Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

🀣🀣🀣🀣Kweli ukiuchunaa huwa unaniudhi sana halafu ulivyo mshenzy unalike tu naona yaani kasoma halafu hajinijibu,Sasa hapo naanza kukupa maneno ya karaha Hadi usemeeee
Na unayaweza utanipanikisha mpk nikujibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile siku nilikua nacheka ulivyokua unanipiga madongo ili nitoke nijibu. Na mimi nakukomesha nalike nakausha!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa mbona umejibia huku jf? Mpaka joannah ajueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimeona nachelewa na Joannah aone ili ukinizibua ionekane nilikuomba msamaha na kauona.!
 
Mmh mimi nitamsaidia kwa kumpa kipigo ambacho naamini kitamsaidia kuachana na mashosti wote wa mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…