Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Wazazi wametumia nguvu zao zote kuwasomesha nyinyi halafu mukipata kazi munawasahau. Yale aliyoyazungumza Mhe Mashimba bungeni kuhusu watoto yana mantiki sana ijapokuwa wabunge walikuwa wanamcheka.

Hicho kipato cha kuwahudumia nyinyi miaka miingi huwa kinabaki na ziada ya kusave kweli?
Kama walituzaa bila kujipanga watajua wenyewe
 
Kwanza ninetokea familia ambayo haikua na uwezo....
Na nini nina watoto 8 na kati ya wote hakuna anaesoma shule ya kidumu, pia wapo waliopo vyuo. Napia wazazi nawahudumia na nyumba ninazo na ndinga nasukuma na beer nakunywa.... lakini mimi sio tajiri ninamaisha ya kawaida lakini pamoja na haya yooote..... nimekua nikimsisitiza mke wangu kuhusu kujiandalia maisha yetu ya uzeeni ili tusije tukawa misalaba ya watoto wetu ambao tuliwazaaa kwa starehe zetu na wakati huo nawao watakua wana wajibika kwenye familia zao na watoto wao pamoja na kuandaa maisha yao ya uzeeni pia.
Hongera mkuu umebarikiwa ila katika cycle yako labda mliokuwa pamoja ni wangapi Wana uwezo wako? Wengi bado Maisha ni ya kudunduliza sana...
Kw hiyo wewe ulifanya hivyo sababu una nafasi ila kwa wengi akizaa watoto nane kuwahudumia si kazi ndogo.
 
Sorry to say this.
Mimi ni Mkristo, na nina kipato kikubwa kuliko mwenzangu. Lakini ninaishi maisha ambayo ni ya kimwambia Roho Mtakatifu, nipe unyenyekevu, nipe utii, nishishe, ondoa ndani mwangu kiburi, ondoa kujikukweza, mume wangu ni kichwa cha familia, hela si kitu kwangu, nipe heshima Mungu wangunifanyike mke mwema, kwa kweli huwa najishusha sana.

Kuna kipindi kiburi cha pesa kikaanza kujiinua, nikafunga na kuomba haikusaidia, nikapata jibu kwamba ni lazima account zote awe anaziongoza yeye.

Pia nikatoa nusu ya hela yangu yote nikampa afanye mtaji wa biashara zake mwenyewe.

Ni mwanaume mzuri sana ananifundisha na kunielekeza mengi amefanyika baraka sana maishani mwangu
Big up kwa hili na Nina imani familia yako na mumeo inaenda vizuri.
 
Mwanaume ukishaingia kwny ndoa tayar ushabeba zigo la misumari,
-1. utahudumia mkeo na watoto wako
2. mashemj zako wakifeli vijijini watahamia kwako kulisiti masomo Yao, na wakifaulu utawasomesha wewe
-3. ukweni Kwa mkeo michango yote inakuhusu wewe
4. bado hujatunza wazaz wako
5. Mkeo hajacheza vikoba n.k

Kwa lawama km hizi,
Ndoa maana vijana wa kiume Sasa wanakataa ndoa
Huo ni upumbavu
 
Halafu ukute bado mke hakuonei huruma, dharau na kiburi bila ukomo
 
Mwanaume ukishaingia kwny ndoa tayar ushabeba zigo la misumari,
-1. utahudumia mkeo na watoto wako
2. mashemj zako wakifeli vijijini watahamia kwako kulisiti masomo Yao, na wakifaulu utawasomesha wewe
-3. ukweni Kwa mkeo michango yote inakuhusu wewe
4. bado hujatunza wazaz wako
5. Mkeo hajacheza vikoba n.k

Kwa lawama km hizi,
Ndoa maana vijana wa kiume Sasa wanakataa ndoa
Sasa hapa umeongea kama baba au mume mwenye mke DeepPond
 
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.

Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.

Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake

Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya maisha yao na hela zao
Hao vimada si ndo wanachukua hela zetu wanapeleka kwa wazazi wao, ndo maana mdada wa mjini mshahara laki 2 ila home inapelekwa hata laki 5
 
Sorry to say this.
Mimi ni Mkristo, na nina kipato kikubwa kuliko mwenzangu. Lakini ninaishi maisha ambayo ni ya kimwambia Roho Mtakatifu, nipe unyenyekevu, nipe utii, nishishe, ondoa ndani mwangu kiburi, ondoa kujikukweza, mume wangu ni kichwa cha familia, hela si kitu kwangu, nipe heshima Mungu wangunifanyike mke mwema, kwa kweli huwa najishusha sana.

Kuna kipindi kiburi cha pesa kikaanza kujiinua, nikafunga na kuomba haikusaidia, nikapata jibu kwamba ni lazima account zote awe anaziongoza yeye.

Pia nikatoa nusu ya hela yangu yote nikampa afanye mtaji wa biashara zake mwenyewe.

Ni mwanaume mzuri sana ananifundisha na kunielekeza mengi amefanyika baraka sana maishani mwangu
Makinika kuna HATARI Zaidi pia hapo!

1.Atakapo ridhika na PESA za mke akabweteka kifikra utamuomba Mungu tena si Ndio? au utamkemea!?

2.Mtaji wa Biashara uliompa usipofanya vizuri utampa tena Mtaji au utaacha!!?

Epuka kumpa Mtaji BINAFSI wa Biashara zaidi Sana mfungue Biashara ya pamoja ya familia aisimamie na sio BINAFSI!Mwanamme mwenye Mtaji na PESA ana majaribu take makubwa tofauti na asie na mtaji!

Hekima nyingi za mtu zinatokana na msoto sio kama za mfalme suleiman aliekua tajiri wa asili!!!

Imani isizidi AKILI!

KILA la kheri!
 
Mfano:
Mume anapokea 500,000 Kwa mwezi
Mke anapokea 1,000,000 Kwa mwezi
Ila familia inaendeshwa na 500,000 tu ya Mume na million 1 ya mke hairuhusiwi kuhojiwa popote pale.

Kwenye hiyo laki 5 ya familia Bado Mume atalaumiwa na Jemima Mrembo kwann hatunzi wazazi wake🥲

Mm aisee nikioa 50/50 akipokea mshahara tunaupasua vzr tu mamb ya divorce tunaanza kugawana mali akt yeye alikua anafua tu nakupika hapana aisee lazma hela yake itumike ipasavyo
 
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.

Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.

Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake

Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya maisha yao na hela zao
sio kweli, wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi kwasababu ya kujitoa kikamilifu kuhudumia familia ( watoto na wake zao) watoto wakike wanamudu kuhudumia wazazi kutokana na ubinafsi wao, familia wanaweza kulala njaa ila mwanamke ana mapesa kwenye mkoba wake hatoi hata mia atawatumia watu wa kwao
 
Back
Top Bottom