Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Tulingiliaga ugomvi mmoja kilichotukuta ni aibu, nilimkuta dada mtoto wa mwenye nyumba kang'olewa meno ya mbele karibia yote na kupasuliwa kichwani. Familia ilichukua rb tukaungana na wapangaji kumsaka jamaa mji wote tukiamini kwamba hii haikubaliki lakini huwezi amini siku2 tu baada ya tukio jamaa karudi hm na demu wake maisha yanaendele na jamaa yuko ukweni.
Oya wakigombna wapenzi kaa mbali
Oya wakigombna wapenzi kaa mbali