wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

Tumuulize Why a yu ge!

😂😂😂
In this morning, we bring you one of the gay rights activists, Mr. (should I call your Mistaa?) Pepe Julian Onzima. Why are you gee??

Pepe: Who said am ge!

Simon: You are ge. You are tranjenda? Homosekshwoo? How could I describe you?

Huko Pastor anakusanya makaroti na ndizi (these are the gadgets they use) 😂
 
In this morning, we bring you one of the gay rights activists, Mr. (should I call your Mistaa?) Pepe Julian Onzima. Why are you gee??

Pepe: Who said am ge!

Simon: You are ge. You are tranjenda? Homosekshwoo? How could I describe you?

Huko Pastor anakusanya makaroti na ndizi (these are the gadgets they use) 😂
Simon ni Legend 😀

Ile interview haijawahi kupitwa na wakati aisee.
 
Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?"

Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu vimasemaje?

Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana bezi, ndevu, nguvu nyingi, tabia za kiume, n.k. vitabu vimasemaje?

Kwenye mapenzi vilevile huvutiwa zaidi na jinsia ambayo homoni zao huvutiwa nazo, vitabu vimasemaje?
Pepe Julian Onzima.
 
H
Homonal imbalance haihusiani na Gays au Lesbians. Ila kuna factor zinazochangia au sababisha watu wenye tatizo hilo kuangukia ktk Gaysim na Lesbos.

Kwa upande wangu huwa sihitaji kwenye Biblia au Quran, inawazungumziaje, maana wako watu wa aina hii na hawaamini ktk hivyo vitabu viwili tajwa.

Kwa hapa Bongo, hormonal imbalance inamtesaa zaidi wa kiume, na wala sio wa kike, kwa jinsi mfumo wa uelewa na ufahamu wa wajaaa.

Wa kiume, mwenye hormonal imbalance, atatengwa, atanyanyaswa kwa namna mbalimbali, hadi atajihisi Dunia sio sehemu salama kwake, Wengi wanakatisha masomo, wanakimbia makwao, kutokana na shinikizo la jamiii, na ndo unakua mwanzo wa kuharibikaa zaidi, na wanaharibiwa na hiyo jamiii ambayo haimtakiii.

Ni wachache sana, wanaoweza kupambana na migogoro mbali mbali inayowakumba na hasa wale waliokua na wazazi wenye uelewa na ufahamu mpana wa mambo, na wasiofuata mikumbo ya jamii inasemaje au inataka nn, wanawasaidia wanae kufikia malengo na ndoto zao.

Ifike jamii ikubali kuwa kuna watu wenye matatizo ya homoni, na sio wapenzi wa jinsia 1.

Dkt. Gwajima D njoo hapaaa utoe ufafanuzii kuhusu hilii, liko ktk wizara yakoo.
Acha kusingizia hormones
Huo uchafu ni utashi wa mtu mjinga.
Nikiwa Rais nayanyonga mashoga yote
 
Na kuna ile ya Miriam Matembe the senior citizen ambayo Pastor Ssempa aliomba ulinzi walivyokuwa wanamkazania na "wea wea yuu?"
Afu pasta mzee wa kuongea petrol kwenye moto! 😂

Kuna yule mwanasiasa sijui waziri wa nini aliondoka kwenye intavyuu.
 
Back
Top Bottom