Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)
Habari yako, ashakum sio matusi, kumanyioko zako, Ahsante
 
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)

Miaka yote hiyo saba iliyopita niliyokuwa Naye katika maisha sikuwahi kugundua tabia ya mkewangu ya kulipiza kisasi. Kumbe miaka yote hii nane amekuwa akinilipiza fisasi bila Mimi kujua.

Nakiri kwamba ni mwanamke ambaye alinipenda Sana kiasi Cha kutembea kifua mbele kwamba napendwa alikuwa radhi Kwa chochote ili awe na Mimi tu katika maisha yake.

Mwaka huu mwazi wa kwanza kama sio wa pili akanambia kitu Cha kushangaza Sana. Kipindi nipo chuoni miaka kama Sita iliyopita aliwahi kunifuma chumbani kwangu nikiwa na kadem flani

Haka kademi hata sikuwa nacho kwenye mahusiano, kalikuwa ni katoto ka getikali kanaishi kwenye bangaloo nikiwa napita kwao kananichekea nikajua tu kanawashwa maana kanafungiwa sana ndani. Sikumoja nikiwa napita kwao hako kadem nikakaita kakanifuata, kalitoroka kwao nikakachukua mpaka geto kwangu. Leongo ni kula mzigo lakini kumbe kalikuwa kwenye siku zake kwahiyo mission ikawa failed, nikaenda kukanunulia ped maana kaliniambia kanataka kulala kwangu, kwakuwa kalikuwa bize na cm yangu nikaweka flight mode nisipatikane kumbe mwanamke wangu kanipigia wee hanipati

Keshoyake asubuhi mwanamke wangu akatufuma live geto kalekadem kakiwa kamevaa nguo yangu. Ilikuwa patashika sitasahau hii siku.

Tulifanikiwa kusolve Hilo tatizo mkewangu alinielewa japo kishingo upande

Kumbe Imani yoote aliyokuwa nayo kwangu ilifia pale aliponifuma na kale kadem.

Sasa mwaka huu ndo anakuja kunambia kuwa alijua kwamba kale kademu nilikaginga kwahiyo nayeye kulikuwa na jamaa flani anamtongoza tongoza akaamua akampe mzigo kupunguza machungu.

Baada ya kuambiwa haya nilisikitika Sana Kwasababu Mimi sikuwa nimefanya mapenzi na kale kabinti lakin yeye akanilipizia Kwa kufanya kweli.

Kabla sijakutana na mkewangu nilikuwa na marafiki wakiume na wakike. Ilifikia hatua mkewangu akanikataza kuwa na marafiki wa kike kutokana na wivu aliokuwa nao kwangu.

Nilijitahidi kumthibitishia kuwa hakuna kingine zaidi ya urafiki tu hasahasa maisha yangu ya chuo nilikuwa nachangamana na jinsia zote, kunawakati nilidhani amenielewa.

Mwaka huu mwezi wa tatu hiv nikagundua mwenzangu amebadilika mapenzi yamepungua kwangu, namjua mkewangu ni mtu wa kutafuta furaha kutoka kwangu mara ghafla akawa Hana habari na Mimi.

Kazini kwangu kuna mdada akawa amenizoea Sana tukawa tunawasiliana na kuchat lakini nilimtaadharisha kuwa ninamke na mtoto tuseme tu tulipenda Sana kutaniana Kila siku zilivyozid kwenda utani ukawa unazidi nikajua huyu atakuja kuniletea matatizo Kwa mkewangu nikambolock.

Baada ya siku kadhaa yule dada wa kazini akanifata kistaarabu akaniomba nimsamehe Kwa utani uliopitiliza basi nikaona Acha nimblokue

Japo nimemblokua lakini nilishaisoma akili yake sio timamu Sana. Kumbe mkewangu alikuwa akisoma sms zangu na amekuwa akitufatilia Mimi na huyo dada wa kazini kwangu.

Akanionya nisiwe na ukaribu na huyo dada. Nilichofanya nikaamua kuwa nambadilisha majina kilasiku mara Leo nimsevu Mgunda mara nimsave Onyango.

Kumbe hayo yoote mkewangu alikuwa kashajua.

Nilipata zawadi ya mfanyakaz Bora wa mwezi kazini kwetu nikapewa zawadi nikapigwa na picha, ilikuwa jiko la gas yule dada rafkiangu wa kazini akaniomba Lile jiko akanambia atanirudiahia hela kidogo kidogo nikampa maaana sikuwa na shida nalo Sana.

Wakati huo mkewangu simuelewi anamajibu ya mkato Hana muda namm, sio mtu wa kushinda nyumbani.

Kumbe mkewangu ameona zile picha za Mimi kupewa zawadi kazini na zawadi hajaiona nyumbani basi akajua mojakwa Moja nimemuhonga yule demu wa kazini kwangu.

Kumbe mkewangu alikuwa na urafiki na jamaa flani hivi sijui walisomanae, yule jamaa alikuwa anmfanyia vitu mkewangu mara amtoe out mara amletee zawadi mda huo me sielewi namuonax mkewangu mapenzi hayapo kabisa kwangu najaribu kuchunguza ni nini sababu.

Nakuja kujua nishachelewa Sana jamaa kashamla mzigo mkewangu na kashaanza kumpotezea.

Nilipogundua Hilo niliumia Sana lakini nikakumbuka aliwahi kunifuma na mwanamke chumbani na alinisamehe na kutokana na alivyoomba msamaha nilishindwa kuacha kumsamehe, niseme nilikuwa nampenda Sana mkewangu nikaamua kumsamehe japo wengi watanishangaa ila niliamua hivyo Kwasababu ningepoteza vingi nilivyo vijenga kama tungeachana.

Mkewangu alinambia aliamua kucheat Kwasababu alidhani nimecheat na yele mdada wa kazini kwangu

Hebu tizama mkewangu amrudia Tena kunilipizia kisasi kwa kunicheat akidhani Mimi nimemcheat. Basi kuanzia hapo nikawa nimeijua tabia ya visasi aliyonayo mkewangu.

Tulianza maisha mapya na mkewangu sikutaka Tena mawasiliano na yule Binti wa kazini kwangu na mkewangu akaacha mawasiliano na yule jamaa aliyenicheat Naye.

Hakika mkewangu alirudisha mapenzi yote kwangu akaniheshimu nikampenda maisha yalikiwa matamu hizo siku baada ya miezi kama minne hivi yule jamaa akaanza kupigia mkewangu.

Nilipogundua Hilo nikaongea na mkewangu akanambia ananiahidi hatafanya kitendo alichokifanya Cha kunicheat Tena katika maisha yake kwahiyo nimuache tu awasiliane Naye huyo jamaa hakitaharibika kitu.
Nikaona hiyo sio kweli nikaamua kumvutia jamaa waya nikamwambia aache kuwasiliana na mkewangu na nikamfahamisha kuwa najua kuwa alishatembea na mkewangu najua yote lakini Kwa amani tu nikamuomba aache kuwasiliana na mkewangu jamaa alinielewa vzuri sana aliacha huo mchezo kabisa.

Maisha yakaendelea baada kama miezi miwili hivi nikaanza kugundua kuwa mkewangu ameanza Tena kunipuuza haniheshimu majibu ya shortcat Hana muda na Mimi nikaanza Tena kumchunguza nikagundua amekuwa na marafiki wa kiume kadhaa anachart nao.

Nilipomuuliza akasema ni rafiki zake kwakuwa hata Mimi mbona ninamarafiki wa kike.

Baada ya siku mbilitatu nikafuma sms ya jamaa mmoja miongoni mwa hao rafiki zake akimtongoza, Tena saa Tano usiku.

Nikampigia cm huyo jamaa nikaongea nae kiume kiutu uzima jamaa akaniomba msamaha akakata mawasiliano na mkewangu, nikamwambia mkewangu sitaki uwe na marafiki wa aina hii kunasiku watakuja kumponza kapoteza familia yake Kwasababu Hawa rafiki wasioeleweka.

Baada ya siku tatu mkewangu akaanza kuchat na jamaa anaitwa Ezra huyu Ezra akaanza kumtongoza mkewangu lakin mkewangu alimkata kiaina nilichoshangaa mkewangu alionekana anapenda Sana kuweka urafiki na huyu Ezra hata nilipomwambia akasema amesha mwambia Ezra kuwa wawe marafiki tu na sio wapenzi na Ezra ameridhika na Hilo.

Binafsi nikakumbuka tabia ya visasi ya mkewangu ameona kwakuwa Nina rafiki wakike ninaowasiliana nao ambao kwakweli hatuna mahusiano ya kimapenzi na hao wengi ni wafanyakazi wenzangu na hata mkewangu anajua kabisa kuwa Sina mpenzi zaidi yake lakini anachokifanya hapa ni kulipiza kisasi ndomaana hataki kuacha kuchart na huyu Ezra.

Nikamwambia aache kuchart na Ezra akanijibu kama anataka niache kuchart na Ezra basi na Mimi nisiwe na rafiki wa kike.

Kinachoniumiza kichwa hapa sio Ezra. Ni hii Hali ya kulipiza visasi Mkewangu tabia hii nitaidhibiti vipi? Au haiwezekani? Maisha ya kuchetiwa wakati me najitahidi kujilinda na kumpenda mkewangu lakini yeye ananilipa Kwa haya kweli.

Tabia hii ya visasi ningeju tangu zamani nisingeamua kuishi naye lakini yote hya nimeyaju mwaka huu je ninauhakika gani amekuwa akinicheat Kila anapohisi nimemcheat.
Naombeni mnishuri nipo njia panda sijui lakufanya nishuke tu safari imenishinda au niendelee na safari, natatua vp hili tatizo
Umeoa Malaya.
Ndoa Ndoano
#KATAANDOA
 
Wanawake wengi tunalipiza kisasi hiyo ni kawaida. Tatizo la huyo wako anafanya kizembezembe.
Huwa tunalipiza kisasi na usijue kama umelipiziwa kisasi, moyo ukishatulia maisha yanasonga.
Raha yakulipiza kisasi ,unaemulipizia ajue hapo ndio moyo wako utatulia,sasa nyie mnalipiza halafu waume zenu hawajui kinachoendelea hyo ni cheating yakawaida naukikamatwa hyo nihabari nyingine kutegemea na aina ya mwanaume wako..kwa mantiki hyo mtoa mada yuko sahihi kua mkewe anamoyo wakulipa kisasi!!kwa sababu amemfanya ajue aidha anachati nawanaume wengine mbele ya mmewe akiulizwa anajibu kiroho safi yakua mbona ww unachati nawanawake wengine,??!!kwahyo humo ndani nimashindano au kuna battle linaendelea au kuna league ya NBC....na kwa walipofikia nidhahiri shahiri kifuatacho ITV nikuuana au kugawana majengo.
 
Ajue ama asijue cheating ilo pale pale. Na wakatti huo inafanyika habari za kushikwa hazipo akilini au zinakuwepo lkn akili ndo ishaamua haijali tena.

Huko kushindana kama. Ligi ya NBC ndo tunamshangaa mwenzetu..huwa haipo hivyo. Nia ni kupunguza machungu ya moyo na si mashindano.
 
Hii situation ni hatari sana kwa ambao hawajai kuishi hivi hawawezi elewa umekaa na mtoto wa mtu 8 years umemdhalisha then anakuletea mauza uza ukitaka kumuacha lzm ujipange kisaikolojia la sivyo ni zoezi gumu sana sana..
Watu wanachukulia simple kama kutema big-G,eti muache mara moja ,,,process zakuachana sio rqhisi wakumbuke kuna mazoea uliyokua nayo dhidi yake in fact kuna mema flani ndani yake ambayo hua unayafaidi ambayo ndio yanazidi kuongeza uzito ku-apart away kila mmojawapo..funga kazi wanamtoto mdogo.analelewaje???!!!
 
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)

Miaka yote hiyo saba iliyopita niliyokuwa Naye katika maisha sikuwahi kugundua tabia ya mkewangu ya kulipiza kisasi. Kumbe miaka yote hii nane amekuwa akinilipiza fisasi bila Mimi kujua.

Nakiri kwamba ni mwanamke ambaye alinipenda Sana kiasi Cha kutembea kifua mbele kwamba napendwa alikuwa radhi Kwa chochote ili awe na Mimi tu katika maisha yake.

Mwaka huu mwazi wa kwanza kama sio wa pili akanambia kitu Cha kushangaza Sana. Kipindi nipo chuoni miaka kama Sita iliyopita aliwahi kunifuma chumbani kwangu nikiwa na kadem flani

Haka kademi hata sikuwa nacho kwenye mahusiano, kalikuwa ni katoto ka getikali kanaishi kwenye bangaloo nikiwa napita kwao kananichekea nikajua tu kanawashwa maana kanafungiwa sana ndani. Sikumoja nikiwa napita kwao hako kadem nikakaita kakanifuata, kalitoroka kwao nikakachukua mpaka geto kwangu. Leongo ni kula mzigo lakini kumbe kalikuwa kwenye siku zake kwahiyo mission ikawa failed, nikaenda kukanunulia ped maana kaliniambia kanataka kulala kwangu, kwakuwa kalikuwa bize na cm yangu nikaweka flight mode nisipatikane kumbe mwanamke wangu kanipigia wee hanipati

Keshoyake asubuhi mwanamke wangu akatufuma live geto kalekadem kakiwa kamevaa nguo yangu. Ilikuwa patashika sitasahau hii siku.

Tulifanikiwa kusolve Hilo tatizo mkewangu alinielewa japo kishingo upande

Kumbe Imani yoote aliyokuwa nayo kwangu ilifia pale aliponifuma na kale kadem.

Sasa mwaka huu ndo anakuja kunambia kuwa alijua kwamba kale kademu nilikaginga kwahiyo nayeye kulikuwa na jamaa flani anamtongoza tongoza akaamua akampe mzigo kupunguza machungu.

Baada ya kuambiwa haya nilisikitika Sana Kwasababu Mimi sikuwa nimefanya mapenzi na kale kabinti lakin yeye akanilipizia Kwa kufanya kweli.

Kabla sijakutana na mkewangu nilikuwa na marafiki wakiume na wakike. Ilifikia hatua mkewangu akanikataza kuwa na marafiki wa kike kutokana na wivu aliokuwa nao kwangu.

Nilijitahidi kumthibitishia kuwa hakuna kingine zaidi ya urafiki tu hasahasa maisha yangu ya chuo nilikuwa nachangamana na jinsia zote, kunawakati nilidhani amenielewa.

Mwaka huu mwezi wa tatu hiv nikagundua mwenzangu amebadilika mapenzi yamepungua kwangu, namjua mkewangu ni mtu wa kutafuta furaha kutoka kwangu mara ghafla akawa Hana habari na Mimi.

Kazini kwangu kuna mdada akawa amenizoea Sana tukawa tunawasiliana na kuchat lakini nilimtaadharisha kuwa ninamke na mtoto tuseme tu tulipenda Sana kutaniana Kila siku zilivyozid kwenda utani ukawa unazidi nikajua huyu atakuja kuniletea matatizo Kwa mkewangu nikambolock.

Baada ya siku kadhaa yule dada wa kazini akanifata kistaarabu akaniomba nimsamehe Kwa utani uliopitiliza basi nikaona Acha nimblokue

Japo nimemblokua lakini nilishaisoma akili yake sio timamu Sana. Kumbe mkewangu alikuwa akisoma sms zangu na amekuwa akitufatilia Mimi na huyo dada wa kazini kwangu.

Akanionya nisiwe na ukaribu na huyo dada. Nilichofanya nikaamua kuwa nambadilisha majina kilasiku mara Leo nimsevu Mgunda mara nimsave Onyango.

Kumbe hayo yoote mkewangu alikuwa kashajua.

Nilipata zawadi ya mfanyakaz Bora wa mwezi kazini kwetu nikapewa zawadi nikapigwa na picha, ilikuwa jiko la gas yule dada rafkiangu wa kazini akaniomba Lile jiko akanambia atanirudiahia hela kidogo kidogo nikampa maaana sikuwa na shida nalo Sana.

Wakati huo mkewangu simuelewi anamajibu ya mkato Hana muda namm, sio mtu wa kushinda nyumbani.

Kumbe mkewangu ameona zile picha za Mimi kupewa zawadi kazini na zawadi hajaiona nyumbani basi akajua mojakwa Moja nimemuhonga yule demu wa kazini kwangu.

Kumbe mkewangu alikuwa na urafiki na jamaa flani hivi sijui walisomanae, yule jamaa alikuwa anmfanyia vitu mkewangu mara amtoe out mara amletee zawadi mda huo me sielewi namuonax mkewangu mapenzi hayapo kabisa kwangu najaribu kuchunguza ni nini sababu.

Nakuja kujua nishachelewa Sana jamaa kashamla mzigo mkewangu na kashaanza kumpotezea.

Nilipogundua Hilo niliumia Sana lakini nikakumbuka aliwahi kunifuma na mwanamke chumbani na alinisamehe na kutokana na alivyoomba msamaha nilishindwa kuacha kumsamehe, niseme nilikuwa nampenda Sana mkewangu nikaamua kumsamehe japo wengi watanishangaa ila niliamua hivyo Kwasababu ningepoteza vingi nilivyo vijenga kama tungeachana.

Mkewangu alinambia aliamua kucheat Kwasababu alidhani nimecheat na yele mdada wa kazini kwangu

Hebu tizama mkewangu amrudia Tena kunilipizia kisasi kwa kunicheat akidhani Mimi nimemcheat. Basi kuanzia hapo nikawa nimeijua tabia ya visasi aliyonayo mkewangu.

Tulianza maisha mapya na mkewangu sikutaka Tena mawasiliano na yule Binti wa kazini kwangu na mkewangu akaacha mawasiliano na yule jamaa aliyenicheat Naye.

Hakika mkewangu alirudisha mapenzi yote kwangu akaniheshimu nikampenda maisha yalikiwa matamu hizo siku baada ya miezi kama minne hivi yule jamaa akaanza kupigia mkewangu.

Nilipogundua Hilo nikaongea na mkewangu akanambia ananiahidi hatafanya kitendo alichokifanya Cha kunicheat Tena katika maisha yake kwahiyo nimuache tu awasiliane Naye huyo jamaa hakitaharibika kitu.
Nikaona hiyo sio kweli nikaamua kumvutia jamaa waya nikamwambia aache kuwasiliana na mkewangu na nikamfahamisha kuwa najua kuwa alishatembea na mkewangu najua yote lakini Kwa amani tu nikamuomba aache kuwasiliana na mkewangu jamaa alinielewa vzuri sana aliacha huo mchezo kabisa.

Maisha yakaendelea baada kama miezi miwili hivi nikaanza kugundua kuwa mkewangu ameanza Tena kunipuuza haniheshimu majibu ya shortcat Hana muda na Mimi nikaanza Tena kumchunguza nikagundua amekuwa na marafiki wa kiume kadhaa anachart nao.

Nilipomuuliza akasema ni rafiki zake kwakuwa hata Mimi mbona ninamarafiki wa kike.

Baada ya siku mbilitatu nikafuma sms ya jamaa mmoja miongoni mwa hao rafiki zake akimtongoza, Tena saa Tano usiku.

Nikampigia cm huyo jamaa nikaongea nae kiume kiutu uzima jamaa akaniomba msamaha akakata mawasiliano na mkewangu, nikamwambia mkewangu sitaki uwe na marafiki wa aina hii kunasiku watakuja kumponza kapoteza familia yake Kwasababu Hawa rafiki wasioeleweka.

Baada ya siku tatu mkewangu akaanza kuchat na jamaa anaitwa Ezra huyu Ezra akaanza kumtongoza mkewangu lakin mkewangu alimkata kiaina nilichoshangaa mkewangu alionekana anapenda Sana kuweka urafiki na huyu Ezra hata nilipomwambia akasema amesha mwambia Ezra kuwa wawe marafiki tu na sio wapenzi na Ezra ameridhika na Hilo.

Binafsi nikakumbuka tabia ya visasi ya mkewangu ameona kwakuwa Nina rafiki wakike ninaowasiliana nao ambao kwakweli hatuna mahusiano ya kimapenzi na hao wengi ni wafanyakazi wenzangu na hata mkewangu anajua kabisa kuwa Sina mpenzi zaidi yake lakini anachokifanya hapa ni kulipiza kisasi ndomaana hataki kuacha kuchart na huyu Ezra.

Nikamwambia aache kuchart na Ezra akanijibu kama anataka niache kuchart na Ezra basi na Mimi nisiwe na rafiki wa kike.

Kinachoniumiza kichwa hapa sio Ezra. Ni hii Hali ya kulipiza visasi Mkewangu tabia hii nitaidhibiti vipi? Au haiwezekani? Maisha ya kuchetiwa wakati me najitahidi kujilinda na kumpenda mkewangu lakini yeye ananilipa Kwa haya kweli.

Tabia hii ya visasi ningeju tangu zamani nisingeamua kuishi naye lakini yote hya nimeyaju mwaka huu je ninauhakika gani amekuwa akinicheat Kila anapohisi nimemcheat.
Naombeni mnishuri nipo njia panda sijui lakufanya nishuke tu safari imenishinda au niendelee na safari, natatua vp hili tatizo
Pole kuna jamaa namjua anapitia hili tofauti na yako ni kuwa jamaa hajashtuka mke wake analiwa mzigo, Ndoa ni changamoto Muombe kwa Mungu mpate watu sahihi, kwakua hamjafunga ndoa mimi ningekushauri umpige chini, kwasababu unakojoleaje sehemu ambayo wanakojolea wrngine hiyo sio private property tena sasa ni public hana tofauti na malaya bora ununue kuliko kuweka hisia kwa mtu asiyestahili hisia! Ngoja nimalizie usingizi 😴
 
Bwana wewe mwanamke/mke kutombwer sio kitu cha kumaind mzeya...kwanza mbususu hainaga makombo. Acha ufala wee banana nae tuu maisha yaende.
Unaachaje mke eti kisa kagegedwa na mwanaume mwengine? Wanawake wote wanagegedwa nje ya ndoa sasa wewe usijifange special one kwamba wako asigegedwe
 
Huyo ni malaya wala sio tabia za visasi kifupi huna command wala sauti kwa huyo unaesema ni mkeo
 
Ajue ama asijue cheating ilo pale pale. Na wakatti huo inafanyika habari za kushikwa hazipo akilini au zinakuwepo lkn akili ndo ishaamua haijali tena.

Huko kushindana kama. Ligi ya NBC ndo tunamshangaa mwenzetu..huwa haipo hivyo. Nia ni kupunguza machungu ya moyo na si mashindano.
Mkuu,nilikua najaribu kutofautisha kati ya kucheat kwa kawaidanakulipa kisasi,,sifa ya kulipa kisasi nimtu huyo ajue yakua umemlipishia kutokana na aliyoyafanya...hapo hata roho yako inatulia nakujiandaa kwa ajili ya mapigo mengine endapo atajaribu kuendelea natabia yake au kukulipishia ..mutoa mada anaelezea waziwazi tabia yamkewe ya kulipizackisasi nahuyu jama analijua hilo fika...ingekua nicheating yakawaida huenda mmwamba akili kijiko asingeleta uzi huu kwasabbau ingekua nicheating yakawaidanamaamuzi yangetegemea na aina ya mwanaume kama angekamatwa kwa kucheat.
 
Nimekuelewa vyema.
Ila akili nyingi za kike tunalipiza na mwenye kulipiziwa anakuwa hajui. Ni ile tu kuona ushalipiza, akijua basi ni bahati mbaya.
Wenyewe tunaita kulipiza kisasi hivyo hivyo hata kama mlengwa hana habari.
 
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha ya hayo yoote Maisha yetu Mimi na mkewangu na mtoto wetu yamekuwa yafuraha na changamoto za hapa na pale (zakuvumilika)

Miaka yote hiyo saba iliyopita niliyokuwa Naye katika maisha sikuwahi kugundua tabia ya mkewangu ya kulipiza kisasi. Kumbe miaka yote hii nane amekuwa akinilipiza fisasi bila Mimi kujua.

Nakiri kwamba ni mwanamke ambaye alinipenda Sana kiasi Cha kutembea kifua mbele kwamba napendwa alikuwa radhi Kwa chochote ili awe na Mimi tu katika maisha yake.

Mwaka huu mwazi wa kwanza kama sio wa pili akanambia kitu Cha kushangaza Sana. Kipindi nipo chuoni miaka kama Sita iliyopita aliwahi kunifuma chumbani kwangu nikiwa na kadem flani

Haka kademi hata sikuwa nacho kwenye mahusiano, kalikuwa ni katoto ka getikali kanaishi kwenye bangaloo nikiwa napita kwao kananichekea nikajua tu kanawashwa maana kanafungiwa sana ndani. Sikumoja nikiwa napita kwao hako kadem nikakaita kakanifuata, kalitoroka kwao nikakachukua mpaka geto kwangu. Leongo ni kula mzigo lakini kumbe kalikuwa kwenye siku zake kwahiyo mission ikawa failed, nikaenda kukanunulia ped maana kaliniambia kanataka kulala kwangu, kwakuwa kalikuwa bize na cm yangu nikaweka flight mode nisipatikane kumbe mwanamke wangu kanipigia wee hanipati

Keshoyake asubuhi mwanamke wangu akatufuma live geto kalekadem kakiwa kamevaa nguo yangu. Ilikuwa patashika sitasahau hii siku.

Tulifanikiwa kusolve Hilo tatizo mkewangu alinielewa japo kishingo upande

Kumbe Imani yoote aliyokuwa nayo kwangu ilifia pale aliponifuma na kale kadem.

Sasa mwaka huu ndo anakuja kunambia kuwa alijua kwamba kale kademu nilikaginga kwahiyo nayeye kulikuwa na jamaa flani anamtongoza tongoza akaamua akampe mzigo kupunguza machungu.

Baada ya kuambiwa haya nilisikitika Sana Kwasababu Mimi sikuwa nimefanya mapenzi na kale kabinti lakin yeye akanilipizia Kwa kufanya kweli.

Kabla sijakutana na mkewangu nilikuwa na marafiki wakiume na wakike. Ilifikia hatua mkewangu akanikataza kuwa na marafiki wa kike kutokana na wivu aliokuwa nao kwangu.

Nilijitahidi kumthibitishia kuwa hakuna kingine zaidi ya urafiki tu hasahasa maisha yangu ya chuo nilikuwa nachangamana na jinsia zote, kunawakati nilidhani amenielewa.

Mwaka huu mwezi wa tatu hiv nikagundua mwenzangu amebadilika mapenzi yamepungua kwangu, namjua mkewangu ni mtu wa kutafuta furaha kutoka kwangu mara ghafla akawa Hana habari na Mimi.

Kazini kwangu kuna mdada akawa amenizoea Sana tukawa tunawasiliana na kuchat lakini nilimtaadharisha kuwa ninamke na mtoto tuseme tu tulipenda Sana kutaniana Kila siku zilivyozid kwenda utani ukawa unazidi nikajua huyu atakuja kuniletea matatizo Kwa mkewangu nikambolock.

Baada ya siku kadhaa yule dada wa kazini akanifata kistaarabu akaniomba nimsamehe Kwa utani uliopitiliza basi nikaona Acha nimblokue

Japo nimemblokua lakini nilishaisoma akili yake sio timamu Sana. Kumbe mkewangu alikuwa akisoma sms zangu na amekuwa akitufatilia Mimi na huyo dada wa kazini kwangu.

Akanionya nisiwe na ukaribu na huyo dada. Nilichofanya nikaamua kuwa nambadilisha majina kilasiku mara Leo nimsevu Mgunda mara nimsave Onyango.

Kumbe hayo yoote mkewangu alikuwa kashajua.

Nilipata zawadi ya mfanyakaz Bora wa mwezi kazini kwetu nikapewa zawadi nikapigwa na picha, ilikuwa jiko la gas yule dada rafkiangu wa kazini akaniomba Lile jiko akanambia atanirudiahia hela kidogo kidogo nikampa maaana sikuwa na shida nalo Sana.

Wakati huo mkewangu simuelewi anamajibu ya mkato Hana muda namm, sio mtu wa kushinda nyumbani.

Kumbe mkewangu ameona zile picha za Mimi kupewa zawadi kazini na zawadi hajaiona nyumbani basi akajua mojakwa Moja nimemuhonga yule demu wa kazini kwangu.

Kumbe mkewangu alikuwa na urafiki na jamaa flani hivi sijui walisomanae, yule jamaa alikuwa anmfanyia vitu mkewangu mara amtoe out mara amletee zawadi mda huo me sielewi namuonax mkewangu mapenzi hayapo kabisa kwangu najaribu kuchunguza ni nini sababu.

Nakuja kujua nishachelewa Sana jamaa kashamla mzigo mkewangu na kashaanza kumpotezea.

Nilipogundua Hilo niliumia Sana lakini nikakumbuka aliwahi kunifuma na mwanamke chumbani na alinisamehe na kutokana na alivyoomba msamaha nilishindwa kuacha kumsamehe, niseme nilikuwa nampenda Sana mkewangu nikaamua kumsamehe japo wengi watanishangaa ila niliamua hivyo Kwasababu ningepoteza vingi nilivyo vijenga kama tungeachana.

Mkewangu alinambia aliamua kucheat Kwasababu alidhani nimecheat na yele mdada wa kazini kwangu

Hebu tizama mkewangu amrudia Tena kunilipizia kisasi kwa kunicheat akidhani Mimi nimemcheat. Basi kuanzia hapo nikawa nimeijua tabia ya visasi aliyonayo mkewangu.

Tulianza maisha mapya na mkewangu sikutaka Tena mawasiliano na yule Binti wa kazini kwangu na mkewangu akaacha mawasiliano na yule jamaa aliyenicheat Naye.

Hakika mkewangu alirudisha mapenzi yote kwangu akaniheshimu nikampenda maisha yalikiwa matamu hizo siku baada ya miezi kama minne hivi yule jamaa akaanza kupigia mkewangu.

Nilipogundua Hilo nikaongea na mkewangu akanambia ananiahidi hatafanya kitendo alichokifanya Cha kunicheat Tena katika maisha yake kwahiyo nimuache tu awasiliane Naye huyo jamaa hakitaharibika kitu.
Nikaona hiyo sio kweli nikaamua kumvutia jamaa waya nikamwambia aache kuwasiliana na mkewangu na nikamfahamisha kuwa najua kuwa alishatembea na mkewangu najua yote lakini Kwa amani tu nikamuomba aache kuwasiliana na mkewangu jamaa alinielewa vzuri sana aliacha huo mchezo kabisa.

Maisha yakaendelea baada kama miezi miwili hivi nikaanza kugundua kuwa mkewangu ameanza Tena kunipuuza haniheshimu majibu ya shortcat Hana muda na Mimi nikaanza Tena kumchunguza nikagundua amekuwa na marafiki wa kiume kadhaa anachart nao.

Nilipomuuliza akasema ni rafiki zake kwakuwa hata Mimi mbona ninamarafiki wa kike.

Baada ya siku mbilitatu nikafuma sms ya jamaa mmoja miongoni mwa hao rafiki zake akimtongoza, Tena saa Tano usiku.

Nikampigia cm huyo jamaa nikaongea nae kiume kiutu uzima jamaa akaniomba msamaha akakata mawasiliano na mkewangu, nikamwambia mkewangu sitaki uwe na marafiki wa aina hii kunasiku watakuja kumponza kapoteza familia yake Kwasababu Hawa rafiki wasioeleweka.

Baada ya siku tatu mkewangu akaanza kuchat na jamaa anaitwa Ezra huyu Ezra akaanza kumtongoza mkewangu lakin mkewangu alimkata kiaina nilichoshangaa mkewangu alionekana anapenda Sana kuweka urafiki na huyu Ezra hata nilipomwambia akasema amesha mwambia Ezra kuwa wawe marafiki tu na sio wapenzi na Ezra ameridhika na Hilo.

Binafsi nikakumbuka tabia ya visasi ya mkewangu ameona kwakuwa Nina rafiki wakike ninaowasiliana nao ambao kwakweli hatuna mahusiano ya kimapenzi na hao wengi ni wafanyakazi wenzangu na hata mkewangu anajua kabisa kuwa Sina mpenzi zaidi yake lakini anachokifanya hapa ni kulipiza kisasi ndomaana hataki kuacha kuchart na huyu Ezra.

Nikamwambia aache kuchart na Ezra akanijibu kama anataka niache kuchart na Ezra basi na Mimi nisiwe na rafiki wa kike.

Kinachoniumiza kichwa hapa sio Ezra. Ni hii Hali ya kulipiza visasi Mkewangu tabia hii nitaidhibiti vipi? Au haiwezekani? Maisha ya kuchetiwa wakati me najitahidi kujilinda na kumpenda mkewangu lakini yeye ananilipa Kwa haya kweli.

Tabia hii ya visasi ningeju tangu zamani nisingeamua kuishi naye lakini yote hya nimeyaju mwaka huu je ninauhakika gani amekuwa akinicheat Kila anapohisi nimemcheat.
Naombeni mnishuri nipo njia panda sijui lakufanya nishuke tu safari imenishinda au niendelee na safari, natatua vp hili tatizo
Huyo anaweza gawa hicho kwa masela ili akukomoe tu
 
Kwamba hujui huyo dada ni malaya? Inafikirisha sana mwanaume rijali na timamu wa akili unachitiwa wazi twice-thrice na bado upo upo tu, inafikirisha sana.

Wanaume we hivi ni dhaifu na hawajitambui, sawa Ke wana tabia ya kulipa visasi, lakini analipa kisasi wazi? Na wewe upo upo tu unapigia wagoni wako simu kubembelezana nao?

Mkuu, unapoteza manhood yako kizembe sana. Hivi katika scenarios hizo kuna hata moja ulimuwasha kofi?
 
Hata kama mapenzi hayashauriwi me nakushauri huna MKE hapo una HAMAS AU HEZBOLAAH na kinachokutatiza kugawana vitanda na makabati tu hapo kwa kifupi muache shida utaiona mwanzo tu ila mbeleni utajuta ulichelewa wapi kumuacha sio mwanamke huyo ni Janjaweed huyo kumbaf zake
 
Back
Top Bottom