Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Wazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.

Hicho kipato cha kuwahudumia nyinyi miaka miingi huwa kinabaki na ziada ya kusave kweli?
Mzazi kusomesha watoto sio uwekezaji, hayo ni majukumu yake ya msingi kabisa so watoto hawapaswi kulaumiwa kwa lolote. Swala la kuwatunza au la hilo inategemea na mioyo ya watoto husika. Wazazi wanapaswa kuandaa hatma zao mapema na sio kusubiri watoto eti kisa waliwasomesha hakuna kitu kama hiko.
 
Siyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Huu ni ukweli, kuna baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana. Hasa hasa wa kaskazini.
 
Mimi huwa napenda kumuuliza mzazi wangu hili swali japo mpaka leo alishindwa kunipa majibu kabisa....wewe uliwasaidia wazazi wako kama ambavyo mimi unanitaka nikusaidie?.......mzazi wangu huwa ananikomalia nimjengee nyumba nzuri na hali yakuwa mzazi wake (marehemu babu) mpaka umauti unamkuta alikuwa anaishi kwenye nyumba ya udongo...
Ulipokuwa unamuuliza hilo swali je!

#1 Uliangalia ulingano wa elimu kati yako na yeye kwa kipindi chake?

#2 Uliiangalia position yako na yake kwa kipindi chake?mfano yeye alikuwa mkulima wewe sasa mwajiriwa au mfanyabiashara so automatically una kipato afadhali kidogo kuliko wakati wake?

Hiyo #1 hapo juu Mzazi hapaswi kwa namna yoyote kulaumiwa so je ulizingatia pia elimu aliyopewa na baba yake (babu yako) na aliyokupa wewe?hata kama alikuwa na elimu hiyo zamani taifa letu kulikuwa na kitu wanaita uzalendo na ulizingatiwa haswa hivyo moja kwa moja kama mzee alipata yote hayo still alibanwa na serikali iwe kupitia mshahara mdogo au vinginevyo je uliiona hali ya baba yako kupitia crisis ya kupambana na maisha yake tofauti na sasa waajiriwa mna posho lukuki mkipiga hakuna wa kuwaambia kitu?
 
Huu ni ukweli, kuna baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana. Hasa hasa wa kaskazini.
Unaweza kuwa na sababu strong za kwanini mkeo a-control matumizi ya pesa zako?(kama huzitumii vibaya)

Leo sasa hivi hapo ulipo ukitaka kumtumia mzazi wako Tsh 30,000/= niambie mkeo wa kaskazini anakuzuia vipi usiitume hiyo pesa kwani unamuomba yeye hiyo hela?
 
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.

Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.

Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake

Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya maisha yao na hela zao
Kasome tena kile kitabu kinachoitwa POWER OF PUSSY.
 
DHANA kuu ya tunazaa watoto Ili waje kutukomboa na kutatua matatizo yetu tuiondoe kabisa bali tunazaa Ili tulelewe tunapozeeka sio kutatuliwa matatizo AMBAYO sisi wenyewe tulishindwa kutatua tukiwa vijana!

DHANA ya kutumia mapesa mengi kusomesha vijana Ili wapate kazi kubwa Ili waje watuhudumie iondoke kwenye jamii kwani elimu ya Sasa haitoi majibu au haijazi NAFASI zilizowazi za ajira na kipato tuondoe dhana hiyo!!

Watoto wasome kawaida tu tena KWA uwezo wao huku wakijamiiana na jamii Ili kuwajengea uwezo wa ku adapt mazingira halisi ya mtaani na Maisha yajayo ya kujishighulisha kuliko kulipa gharama kubwa ya shule zenye gharama kubwa huku kafungiwa kama kuku au mnyama!ni kweli atafaulu Sana lakini hatofaulu mazingira na kujitegemea na mwisho wa siku Baada ya kuhitimu atashindwa KU adapt mazingira ya kiutafutaji akitegemea ajira ambazo hazipo!na mzazi keshauza KILA kitu KWA ajili ya Elimu yake!!

Sisi wazazi tuwekeze kwenye vitegauchumi ambavyo Mtoto atashiriki kuendesha huku anasoma kumjengea uwezo wa kiakili kimazingira!!

Nafurahi Sana ninapowaona wanangu wakiuza duka na mama yao Baada ya muda wa masomo!!!

Wazazi tuwekeze kwenye vitegauchumi na sio kufanya elimu ya Mtoto Kuwa kitegauchumi wakati hailipi!!

Tumakinike!
 
Sorry to say this.
Mimi ni Mkristo, na nina kipato kikubwa kuliko mwenzangu. Lakini ninaishi maisha ambayo ni ya kimwambia Roho Mtakatifu, nipe unyenyekevu, nipe utii, nishishe, ondoa ndani mwangu kiburi, ondoa kujikukweza, mume wangu ni kichwa cha familia, hela si kitu kwangu, nipe heshima Mungu wangunifanyike mke mwema, kwa kweli huwa najishusha sana.

Kuna kipindi kiburi cha pesa kikaanza kujiinua, nikafunga na kuomba haikusaidia, nikapata jibu kwamba ni lazima account zote awe anaziongoza yeye.

Pia nikatoa nusu ya hela yangu yote nikampa afanye mtaji wa biashara zake mwenyewe.

Ni mwanaume mzuri sana ananifundisha na kunielekeza mengi amefanyika baraka sana maishani mwangu
AMINA
 
Wazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.

Hicho kipato cha kuwahudumia nyinyi miaka miingi huwa kinabaki na ziada ya kusave kweli?
Hao wazazi walienda kwenye starehe zao ndipo wakapata kuzaa, and hakuna mtoto aliyewahi kuoanga kuzaliwa.
Kimsingi mtoto kuwasidia wazazi ni jambo jema na lakumpendeza Mungu, ila hii isiwafanye wazazi wajisahau na kuto kuandaa maisha yao ya baadae kwa kutegemea kuja kusaidiwa na watoto wao uzeeni.
 
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.

Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.

Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake

Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya maisha yao na hela zao
Makubwa![emoji23][emoji23]We umeloga wangapi mrembo??
 
Tulia kijana, watu tunakaa na mama mkwe huu mwaka wa 5...🤣🤣
Ahhahaa ww unaweza mvumilia ase mimi ningekuwa navaa bukta naenda kukaa sebleni au boksa af na simamisha makusudi tuone kama hato ludi kwao
 
Siyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Upo sahihi mkuu, lakini mimi nilisha sema hivi.....
Ndoa sio jela.
Na wanaume wengi wanateswa na wanawake kwa kusubiri ama wakivumilia eti watabadilika, na hapo wanasahau kwamba huo moto anao upitia ndio rangi halisi ya huyo mke alie muoa. Kwakweli mie siogopi kuvunja ndoa eti kwasababi tulipitia madhabahuni ama kwasababu watu watatusema. Kama ni watoto nitawalea ikiwa atakubali niwachukue na akikataa pia sheria zipo mkuu.
 
Siyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Duh Sasa mke wangu ataanzaje nikataza kumuhudumia mzazi...labda kama ni marioo umefuata hela zake...ila mpiganaji kabisa wa familia upangiwe usimuhudumie mzazi...si bora hiyo ndoa iishie hapo.
Wanawake tunawasingiziaga tu lakini shida ni mwanaume kukosa maamuzi kama kiongozi wa familia.
 
DHANA kuu ya tunazaa watoto Ili waje kutukomboa na kutatua matatizo yetu tuiondoe kabisa bali tunazaa Ili tulelewe tunapozeeka sio kutatuliwa matatizo AMBAYO sisi wenyewe tulishindwa kutatua tukiwa vijana!

DHANA ya kutumia mapesa mengi kusomesha vijana Ili wapate kazi kubwa Ili waje watuhudumie iondoke kwenye jamii kwani elimu ya Sasa haitoi majibu au haijazi NAFASI zilizowazi za ajira na kipato tuondoe dhana hiyo!!

Watoto wasome kawaida tu tena KWA uwezo wao huku wakijamiiana na jamii Ili kuwajengea uwezo wa ku adapt mazingira halisi ya mtaani na Maisha yajayo ya kujishighulisha kuliko kulipa gharama kubwa ya shule zenye gharama kubwa huku kafungiwa kama kuku au mnyama!ni kweli atafaulu Sana lakini hatofaulu mazingira na kujitegemea na mwisho wa siku Baada ya kuhitimu atashindwa KU adapt mazingira ya kiutafutaji akitegemea ajira ambazo hazipo!na mzazi keshauza KILA kitu KWA ajili ya Elimu yake!!

Sisi wazazi tuwekeze kwenye vitegauchumi ambavyo Mtoto atashiriki kuendesha huku anasoma kumjengea uwezo wa kiakili kimazingira!!

Nafurahi Sana ninapowaona wanangu wakiuza duka na mama yao Baada ya muda wa masomo!!!

Wazazi tuwekeze kwenye vitegauchumi na sio kufanya elimu ya Mtoto Kuwa kitegauchumi wakati hailipi!!

Tumakinike!
Umeongea bonge la point. Shida kubwa ipo kwa wananchi middle class... wale matajiri wa ukweli huwa wanawapigisha kazi watoto wao vibaya mno. Yaani mtoto hadi ahitimu chuo tayari ni mfanyabiashara aliyeiva. Sasa middle class hii ya nyumba nzuri, gari na mshahara mnono ndo huwa wanalea kipuuzi.
 
Back
Top Bottom