Ma Mshuza
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 207
- 1,122
Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa
Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini sasa iwe ndiyo jambo ambalo limetaradadi kila nyumba?
Tukisema vyakula mbona ulaji hauna tofauti sana na miaka 10 iliyopita? Naanza kuhisi kuwa kuna shida.
Shoga yangu mmoja yeye aliniletea kesi ya tofauti. Yeye ni mlokole sana ukiacha sisi Majimatitu. Yeye anasema mumewe alikuwa anachapa sana nje na hivi ana uwezo basi alikuwa anawapanga tu.
Basi anasema akaanza mfanyia maombi na kufunga. Kuwa akienda nje jogoo asiwike. Haukupita mwezi mume akaanza kuwa anawahi kurudi home. Safari za ghafla ghafla hamna na game anaomba ndani mpaka machozi yanakaribia kumtoka. Wakati alikuwa anamaliza miezi mpaka 3 hajamgusa mkewe.
Anasema kwa sasa mume ametulia na kuna siku aliropoka kuwa "sijui naumwa nini nje mashine wala haisimami", kumuuliza unapiga nje? Akajibu hapana namaanisha siku hizi hata sitamani nje.
Wajameni, huko nje michepuko kuna dawa mwatumia kuharibu ndoa za wenzenu? Mimi kilio cha vibamia sina, mashine zetu wengine ndogo bado zipo intact. Kilio cha wanawake wengi kwa sisi wengine ni kukosekana nguvu za kiume kwa wanaume, hamsimamishi kabisa.