Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Mapenzi ya J.B Mpiana hayo..

Rafiki omba nguvu kutoka kokote kule ukimbie mbio, hapo huna mke ila kahaba kimbia kabla haujajiua bure,

yaani mtu unapata wapi nguvu ya kuishi na mwanamke ambaye kakubali kuwa huwa anakucheat 😥😥....aisee we usiwe boya hivyo Kimbia...
 
Amida chatur au sio mzee
 
Kwanza hata haraka haraka Mhasibu mwanamke kukuta tegemezi ni wachache.

Wastani wanaweza kujikimu wenyewe bila kutegemea Mwanaume.
Sijamaanisha kujikimu, kupelekesha mume
 
KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI TU

NDOA NI SCAM.

VIJANA WA KATAA NDOA WANAELEKEA KUBEBA KOMBE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wote vyeti
 
Huyo mkeo Ashaona hiwezi mfanya chochote ndio maana analeta hizo habari
 
MKE WAKO NI MKE WA WOTE
1 Wakorintho 7:2-7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
 
Huyo mkeo Ashaona hiwezi mfanya chochote ndio maana analeta hizo habari
 
Huyo si mama yako au pacha wako kwamba mmeshea tumbo.

Ukiendelea kubaki akifanya kisasi cha kukudhuru, utaleta majonzi kwa familia yako
 
Huna mke hapo mwamba piga chini wanawake wako weng sana keshakujua kuwa upindui kwake daaah mwamba una moyo mgumu kama mpiganaji Wa hamas
 
Mkeo anatafuta uzazi, miaka 8 mtoto mmoja inampa mashaka. Anahisi huenda wewe ndo unatatizo hivyo anajaribu kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…