Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Wazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.Lakini pia wazazi wanawajibu wa kuandaa maisha yao ya baadae kuliko kukaa na kuwalaumu watoto wao
Mzazi unatakiwa kuandaa uzee wako, usitegemee kijana wako awe msaada wako ukizeeka. Kwa maisha gani kijana amemaliza chuo ameoa aweze kuhudumia mzazi?Wazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.
Hicho kipato cha kuwahudumia nyinyi miaka miingi huwa kinabaki na ziada ya kusave kweli?
Ni kweliUkweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wakiume.
Wakiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
EverywhereSamahani mkuu, hili umeona kwa kaka zako ama kwa mume wako..??
Demand changes with time and technologyMimi huwa napenda kumuuliza mzazi wangu hili swali japo mpaka leo alishindwa kunipa majibu kabisa....wewe uliwasaidia wazazi wako kama ambavyo mimi unanitaka nikusaidie?.......mzazi wangu huwa ananikomalia nimjengee nyumba nzuri na hali yakuwa mzazi wake (marehemu babu) mpaka umauti unamkuta alikuwa anaishi kwenye nyumba ya udongo...
Wewe wasemaYaani nimpe matunzo kimada badala ya mama yangu!!???
Lakini salamaHatari sana.
Ukweli mchunguNi kweli