Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Wana mmegoma kushare πππWewe ni wa kukosa iyo dhambi kweli πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mmegoma kushare πππWewe ni wa kukosa iyo dhambi kweli πππ
Njoo tugawane dhambiπππWana mmegoma kushare πππ
Ntumie basi nikopi vinavyokopika ππNjoo tugawane dhambiπππ
ππNtumie basi nikopi vinavyokopika ππ
Halafu wanaume wa hivi ni wanene wana vitambi na matiti.Halafu bora azijue halafu azipotezee. Ndio anaanza kutangaza "fulani hivi na hivi ubuyu wote ninao". Unajiuliza huyu anapata muda wa kufanya kazi kweli au ndio akimaliza kusambaza ubuyu anaanza kuilaumu CCM. Cha kusikitisha ni kwamba wanajiona wapo sawa kabisa.
Safi sanaInaanzia mwanamke mpaka akusimulie bifu zake na wanawake kashakuona mchele mchele .mm hata nkikaa out na rafiki zake huwa sichangii mada za kipuuzi kifupi hadi huwa wanamuuliza jamaa hivi huwa anapiga stori kweli?
Sidhani kama ni rasmi hilo neno. Ni maneno ya uswazi tu mkuuHivi neno kuchamba au kuchambana ni rasmi?Na je kama ni rasmi asili yake ni ipi,na je nikitaka kumwambia mzungu kuchamba Kwa lugha Yao nisemeje?Sorry wakuu najua nipo nje ya Mada bt I need some answers.
Unaprotect territory yako kwa maneno? Tengenezea familia yako maisha bora uone kama watakutana kwenye mambo ya kusutana.Eti mwanaume pesa unaonyesha jinsi gani ulivyokuwa mwanamke mjinga ,wivu unakusumbua ,A MAN HAVE TO PROTECT HIS TERRITORY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo wamejaa humu mbona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kingine ni kwamba wanaume wengi siku hizi ndo wanaongoza kwa umbea. Sijui ni kuchoka kuwa wanaume wanatamani wawe wanawake au ni nini.
Mwanaume kuwa mbea mbea pia haipendezi kabisa. Unakuta mwanaume na yeye hataki kupitwa na jambo. Ana maumbea kama yote na anaona ni sawa.
Ila mwanaume anayejiheshimu anasutana na maadui wa mpenzi wake? Mwanaume anayejiheshimu ni mbea?π€Achana na hizo takataka mkuu, hayo ni mashangingi yaliyoshindikana mtaani.
Mwanamke mwenye kujiheshimu na mwenye stara hawezi akaandika upumbavu kama huo.
Muulize mke wako vizuri chanzo cha ugomvi wao usikute na mke wako ameiba mume wa huyo single maza.Siwezi vumilia kuona kipozeo changu anasutwa na mimi nipo tu, lazima nikusute na uzodoke sawasawa.!!!
Hivi na wife tumetoka kumsuta single mama mmoja hadi amenyooka, nimemwambia unanuka K hadi mwenyewe kalegea maana nishampitia miezi kadhaa nyuma, ila nayeye kasena nina kibamia.. nimemind lazima nimrudie kimyakimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi vumilia kuona kipozeo changu anasutwa na mimi nipo tu, lazima nikusute na uzodoke sawasawa.!!!
Hivi na wife tumetoka kumsuta single mama mmoja hadi amenyooka, nimemwambia unanuka K hadi mwenyewe kalegea maana nishampitia miezi kadhaa nyuma, ila nayeye kasena nina kibamia.. nimemind lazima nimrudie kimyakimya
Hao walojaa Dar wengi ndiyo hao hao walokimbia kushika jembe vijijini wakaenda kuongeza population kwa kisingizio chakutafuta maisha wakikosa ndiyo haohao wanakuwa marioo, wambea mpaka kusukumwa mavi kwa kulivamia jiji ovyo 90% walojaa dar sasa ni wageni wenyeji washakimbia.Itakuwa version ile ya wapaka makeup, watoboa pua, na masikio,wavaa vikuku hasa huko daslam sie huku kijijini tunashinda shambani huo muda wa umbea na kusutana twatoa wapi.
kwahiyo hamna namna nyingine ya kumlinda mpenzi wako zaidi ya wewe kwenda kutukanana? Ndio maana mnalalamika wake zenu kutokuwaheshimu. Hauwezi kushiriki kwenye udaku na misuto na mke wako halafu ukaheshimika.Sasa Mwanaume anamwachaje mkewe atukanwe?
Ndio wamejaa wanakutusi wanakujeli wanakutolea shombo yaani hadi aibu sanaNdo wamejaa humu mbona
Umesema kweli. Hamna mwanaume ambaye anajishuhulisha halafu akapata muda wa kuwa mbea. Wanaume wenye maneno mengi ni ma jobless na hawataki kazi ndio maana wanapata muda wa kujifunza misuto mipya mipya .Hao walojaa Dar wengi ndiyo hao hao walokimbia kushika jembe vijijini wakaenda kuongeza population kwa kisingizio chakutafuta maisha wakikosa ndiyo haohao wanakuwa marioo, wambea mpaka kusukumwa mavi kwa kulivamia jiji ovyo 90% walojaa dar sasa ni wageni wenyeji washakimbia.
Single mama yule hana mume anadanga tu. Chanzo ni yeye kamsema vibaya wife kwa majirani baada ya wife kuzipata habari tukaenda kumpelekea salamu, tumemchamba hadi wapangaji wenzie wamemchekaMuulize mke wako vizuri chanzo cha ugomvi wao usikute na mke wako ameiba mume wa huyo single maza.