Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo babu zetu na bibi zetu hawakustahili kuishi kwenye nyumba nzuri? Ila wazazi wetu ndio wanastahili kuishi kwenye nyumba nzuriDemand changes with time and technology
Huyu mtoto wa kike anayehudumia wazazi naye ni kimada wa mwanamume/wanaume kadhaa anaongwa anapata za kuwahudumia na wazazi wakeMbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wakiume.
Unaongelea kimada.Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wakiume.
Wakiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
Well said dada To yeye, akili na hekima kubwa sana umeitumia kuandika comment yako.Siyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Wewe ni mzungu wa wapi?Mzazi unatakiwa kuandaa uzee wako, usitegemee kijana wako awe msaada wako ukizeeka. Kwa maisha gani kijana amemaliza chuo ameoa aweze kuhudumia mzazi?
Tuandae uzee wetu sasa.
KweliSiyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Retired naomba nisikie neno moja kutoka kwako Engineer msomiWazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.
Hicho kipato cha kuwahudumia nyinyi miaka miingi huwa kinabaki na ziada ya kusave kweli?
Kwa hiyo wewe hapo unasubiri watoto wako waje wakuleeUkweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wakiume.
Wakiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
Nina mashamba ya parachichi Rungwe, Njombe na Kilolo. Nina shamba la ng'ombe, mbuzi na kondoo, mabata na kuku na mabwawa ya samaki na prawns hapo Bagamoyo.Kwa hiyo wewe hapo unasubiri watoto wako waje wakulee
Kuna watu watabishaSiyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Mpare wa milimani mimi,Wewe ni mzungu wa wapi?
Nina mashamba ya parachichi Rungwe, Njombe na Kilolo. Nina shamba la ng'ombe, mbuzi na kondoo, mabata na kuku na mabwawa ya samaki na prawns hapo Bagamoyo.
Achana na mashamba ambayo sijayaendeleza.
Technology, na elimu vinatusaidia kufanya haya yote. Wazazi wetu hata kumiliki gari ilikuwa ni mtihani. TV ilikuwa hadi upate kibali cha waziri mkuu
Tatizo mnaogopa kazi ngumu. Huwezi kutengeneza your bright future kwa kutegemea ajira, labda uwe mwiziMpare wa milimani mimi,
Jemima kwa dunia inakoelekea, hadi sisi tuitwe wazee in the near future, ni lazima tuandae uzee wetu, niamini mimi. Maisha yanazidi kuwa magumu, vyanzo vya vipato kwa asilimia kubwa ya watu sio vikubwa, ni ngumu kujigawa.
Somesha watoto wako, lakini pia jiandalie uzee wako.
BillionaireNina mashamba ya parachichi Rungwe, Njombe na Kilolo. Nina shamba la ng'ombe, mbuzi na kondoo, mabata na kuku na mabwawa ya samaki na prawns hapo Bagamoyo.
Achana na mashamba ambayo sijayaendeleza.
Technology, na elimu vinatusaidia kufanya haya yote. Wazazi wetu hata kumiliki gari ilikuwa ni mtihani. TV ilikuwa hadi upate kibali cha waziri mkuu
Walistahili lakini resources hazikuruhusu. Hakukuwa na barabara za kupeleka vijijini bidhaa za viwandani.kwa hiyo babu zetu na bibi zetu hawakustahili kuishi kwenye nyumba nzuri? Ila wazazi wetu ndio wanastahili kuishi kwenye nyumba nzuri
Ili ufanye hivyo ulivyofanya ni lazima uwe na resources za fedha, kufanya hicyo manake ulikuwa na pesa walau za kuanzia. Kilimo cha kisasa kinahitaji rasilomali fedha, sio kila mtu anawezs kwenda mkuranga akanunua ekari 15 akapanda miembe, au kwenda mlandizi akanunua ekari kumi na kufuga ng'ombe na kuku, nguruwe nk.Tatizo mnaogopa kazi ngumu. Huwezi kutengeneza your bright future kwa kutegemea ajira, labda uwe mwizi
Sijafika bado. Huko kwenu Mbeya kuna ardhi nzuri, bei rahisi. Vyakula vingi lakini mnakimbikia Dar mkakae Vingunguti muajiriwe na wahindi wanawamalizeni nguvu na akili, mkizeeka mnakuwa hamna jinsi zaidi ya kuingia kwenye uchawiBillionaire