Hapo umesema uongo aisee. Hawa wanawake wenye muonekano wa kawaida huwa hawana mambo mengi maana wanajua kuwa katika mahusiano tumewaheshimisha kwa kuacha wanawake wazuri na kuwachukua wao wa kawaida.
Sasa hiyo kuteseka sijui ni eneo gani?! Maana wanaume wenye furaha ya ndoa ni walio oa wanawake wa kawaida ambao hawavuti attention ya kila mtu na hata wakitongozwa wanakuwa makini sana kulinda Ndoa zao.
Sasa shughuli ipo kwa hizi pisi kali, akili yote wamewekeza kwenye shepu na uzuri wa sura hapo ndipo wanaamini kuwa nguvu yao ilipo. Anaweza akazingua tabia kwa makusudi akijua mwanaume atababaika na muonekano wake mzuri.
Sasa wanaume ili kujiepusha na hiyo zahma tumejiamulia tu kuwa wanawake wazuri ni wa kupiga mashine hadi basi wakishaanza kuchuja tunapiga chini na kukata mazoea tunatafuta watoto wazuri wapya wa kuendelea kupiga.
Mfano wema sepetu wadau wamejipigia saa hii hakuna hata mtu anataka tena maana keshachuja.
So tunaoa wa kawaida then wazuri tunapiga chini.
Sent from my JKM-LX1 using
JamiiForums mobile app