Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Ili ufanye hivyo ulivyofanya ni lazima uwe na resources za fedha, kufanya hicyo manake ulikuwa na pesa walau za kuanzia. Kilimo cha kisasa kinahitaji rasilomali fedha, sio kila mtu anawezs kwenda mkuranga akanunua ekari 15 akapanda miembe, au kwenda mlandizi akanunua ekari kumi na kufuga ng'ombe na kuku, nguruwe nk.

Tukiandaa uzee wetu hatuwezi kuwalaani watoto wetu kwa nini hawatumi kumi kumi kila wiki.
Kuna mikopo ya Mama Samia ya vijana, umeomba?

Kingdom Embassy kanisa la Clear Malisa wana mikopo ya vijana.

Vijana wengi hamna taarifa. Mnashinda kuwasoma kina Mwinjaku na Baba Levo, madini yanawapita
 
Yaani hela zangu alafu unipangie nizitumiaje, nani kakuambia mzazi wangu anataka kuhudumiwa?
 
Sijafika bado. Huko kwenu Mbeya kuna ardhi nzuri, bei rahisi. Vyakula vingi lakini mnakimbikia Dar mkakae Vingunguti muajiriwe na wahindi wanawamalizeni nguvu na akili, mkizeeka mnakuwa hamna jinsi zaidi ya kuingia kwenye uchawi
Motivesheni spika
 
Mwanaume ukishaingia kwny ndoa tayar ushabeba zigo la misumari,
-1. utahudumia mkeo na watoto wako
2. mashemj zako wakifeli vijijini watahamia kwako kulisiti masomo Yao, na wakifaulu utawasomesha wewe
-3. ukweni Kwa mkeo michango yote inakuhusu wewe
4. bado hujatunza wazaz wako
5. Mkeo hajacheza vikoba n.k

Kwa lawama km hizi,
Ndoa maana vijana wa kiume Sasa wanakataa ndoa
 
Kuna mikopo ya Mama Samia ya vijana, umeomba?

Kingdom Embassy kanisa la Clear Malisa wana mikopo ya vijana.

Vijana wengi hamna taarifa. Mnashinda kuwasoma kina Mwinjaku na Baba Levo, madini yanawapita
Kila mtu aandae uzee wake kwa namna yake, mambo ya kulaani watoto kisa tu hawakutunzi unavyotaka sio sawa, hata ukiwalaani haikamati.

Tuwaleeni wazee wetu bwana, wakiumwa tuwapeleke hospitali, tuwajulie hali, tuwapigie simu mara kwa mara, tutazidi kubarikiwa.
 
Mpare wa milimani mimi,
Jemima kwa dunia inakoelekea, hadi sisi tuitwe wazee in the near future, ni lazima tuandae uzee wetu, niamini mimi. Maisha yanazidi kuwa magumu, vyanzo vya vipato kwa asilimia kubwa ya watu sio vikubwa, ni ngumu kujigawa.

Somesha watoto wako, lakini pia jiandalie uzee wako.
Sahii kabisa, tuandae uzee wetu tukitekeleza wajibu wetu
 
Haya mambo hayatabiriki,,,ina-depend na roho ya mtu wala sivyo ulivyoandika.
 
Mimi huwa napenda kumuuliza mzazi wangu hili swali japo mpaka leo alishindwa kunipa majibu kabisa....wewe uliwasaidia wazazi wako kama ambavyo mimi unanitaka nikusaidie?.......mzazi wangu huwa ananikomalia nimjengee nyumba nzuri na hali yakuwa mzazi wake (marehemu babu) mpaka umauti unamkuta alikuwa anaishi kwenye nyumba ya udongo...
Pesa zake alimalizia kwenye mbususu na pombe then analalamika kusaidiwa.

Hata sisi vijana tuliotanguliza mbususu mbele yatakuja kutukuta
 
Mwanaume ukishaingia kwny ndoa tayar ushabeba zigo la misumari,
-1. utahudumia mkeo na watoto wako
2. mashemj zako wakifeli vijijini watahamia kwako kulisiti masomo Yao, na wakifaulu utawasomesha wewe
-3. ukweni Kwa mkeo michango yote inakuhusu wewe
4. bado hujatunza wazaz wako
5. Mkeo hajacheza vikoba n.k

Kwa lawama km hizi,
Ndoa maana vijana wa kiume Sasa wanakataa ndoa

Mimi sioni shida kumsomesha shemeji yangu kuwahudumia ila my family is first kwasababu ata mimi nimesomeshwa na mashemeji mpaka kufika hapa hila uniambii kitu kuhusu familia yangu
 
Mimi sioni shida kumsomesha shemeji yangu kuwahudumia ila my family is first kwasababu ata mimi nimesomeshwa na mashemeji mpaka kufika hapa hila uniambii kitu kuhusu familia yangu
Kipato km kinaruhusu no problem
 
Wazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.

Hicho kipato cha kuwahudumia nyinyi miaka miingi huwa kinabaki na ziada ya kusave kweli?
Kwani nani alikuwa na shida na mwenzie, mtoto au mzazi? Mzazi alikuwa anataka mtoto so ana wajibu wa kumuhudumia pia kuandaa maisha yake ya uzeeni na siyo kumtegemea mtoto
 
Mfano:
Mume anapokea 500,000 Kwa mwezi
Mke anapokea 1,000,000 Kwa mwezi
Ila familia inaendeshwa na 500,000 tu ya Mume na million 1 ya mke hairuhusiwi kuhojiwa popote pale.

Kwenye hiyo laki 5 ya familia Bado Mume atalaumiwa na Jemima Mrembo kwann hatunzi wazazi wake🥲
Sorry to say this.
Mimi ni Mkristo, na nina kipato kikubwa kuliko mwenzangu. Lakini ninaishi maisha ambayo ni ya kimwambia Roho Mtakatifu, nipe unyenyekevu, nipe utii, nishishe, ondoa ndani mwangu kiburi, ondoa kujikukweza, mume wangu ni kichwa cha familia, hela si kitu kwangu, nipe heshima Mungu wangunifanyike mke mwema, kwa kweli huwa najishusha sana.

Kuna kipindi kiburi cha pesa kikaanza kujiinua, nikafunga na kuomba haikusaidia, nikapata jibu kwamba ni lazima account zote awe anaziongoza yeye.

Pia nikatoa nusu ya hela yangu yote nikampa afanye mtaji wa biashara zake mwenyewe.

Ni mwanaume mzuri sana ananifundisha na kunielekeza mengi amefanyika baraka sana maishani mwangu
 
Kwani nani alikuwa na shida na mwenzie, mtoto au mzazi? Mzazi alikuwa anataka mtoto so ana wajibu wa kumuhudumia pia kuandaa maisha yake ya uzeeni na siyo kumtegemea mtoto
Mkuu weka akiba ya maneno.

Just kukushauri tu,tumia vizuri vidole na kioo cha device yako unakosea unapojijengea ukuu ambao upo nje ya uwezo wako.
 
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.

Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.

Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
wewe mpare ulipotelea wapi, umesema ukweli, japo ule mlipu wao ndio balaa baleee balekeee
 
Sorry to say this.
Mimi ni Mkristo, na nina kipato kikubwa kuliko mwenzangu. Lakini ninaishi maisha ambayo ni ya kimwambia Roho Mtakatifu, nipe unyenyekevu, nipe utii, nishishe, ondoa ndani mwangu kiburi, ondoa kujikukweza, mume wangu ni kichwa cha familia, hela si kitu kwangu, nipe heshima Mungu wangunifanyike mke mwema, kwa kweli huwa najishusha sana.

Kuna kipindi kiburi cha pesa kikaanza kujiinua, nikafunga na kuomba haikusaidia, nikapata jibu kwamba ni lazima account zote awe anaziongoza yeye.

Pia nikatoa nusu ya hela yangu yote nikampa afanye mtaji wa biashara zake mwenyewe.

Ni mwanaume mzuri sana ananifundisha na kunielekeza mengi amefanyika baraka sana maishani mwangu
Hongera kwa akili njema na kutambua nafasi na cheo mke katika ndoa.
 
Back
Top Bottom