Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

🤣🤣🤣🤣Kweli ukiuchunaa huwa unaniudhi sana halafu ulivyo mshenzy unalike tu naona yaani kasoma halafu hajinijibu,Sasa hapo naanza kukupa maneno ya karaha Hadi usemeeee
Na unayaweza utanipanikisha mpk nikujibu 😂😂😂
Ile siku nilikua nacheka ulivyokua unanipiga madongo ili nitoke nijibu. Na mimi nakukomesha nalike nakausha!
 
Mmh mimi nitamsaidia kwa kumpa kipigo ambacho naamini kitamsaidia kuachana na mashosti wote wa mtaani
 
Back
Top Bottom