The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Au kwa baba yake ?Samahani mkuu, hili umeona kwa kaka zako ama kwa mume wako..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kwa baba yake ?Samahani mkuu, hili umeona kwa kaka zako ama kwa mume wako..??
Kaz kwaoKuna watu watabisha
Ubarikiwe wewe na uzao wako, barikiwa uingiapo barikiwa utokapo. Ukweli ni kua wanaume huponzwa na upenda na huruma yao kwa wake zao.Siyo Kwa sababu ya vimada...hao tutakuwa tunawasingizia tu.Wanaume wengi hushindwa muhudumia wazazi wao Kwa sababu ya roho mbaya za wake zao.Wanaume wengi waliingia kichwakichwa Kwa wake zao Kwa kuwaamini na kuwahusisssha Kwa Kila kitu then wake zao wametumia udhaifu huo kuwabana na kukataa kabisa muhudumia mama wa waume zao.Mungu awafungue Kwa kweli
Dada taratibu, unahasira za kutoolewa sio kwa povu hilo kwa wake zetu ebo !Wanaume ni wa kuwahirumia sana maana wengi wanaoa wanawake aina ya chako ni changu,changu ni changu. Na hao ndo watoto wa kike wanaokua mstari wa mbele kuwahudumia wazazi wao.
Ndicho nilichokifanya,siwez fungwa na madhabahu ingali kuungua ndani naungua mimiUpo sahihi mkuu, lakini mimi nilisha sema hivi.....
Ndoa sio jela.
Na wanaume wengi wanateswa na wanawake kwa kusubiri ama wakivumilia eti watabadilika, na hapo wanasahau kwamba huo moto anao upitia ndio rangi halisi ya huyo mke alie muoa. Kwakweli mie siogopi kuvunja ndoa eti kwasababi tulipitia madhabahuni ama kwasababu watu watatusema. Kama ni watoto nitawalea ikiwa atakubali niwachukue na akikataa pia sheria zipo mkuu.
Alafu kesho ya wanetu iandaliwe na nani!!?? Kiasi kidogo cha pesa wanchokipata wazazi hukitumia kuandaa kesho wa watoto wao hivyo watoto wanawajibu wa kuwatunza wazazi wao waliojitoa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji muhimu mpaka leo hii wamesimama.Mzazi unatakiwa kuandaa uzee wako, usitegemee kijana wako awe msaada wako ukizeeka. Kwa maisha gani kijana amemaliza chuo ameoa aweze kuhudumia mzazi?
Tuandae uzee wetu sasa.
BarikiwaWell said dada To yeye, akili na hekima kubwa sana umeitumia kuandika comment yako.
Pia wanawake (wengi na si wote) hutumia sana uchawi na madawa ya kichawi ili kum control mume. Ili hela yote achukue yeye.
Anatokea kimada/mchepuko na uchawi wa Chumbe, kule Kaka Ally Mpemba na UMUGHAKA wanakochukua majini ya kuwapa utajiri.
Akimpata mumeo fungu lote anampelekea yeye, wewe na watoto njaa kali
kwa mzazi wa kijijini asiye na mshahara, analima kwa jembe la mkono, amekusomesha kwa kubadilisha mazao kidogo anayovuma kuwa pombe ya kienyeji, unataka ajiandae kwa maisha yake ya baadaye, raslimali ya kufanya hivyo ataitoa wapi?Lakini pia wazazi wanawajibu wa kuandaa maisha yao ya baadae kuliko kukaa na kuwalaumu watoto wao
Mkuu, mimi sikutaka kufika huko...😜Au kwa baba yake ?
Wazo lako zuri sana lakini ili ufanikiwe kwenye hili ni lazima uliwekee mkazo tangu awali katika mahusiano yenu vinginevyo atakusumbua sana na omba Mungu upate mwanamke atakayekubaliana na hili mwanzo mwishoMm aisee nikioa 50/50 akipokea mshahara tunaupasua vzr tu mamb ya divorce tunaanza kugawana mali akt yeye alikua anafua tu nakupika hapana aisee lazma hela yake itumike ipasavyo
Kweli wanawake mnaroga sana sio balaaa kabisa. Acheni hizo bana ebu uzeni mbususu zenu mpate hela zenu wenyewe kwa jasho lenuUkweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.
Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya maisha yao na hela zao
Msaada wa Wazazi ni muhimu sana iwe wanajitosheleza ama hawajitosheleziLakini pia wazazi wanawajibu wa kuandaa maisha yao ya baadae kuliko kukaa na kuwalaumu watoto wao
Haiwezekani mkuu, mie siwezi kuacha kusomesha shemeji zangu wakike eti kwasababu ya kusaidia wazazi wangu aiseeeee...😎Msaada wa Wazazi ni muhimu sana iwe wanajitosheleza ama hawajitoshelezi
Zigo kwelikweliMwanaume ukishaingia kwny ndoa tayar ushabeba zigo la misumari,
-1. utahudumia mkeo na watoto wako
2. mashemj zako wakifeli vijijini watahamia kwako kulisiti masomo Yao, na wakifaulu utawasomesha wewe
-3. ukweni Kwa mkeo michango yote inakuhusu wewe
4. bado hujatunza wazaz wako
5. Mkeo hajacheza vikoba n.k
Kwa lawama km hizi,
Ndoa maana vijana wa kiume Sasa wanakataa ndoa