Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Kuna hatua fulani ikifika kwenye mahusiano watu mnatakiwa muachane kwa wema kila mtu afate shughuli yake, wewe na mwanamke wako mmefikia hatua hiyo na kama hampo tayari kuachana kwa wema basi mtaachana kwa shari.
 
Hakuna justification ya mtu kwenda kucheat, tuwaambie mara ngapi.?

Mtu akikwambia nimecheat sababu ulifanya hivi na hivi huyo anafanya “blame shifting game “ au guilt shifting.

Hakuna maneno mengine sahihi zaidi ya kukwambia mkeo anakosea sana, kuhusu kumsamehe ni suala lako binafsi.

Na wewe jirekebishe maana ni wazi hujielewi, una tabia kuintertain wanawake wa nje Halafu unaruka kujifanya hukuwa na mpango nao, hiyo tabia yako ni very toxic, inampa partner wako mixed emotions.

Cha mwisho, mkaoane na muache ujinga au la, muachane kabla hatujawasoma kwa Millard Ayo.
 
Wanawake wengi tunalipiza kisasi hiyo ni kawaida. Tatizo la huyo wako anafanya kizembezembe.
Huwa tunalipiza kisasi na usijue kama umelipiziwa kisasi, moyo ukishatulia maisha yanasonga.
 
Wanawake wengi tunalipiza kisasi hiyo ni kawaida. Tatizo la huyo wako anafanya kizembezembe.
Huwa tunalipiza kisasi na usijue kama umelipiziwa kisasi, moyo ukishatulia maisha yanasonga.
Mnauza Mechi?
 
Hapo bado hamjaoana sasa mkiona si ndiyo shida inaanza kuwa kubwa.
Ila pole sana kwa kazi ngumu ya kuwapigia wanaume wenzanko waachane na mkeo wako.
Mwenye tatizo ni mke wako na siyo hao wanaume unaowapigia waachane na mkeo. Kaa na mkeo mzungumze vizuri kuhusu mstakabari wa ndoa yenu.
Kuchat na wanawake wengine inabidi ufanye kwa siri sana hata mkeo asijue unafanya nini.
 
Umefunga uzi
 
Yawezekana kusamehe ni uzoba lakini nilifanya Ivo ili kulinda kupoteza nilivyoviangaikia Kwa muda mrefu lakini Kwa hapa nilipofikia siitaji kusamehe Tena na Wala sitamuacha kirahic ivyo nitaprwtend maisha hata miezi kadhaa huku nikikusanya kilicho changu taratibu nikija kubwaga nitolee hiyo
 
Uliyosema yote ni kweli
 
Mimi naona huyu Bro ndiye mwenye shida eti!

Yaani mwanamke anaku cheat kisha unarudiana naye?
Yawezekana ninashida ngoja nijitafakari up
Asante Sana mkuu
 
Asante lakini sikujua kama nikichart na rafiki zangu sitakiwi kuwa charming
Inatakiwa uishi nao kama mume wa mtu, sio unachati na "marafiki zako wa kike" na unawaonyesha as if wao ndio furaha yako ndani kwako hakuna amani.

Kwanza ukute hamna lolote la maana mnachati. Ukute na emoji unatuma na unawamiss. Unatakiwa kufanya mawasiliano nao, sio kuchati nao. It seems unakuwa bored wao ndio wanakuliwaza
 
Ushauri wangu ni bora muachane tu kwa amani maana hayo maisha mnayoishi ni yakizumbukuku
 
Kumbe sitakiwi kufikiri mara mbili hataivo nitaacha wangapi mkuu. Ukumbuke miaka 7 yote tulikuwa vzuri siwez tu kuchukua maamuzi Kwa haraka
Tena usiendelee kunijibu ntakuwasha kofi la mdomo.. mwanamke hata ukiota amekucheat weka pembeni mapema, kisha apply mbinu za kivita mgawane hasara chache faida kubwa uichukue wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…