Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Kuwa na hormone inbalance haihalalishi upigwe mashine au usagane hamna kitu ka icho mtoa mada we ukitaka upigwe mashine ww tu na mkundu wako huwez kuta vitabu vya dini vimeruhusu ushenzi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na hormone inbalance haihalalishi upigwe mashine au usagane hamna kitu ka icho mtoa mada we ukitaka upigwe mashine ww tu na mkundu wako huwez kuta vitabu vya dini vimeruhusu ushenzi huo
Wamemjaza uji wa moto.mbona huyu ana tumbo kubwa
Neno hilo hapo keshalipata. Japo nina yakini alitaka neno lenye mrengo wa kusupport 🌈 zaidi.Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Mambo ya Walawi 18 :22
In this morning, we bring you one of the gay rights activists, Mr. (should I call your Mistaa?) Pepe Julian Onzima. Why are you gee??Tumuulize Why a yu ge!
😂😂😂
Simon ni Legend 😀In this morning, we bring you one of the gay rights activists, Mr. (should I call your Mistaa?) Pepe Julian Onzima. Why are you gee??
Pepe: Who said am ge!
Simon: You are ge. You are tranjenda? Homosekshwoo? How could I describe you?
Huko Pastor anakusanya makaroti na ndizi (these are the gadgets they use) 😂
Pepe Julian Onzima.Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?"
Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu vimasemaje?
Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana bezi, ndevu, nguvu nyingi, tabia za kiume, n.k. vitabu vimasemaje?
Kwenye mapenzi vilevile huvutiwa zaidi na jinsia ambayo homoni zao huvutiwa nazo, vitabu vimasemaje?
Na kuna ile ya Miriam Matembe the senior citizen ambayo Pastor Ssempa aliomba ulinzi walivyokuwa wanamkazania na "wea wea yuu?"Simon ni Legend 😀
Ile interview haijawahi kupitwa na wakati aisee.
Acha kusingizia hormonesHomonal imbalance haihusiani na Gays au Lesbians. Ila kuna factor zinazochangia au sababisha watu wenye tatizo hilo kuangukia ktk Gaysim na Lesbos.
Kwa upande wangu huwa sihitaji kwenye Biblia au Quran, inawazungumziaje, maana wako watu wa aina hii na hawaamini ktk hivyo vitabu viwili tajwa.
Kwa hapa Bongo, hormonal imbalance inamtesaa zaidi wa kiume, na wala sio wa kike, kwa jinsi mfumo wa uelewa na ufahamu wa wajaaa.
Wa kiume, mwenye hormonal imbalance, atatengwa, atanyanyaswa kwa namna mbalimbali, hadi atajihisi Dunia sio sehemu salama kwake, Wengi wanakatisha masomo, wanakimbia makwao, kutokana na shinikizo la jamiii, na ndo unakua mwanzo wa kuharibikaa zaidi, na wanaharibiwa na hiyo jamiii ambayo haimtakiii.
Ni wachache sana, wanaoweza kupambana na migogoro mbali mbali inayowakumba na hasa wale waliokua na wazazi wenye uelewa na ufahamu mpana wa mambo, na wasiofuata mikumbo ya jamii inasemaje au inataka nn, wanawasaidia wanae kufikia malengo na ndoto zao.
Ifike jamii ikubali kuwa kuna watu wenye matatizo ya homoni, na sio wapenzi wa jinsia 1.
Dkt. Gwajima D njoo hapaaa utoe ufafanuzii kuhusu hilii, liko ktk wizara yakoo.
Afu pasta mzee wa kuongea petrol kwenye moto! 😂Na kuna ile ya Miriam Matembe the senior citizen ambayo Pastor Ssempa aliomba ulinzi walivyokuwa wanamkazania na "wea wea yuu?"