuri wapya wa kuendelea kupiga.

Mfano wema sepetu wadau wamejipigia saa hii hakuna hata mtu anataka tena maana keshachuja.

So tunaoa wa kawaida then wazuri tunapiga chini.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Aliyeuliza habari zako binafsi ni nani? Huyo jamaa katoa general comment kuhusu mademu wazuri.
 
We ndo mwanaume Rijali sasa, wazuri sijui wenye tako we piga mbupu tu, wakichuja na kuzeeka wapige chini, chukua vibinti vibichi vizuri na vyenye shape, Kisha endelea kuvipiga mbupu hadi navyenyewe zitakapozeeka, then the circle repeat again.

Ukifika muda wa kuoa, oa wa kawaida. Lakini ukimpata pisi kali halafu ana tabia ya wife material, oa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…