Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

Aina hii sasa ndo wamejaa humu
Nawaonaga. Mwanaume kazungukwa na wanawake 10+ yeye ni kuwapa tu maumbea. Mada za wanaume za maana huwezi wakuta. Wao wapo kwenye mada za wanawake kugombana na kusutana. Usidhani wapo hapo kushauri, wapo hapo kuchochea moto na kuongeza kuni kwa kugawa maubuyu waliyoyapata kwa njia za kunyapia nyapia. Wanaume hao.
 
Hapa sasa umetembea mule mule basi hakuna watu wananikera humu kama hao utakuta wapo vigroup vya kusengenya ukisoma unagundua ni ID za kiume aibu sana
 
Back
Top Bottom